Mfumo wa Vyama vingi na Katiba ya chama kimoja

Mnawafunga afu mnasema wamepoteza muelekeo??!, si ndio ajenda yenu kuwa confuse?
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.

Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Umetumia tafiti gani ili kujua upinzan uko hoi, hebu wapeni rukusa wafanye mikutano na wananchi, pia pawepo na fair election, na polisi wawe fair bila kupendelea chama chochote, ndo useme ka wako hoi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.

Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Acha ushamba wako toka kolomije upinzani upi umeishiwa Pumzi? Wapinzani mnawapiga Risasi mnawabambikia kesi mmeazuia mikutano ya siasa mnawanyanyasa sana alafu unakuja na upumbavu wako hapa, ukitaka kujua nguvu ya upinzani mwambie Dikteta uchwara aruhusu mikutano ya saisa uone moto wake kama utathubutu kusema ije kura ya maoni maana lazima CCM itapigwa chini
 
Povu tupu!
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.

Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Pelekeni badiliko la katiba bungeni haraka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.

Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Haya mawazo ya kuua nchi huwa mnayatoa wapi? Nani anataka kurudi kwenye ujima wa chama kimoja? Au mnajua mkipiga kura mtaiba ili mbaki na chama kimoja? We need checks and balance, we don’t wanna go back to a single party system and ruin our economy
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.

Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Upinzani lazima upoteze uelekeo, CCM wajuchuja wagombea yale makapi yanaenda yana honga upinzani alafu yanapewa nafasi ya kushindana na CCM. Baadae unasena kura zimeibiwa, kwa hakika aliyewapa jina la Nyumbu hajakosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.
Hivi, Kati ya upinzani unaopumua wenyewe na CCM ambayo haipumui mpaka ipewe pumzi na police, Tiss na tume ya uchaguzi, kipi kimeishiwa pumzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa..... Nilijiunga na CCM mwaka 1980.......so usihofu kuhusu buku 7!

Ulijiunga ccm mwaka 80 au ulizaliwa mwaka 80? Miaka hiyo kila mtu alikuwa mwanaccm by default. Hata usingejiunga ccm ungeenda wapi kufanyia siasa?
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.

Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
kama ulifauru kidato cha nne basi nikapimwe marinda mimi..duh akili ndogo saana
 
Upinzani wa Maigizo

Madaraka ya rais yanayotumika vibaya kwa ajili ya udhaifu wa katiba yanaweza kuibeba ccm kwa muda, sio kisiasa bali kibabe, lakini mbinu hii ina nguvu ya muda mfupi. Ubabe huu huu ndio utakaotumika kuizika ccm. Huu ubabe wa rais ndio uliosababisha kazia kwa wakulima wa korosho. Leo hii kila kundi linalodhulimiwa hakuna wa kuwasemea kwani yoyote anayefungua mdomo yanamkuta yaliyomkuta Lissu, ndani ya Kiroba, jela nk. Ila mbinu hii haitawaacha salama.
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.

Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
CCM imepoteza Mwelekeo toka 1992 mfumo wa Vyama vingi ulipoanzishwa mikutano , maandamo yaliruhusiwa na maendeleo yalipatikana kutokana na kuishiwa pumzi kwa ccm imezuia maandamano na mikutano lakini ccm wanafanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.

Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Awamu wa mavuvuzela tupu hakuna mwenye nafuuu,yani wote vichaa huko fisiem
Screenshot_2018-07-18-11-57-57-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.

Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?

Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Akieishiwa pumzi ni mamayako na anaekupumulia.
 
Back
Top Bottom