Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 685
- 625
Mkuu ulikosa zile za majeshiWanazingua sana hao portal
UONDOLEWE HILI MPITISHWE BURE TANESCO NA TPA ,AJIRA PORTAL IENDELEE KWANI NDIO MASIKINI WENGI WANAPITA UKOHabari zenu Wana Jamvi.
Niende Moja kwa Moja kwenye kichwa Cha habari husika kwamba "Mfumo Wa Kuajiri Kupitia Ajira Portal Uondolewe".
Kwanza mfumo huu sio rafiki kwa wahusika wanaotafuta Ajira maana mfumo unabagua hatujuia walichukua heading za fani/ Kozi kutoka Chuo gani Mfano kuna watu wamesoma na wakapewa vyeti
Bachelor of Electrical Engineering wengine wakasoma Bachelor of Science in Electrical Engineering
Zinapotangazwa nafasi Ajira mfumo unaweza kuwabagua watu hawa kutokana na Title za vyeti vyao na tunasahau kile kipengele Cha relevant qualification hakizingatiwi katika mfumo.
Kingine Mfumo umekatisha ndoto za wahitimu wengi kupata Ajira serikalini Kwanini?
Kuna watu katika stage za kusoma walianzia chini kwamaana Certificate, Diploma, Degree na kuendelea. Mfano una diploma ya Umeme ukajiendeleza ukapata degree ya Umeme maana utakua na cheti Cha diploma pamoja na degree. Unapoweka cheti Cha degree katika mfumo wa Ajira portal hutoweza kuedit na kukitoa na kuomba nafasi ya diploma kama Ajira za diploma zimetangazwa maana yake inalimit watu katika kuomba Ajira Mfumo sio rafiki Bora mfumo wa zamani wa kupeleka barua utaomba nafasi kulikana na level ya elimu yako.
Kuna Mapungufu mengi katika mfumo hasa katika Kozi zinazoendana ikitokea nafasi ya Ajira mfumo unazibagua Kozi hizo ambazo zinaendana.
Nitoe Rai katika Uwongozi wa Mfumo warekebishe mfumo katika kipengere Cha Kozi zinazofanana/relevant qualification Wote waitwe kwenye Usaili washindanishwe.
Kama kurekebishwa itashindikana Mrudishe Mfumo wa zamani Kila Taasisi, Wizara na Sekta nyingine za Serikali ziajiri zenyewe Zisihusishe mfumo wa Ajira portal Sio Rafiki Unawachelewesha vijana katika kutumikia Taifa lao pendwa la Tanzania.
Nawasilisha
Ni kweli kabsa ulichosema mfumo auko friendly kabsa cjui tufanyaje kuondoa hii Keri iwezei kufika kwaooHabari zenu Wana Jamvi.

Kuna post yoyote imegomea mkuu..?Ni kweli kabsa ulichosema mfumo auko friendly kabsa cjui tufanyaje kuondoa hii Keri iwezei kufika kwaoo
Mda mrefu cjaingia ilikua inagoma kila ukiombaKuna post yoyote imegomea mkuu..?
Ila naona sahv kama kuna mabadiliko hvKuna post yoyote imegomea mkuu..?
Naunga mkono hojaHuu mfumo unaleta fairness sanaa, kuna taasisi moja kubwa tuu ilikuwa ina ukiritimba wa kuajiri wahitimu toka chuo fulani tuu, ila baada ya huu utaratibuna wengine wa vyuo vingine walinufaika pia.
Tatizo lako una tamaa sana na huelewi mambo, kikawaida your highest level of education ndiyo inayotakiwa kuwa considered kwenye ajira. Nyie ndo wale mnaopendaga kuajiriwa kama diploma, kisha mkifika kituo cha kazi mbadili gia angani muingiziwe mishahara ya degree au masters kabisa.
Kazi nyingi z serikali ziko exclusive kabisa kwamba tunahitaji labda diploma kadhaa, ama degree kadhaa. Hawatumiagi neno "angalau awe na diploma". Hivyo malalamiko yako hayako relevant kabisa.
Kweli mzee kule amna upendeleo ila naona pale kwenye academic wamerekebisha tofaut na mwanzoMfumo kufutwa ni ngumu sana kwa sababu umesaidia sana watoto wa kimaskini kupata ajira mfano mimi mwenyewe nimepata kaz kupitia utumishi sina ninae mjua nmepambana kufa na kupona mungu nae kaniona. Kikubwa mfumo ufanyiwe marekebisho na wengine waweze kuomba kaz bila shida yoyote