johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,537
Fala ametiwa mbaroni dhamana hadi jumatatu!Kipindi hicho ulikuwa unalima sasa hivi umekuwa fala
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Fala ametiwa mbaroni dhamana hadi jumatatu!Kipindi hicho ulikuwa unalima sasa hivi umekuwa fala
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Fala ni huyo mpuuzi aliyeshika madaraka ni mpumbavu Kama wewe anadhani ilivyo leo ndivyo na kesho itakuwaFala ametiwa mbaroni dhamana hadi jumatatu!
Mbwiga wewe unaiogopa kesho?!!!!Fala ni huyo mpuuzi aliyeshika madaraka ni mpumbavu Kama wewe anadhani ilivyo leo ndivyo na kesho itakuwa
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Kwani Zanzibar kuna wapinzani?!!Usiombe upinzani wa vyama ukafa, UPINZANI ni kama imani za kidini upon rohoni, na siku kundi fulani likifanikiwa kuua upinzani ujue ugaidi unainyemelea nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
watu wenye akili kama zako ni hasaara kwa taifa bora hata ungezariwa mbuzi watu wengekuwya soupKiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.
Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?
Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Mbwiga umeshapanic!watu wenye akili kama zako ni hasaara kwa taifa bora hata ungezariwa mbuzi watu wengekuwya soup
MASIKINI UMEPATA MATAKO YAKO HULIA MBWATA SASAKiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.
Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?
Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Panya buku wewe, asiye na hofu ya Mungu Kama ma CCM na Magufuli wenu hamuogopi kesho,kiberiti cha jehanamu kinawahusuMbwiga wewe unaiogopa kesho?!!!!
Hahahaa full povu!!Panya buku wewe, asiye na hofu ya Mungu Kama ma CCM na Magufuli wenu hamuogopi kesho,kiberiti cha jehanamu kinawahusu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzani wanahitaji zaidi maelezo kuhusu iliko 2.5 T kuliko kuwauliza watanzania wangapi wanataka kurudi utotoni! Hata kama wapo obvious haiwezekani ukishakuwa kijana ukarudi tena utoto labda kwa wajinga tu wanaweza kujibidisha kuuliza hilo.Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.
Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?
Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaa........ Hapa Ufipa mwezi wa tatu huu hatujaona hata jero Signatory yupo segerea na maisha yanaenda bila shida!Upinzani ukifutika nawewe hapo ulipo huna ajira ya buku7 FC
Aitishe kura hapa!😀Hizi kura za maoni sio za kushadadia saaana......unaweza pata matokeo usiyotarajia! Waulize waingereza jinsi zigo lao la Brexit linavyowatesa!
Acha dharau ndugu, jela ni pa kila mtu usishangae hata Magufuli kuna siku akajikuta jela...Hahahaa........ Hapa Ufipa mwezi wa tatu huu hatujaona hata jero Signatory yupo segerea na maisha yanaenda bila shida!
Kiukweli kwa sasa upinzani ni kama umeishiwa pumzi na kuendelea kuulea ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi kwa kisingizio cha ruzuku.
Je, hakuna haja ya kuitishwa upya kwa kura ya maoni kuona kama watanzania bado tunauhitaji mfumo wa vyama vingi vya siasa?
Jumamosi njema
Maendeleo hayana vyama!