stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,389
- 15,180
mitandao ya simu wanakata 1% benki 4%Ni 1.2m sio 1.4m na wala sio 4%
mitandao ya simu wanakata 1% benki 4%Ni 1.2m sio 1.4m na wala sio 4%
Ji update mkuu. Japo hawa jamaa wanaji contradict sana. Nikiwa kwenye kikao nao walinambiamitandao ya simu wanakata 1% benki 4%
mm nliachana nao mda kidogo walikua wanakata 4% alafu 1% ya mitandao ya simu, sema kama ni TAX exclusive apo kazi ipoJi update mkuu. Japo hawa jamaa wanaji contradict sana. Nikiwa kwenye kikao nao walinambia
Mobile ni 0.5% na Bank ni 2%
Email nimepokea leo baada ya kuomba confirmation wamenitumia hiki 👇👇
View attachment 3463846
Hizo exclusive of Tax man. Very veru crazy charges. Unafanyaje now??mm nliachana nao mda kidogo walikua wanakata 4% alafu 1% ya mitandao ya simu, sema kama ni TAX exclusive apo kazi ipo
nenda kaombe straight kutoka mitandao ya simuHizo exclusive of Tax man. Very veru crazy charges. Unafanyaje now??
Bank ndio hasa nahitajinenda kaombe straight kutoka mitandao ya simu
ila sasa for most citizens mobile money works wellBank ndio hasa nahitaji
Am dealing with institutionsila sasa for most citizens mobile money works well