Mfumo wa damu wa binadamu unavyoonekana.

Sasa ukiwa na mafuta damu (blood cholesterol) ni balaa, vi-pipe vidogo vidogo vinaziba hapo ukipima mapigo ya moyo juu - unachoka choka bila mpango.
 
Kama sijaelewa swali lako chief!
Naomba nieleweshe vizuri kidgo..

Nafikiri anamaanisha kama utakua umelala, damu nyingi inaweza kujikusanya eneo tofauti na inavyoonekana hapo.
Mfano nikiangalia hiyo picha, kwenye ncha za vidole kuna damu nyingi sana, lakini ingeweza kuwa tofauti kama mikono ingekua imeinuliwa juu.

Hapa nawaza kama ingekuwa kwenye lile zoezi letu pendwa mkusanyiko wa damu nyingi ungekuwa wapi?
 
Aanha sawa nimeelewa ss, majibu yako yapo sahihi...ni kweli damu huwa inakuwa nyingi sehemu ambayo inafanya kazi wakati huo,
Ila hapo kwny picha naona kama mtu yupo kwenye normal state tu
 
Kama sijaelewa swali lako chief!
Naomba nieleweshe vizuri kidgo..
Mtoa poast amesema hiyo ni picha halisi.
Picha inaonesha baadhi ya sehemu hapo inaonekana inauwingi wa damu. Nikauliza je hiyo si reflection ya huyo mtu ktk situation mood aliyokuwa nayo au ndivyo ilivyo kuwa wakati wote damu huwa ina flow hivyo
 
Okay, ngoja aje atueleze hapa...
 
Ni kweli kabisa. Nahisi
Huyo mtu alikuwa ktk hali gani? Mi nafkiri kuna hali inayoweza kusababisha damu kupelekwa kwa wingi ktk eneo fulani la mwili. Naomba nifafanuliwe hapo
hata mtu unapokuwa umelala inawezekana damu ikapungua kichwani au unapokuwa unagegeda ikaongezeka kwenye viungo husika
 
Ni kweli kabisa. Nahisi

hata mtu unapokuwa umelala inawezekana damu ikapungua kichwani au unapokuwa unagegeda ikaongezeka kwenye viungo husika
Mi nadhan hata uwe katika state ipi kichwani damu haiwezi kupungua sababy ya uwepo wa machine kubwa ubongo
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom