Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

Niliwahi kumuuliza Mwalim Mkuu wangu wa shule ya msingi Miaka 1977 wakati ninapo maliza shule ya Msingi nipo Darasa la Saba. Mwalim mkuu wangu alikuwa anatufundisha Somo la Siasa niakamuuliza hivi Mwalim nini Maana ya neno Siasa ? Jibu alilonijibu kuwa Siasa maana yake ni Uongo au ujanja wa hali ya juu sana. Kwa hali hiyo Wana Siasa wengi ni Waongo watu watoao ahadi za uongo maneno matamu kwa Wananchi ilim uwape Kura zenu. Hakuna kipya Wanachama wa CCM kuhamia Ukawa au Wanachama wa Ukawa kuhamia CCM ni Usanii wa hali ya juu hakuna kitu kitakacho badilika hapo Tanzania ni usanii mtupu. Viongozi wa Siasa ni wajanja sana wanatumia udhaifu wa Walala hoi kunufaika wao wenyewe amkeni walala hoi.
 
Ha ha ha walikuwa wapi miaka zaidi ya mitano iliyopita au tuseme kumi iliyopita?
Hata ingekuwa miaka hamsini, hivi sasa wamehama kambi na huo ndio ukweli. Najua mko mnaoumia sana kuachwa kama yatima, lakini ukweli utabaki pale pale, wameipa CCM bye bye! Bila shaka mtu ambaye amekuwa kipofu toka kuzaliwa ikitokea akapata dawa akapona akaweza kuona tena, wewe utamdhihaki kwa kumuuliza miaka yote alikuwa wapi...eti kwa nini hakupona mapema! Ndugu yangu, bear it and like it, hao si wenzenu tena, wamehamia UKAWA.
 
Ukijumlisha idadi ya kashfa za kifisadi chini ya uongozi wao utagundua ninachosema


Naona kama vile umechanganyikiwa, unatia huruma sana, na bado.

Mna hali ngumu sana mwaka huu.

Tunaenda kuijenga Tanzania mpya, Na wewe ni kirusi kimojawapo mnaotaka kufifisha ndoto za Watanzania. Mwenyezi Mungu awapige mapigo makuu.
 
Naona kama vile umechanganyikiwa, unatia huruma sana, na bado.

Mna hali ngumu sana mwaka huu.

Tunaenda kuijenga Tanzania mpya, Na wewe ni kirusi kimojawapo mnaotaka kufifisha ndoto za Watanzania. Mwenyezi Mungu awapige mapigo makuu.

Tanzania mpya ya kina Sumaye na Lowassa.
 
Sio kosa lako, tatizo ni mahaba yako na UKAWA, unahitaji akili ya kuzaliwa tuu kujia kuwa mfumo ni ule ule, jina ndo tofauti!

you are such a piece of krapp... umeshindwa kujibu maswali sasa unambwela-mbwela tu

nyambavv wahed
 
We nawe toka lini umekuwa UKAWA?

Wewe chukua vibahasha kama ndugu yako Pasco
 
Last edited by a moderator:

Walalahoi tuamke tufanye nini?Tuache kupiga kura au?Na kama tukipiga tumchague nani?
 
Ukawa hamn chamabadiliko wala nini watu wanatafuta njia tya kupenya wamepaona ni uchochoro ili watimize matakwa yao. So kam mtu mmzima na akiloi zako unazani kua kupitia magarasha hayo mtapata mabadiliko labda kam shida yenu ni mbadiliko ya sura. ila kam unatak maendeleo ya tanzania chaugu ccm, mchague mtu mwadilifu na mchapakazai magufuli
 
Naona chadema sasa imekua ni ccm b.

Na hao wanaojiunga kama kweli walikuwa wanataka mabadiliko kwa nini hawakujiunga kabla ya kukatwa?????

Tamaa ya madaraka hii......


 
kinachohitajika kubadilishwa na UKAWA ni mfumo sio watu..
kwani hata hao akina Slaa walikua hukohuko lakini sasahivi wanapigania mabadiliko ya mfumo.

leo umeongea point sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…