Mfumo wa *Online Teachers Applications System(OTEAS)* upo hewani. Waombaji wa kazi za ualimu wanaweza kuendelea.

hashimrashidy

Senior Member
Sep 11, 2015
197
145
*Muhimu*
1. Hakikisha upo katika internet nzuri.
2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb.
3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual.
4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019.

Kila la kheri
DICT TAMISEMI.
04.03.2019

BONYEZA HAPA KUPATA MAELEKEZO KWA MFUMO WA VIDEO HATUA KWA HATUA
 

Attachments

  • Screenshot (135).png
    Screenshot (135).png
    80.1 KB · Views: 43
*Muhimu*
1. Hakikisha upo katika internet nzuri.
2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb.
3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual.
4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019.

Kila la kheri
DICT TAMISEMI.
04.03.2019

BONYEZA HAPA KUPATA MAELEKEZO KWA MFUMO WA VIDEO HATUA KWA HATUA

Ndio nimekupata kiongozi. Tatizo linakuja pale ambapo mimi nimeambatanisha Transcript harafu majibu yanakuja kwamba nimeabatanisha Grad A Certificate
 
MY JORAM, post: 30632770, member: 139989"]Ndio nimekupata kiongozi. Tatizo linakuja pale ambapo mimi nimeambatanisha Transcript harafu majibu yanakuja kwamba nimeabatanisha Grad A Certificate[/QUOTE]

Ulituma sangap ikakubali ? Coz mi tangu asubuh mpka saiv imegoma
 
MY JORAM, post: 30632770, member: 139989"]Ndio nimekupata kiongozi. Tatizo linakuja pale ambapo mimi nimeambatanisha Transcript harafu majibu yanakuja kwamba nimeabatanisha Grad A Certificate

Ulituma sangap ikakubali ? Coz mi tangu asubuh mpka saiv imegoma[/QUOTE]
Nilibahatisha ile asubuhi mida ya saa moja na nusu mambo yakakakubali
 
Back
Top Bottom