Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

Mkuu sio kosa lako...

Siku zote mabadiliko yanapokuja tena kwa kasi kama hii wapo wapenda mabadiliko kama wewe ambao ni waoga...

Iko siku utajua faida ya kumshambulia adui toka ndani na nje ya mfumo wake...
 
Katika mawaziri wakuu viazi walowahi kutokea sumaye kiazi kwelikweli.
Ni vema ukapima yaliyotekelezwa ndani na hawa mawaziri wakuu watatu (3)
1. Sumaye
2. Lowassa
3. Mizengo Pinda
Ukiishapima ufanye tathimi ya kashfa kubwa zilizolipotezea taifa mabillion ya shillingi zilitokea katika kipindi cha Waziri Mkuu yupi baada ya hapo sidhani kama hiki ulichokiandika kitakuwa na thamani tena kwako na hao wapambe wako.
 
Mwasisi wa upuuzi wote huu ni ccm ambaye ndiye adui yetu mkuu. Je ulimsikiliza Bwana Abdarah Bulembo ITV leo asubuhi?Alisema hivi hata Lowasa akiwa Waziri mkuu bei ya Sukari,Mchele na bidhaa nyingine vilikuwa juu kama ilivyo leo ikiwa na maana kuwa Tatizo la nchi hii si mtu bali system(mfumo) uliojengwa na ccm.So magufuli na uchapa kazi wake is nothing to ccm system-Tanzanians please join your hands and vote for UKAWA
 
Nasikitika kwa mwalimu wako kukuganganya na ningekushauri urudi shule tu.kama siasa ni uongo niambie nani anaamua barabara fulani ijengwe au na kwa mujibu wa mwalimu wako barabara pia ni uongo?shule ni uongo?Pole ndugu
 

Wewe ni mtu wa hovyo mno huwezi kukataa wanasiasa maarufu kuja kwenye chama kwasababu eti walikupinga siku za nyuma lengo la chama cha siasa ni kushika dola na siyo kuwa mpinzani daima. Kama wewe unapenda kuwa mpinzani daima hamia chama cha kina Mtikila na Fahami Dovutwa. Acha ukale na visasi visivyojenga taifa au na wewe ni jamii ya Polepole?
 
msumari huo... utawachoma kote kote mnataka kijifanya ukawa mtuzuge ... leo mtachomwa tu.
 
Sasa ni zamu ya walutheri wakatoliki wasubiri kwani wakristo ni wao tu.Asante mwalasusa kwa kumleta Sumaye

Watanzania wa leo hawagawanyiki kirahisi hivyo adui siyo mtu wa dhehebu au dini fulani bali adui ni ccm pekee full stop.
 

Mandela alitolewa gerezani na frederick de clerk, wazungu waliona wamesalitiwa, wazulu walihitaji support ya wazungu, Abraham lincoln alisaidia niggas kwa kukomesha utumwa America, unadhani tukikomaa wenywe eti asimame Lipumba au slaa tunaweza kuingoa ccm? Acha ufala
 
Issue naona hamjaijua, Mamvi kutokana na Hali yake ya afya hawezi kusimama zaidi ya dk 15 Kufanya kampeni, na nyinyi watu wote mnaowategemea wanamajimbo wanayoyapigania, so wanahitaji mtu aliye free na mwenye jina ili asimame na Mamvi Kufanya kampeni, maana sumu-ya-mawe iliyokuja hawezi kugombea by this maana dirisha la kuchukua fomu limefungwa, zaidi atakuwa hapo kama mgombea backup ikiwa mgonjwa wenu atazidiwa kabla ya siku ya kupiga kura, but very unfortunately mmemchagua mtu atakayekuwa anapeleka ripoti kwa mzee wa uwazi na ukweli Ben. Upinzani mwisho October Tanzania, tusubiri watoto wetu wakue ndio waje kuwa wapinzani wa kweli, sisi tiliozaliwa ndani ya chama tawala ni ngumu kuwa wapinzani wa kweli, maana mfumo upo damuni.
 
Duh kwa miaka 54 bado unashangaa! Kwamba mfumo unaenda kuporomoka yatosha kuliko kubaki na chama dola.
 
ACT wazalendo 👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼👍🏼
 

Jiwe limempata MTU .tueleze ulikuwa wapi wewe kikaragosi wa ccm.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…