Mfumo (software) Kusomana na NMB account

Usijifanye mjuaji bank kampuni ndogo hawatoi API ....vodacom tu ukiwa hawakuelewi hawakupi sembuse NMB solution ni selcom tu ...... angalizo naongea kama mtaalaam na mzoefu kwenye issue za online payments hizo so najua nini naongea.....
Sasa unauhakika gani na kampuni yake mkuu? Hakuna sehemu amesema kama kampuni yake ni ndogo au kubwa ila kuna sehemu amesema amewahi kushindwana terms za kiasilimia na kampuni fulani which hizo terms za asilimia huko ulikomtajia ataenda kukutana nazo pia, so probably kama Alishindwa huko kwa 2% hata huko ataenda kushindwa.
 
Kampuni kubwa ije kuomba msaada jamii forum una akili wewe NMB hawatoi api kwa company ndogo elewa dogo
 
Kwamba jamiiforum sio jukwaa lifaalo kuomba msaada sio? Ni majukwaa gani ambayo kampuni kubwa huenda kuomba misaada?

By the way hiko kitu nimeongea hapo niko na uhakika nacho 95% so bwana Fanton Mahal kama utahitaji zaidi nicheck pm, achana na Hawa wanaojifanya wanajua kila kitu while hakuna wajuacho.
 
Uhuru heights post ukifika pale ndo ofisi zao za payments... mambo ya intergratarion nenda na business licence,nida yako brela registration yako waachie na email yako wakimaliza kucheck watakumia sandbox credentials zao utatest the utaomba live mode credentials umemaliza .....ila tafuta fundi wa intergratation asome vizur ile documentations yao....ukikosa fundi niambie nipo nitafanya hiyo kazi
Ahsante chief kwa maelezo. Nitafanya hivyo.
Most if not all Intergrations huwa namaliza mwenyewe sijawah kukutana na API documentation complicated. Shukran sana mkuu. Nitakupa mrejesho
 
Achana na hao maselikumu watakuua😅, nenda direct uingie nao ubia ufanye integration moja kwa moja, kuna mtu aliwahi kuniambia kwenye upande huo hiyo bank wako smart sana so kama ukikutana na mtu sahihi na mkafikia muafaka mtafanya biz.
Na hiki ndio ninakitafuta sana mkuu. Nitafuatilia selcom pia nijue nao wakoje especially kwenye charges ndio concern yangu kubwaa
 
Usijifanye mjuaji bank kampuni ndogo hawatoi API ....vodacom tu ukiwa hawakuelewi hawakupi sembuse NMB solution ni selcom tu ...... angalizo naongea kama mtaalaam na mzoefu kwenye issue za online payments hizo so najua nini naongea.....
Poa poa mkuu, ila bank pinzani (washindani wao wakuu) nina contract nao kabisaaa licha ya kwamba kampuni yetu si kubwa
 
Na hiki ndio ninakitafuta sana mkuu. Nitafuatilia selcom pia nijue nao wakoje especially kwenye charges ndio concern yangu kubwaa
Hawa provider wengi huwa asilimia zao zinacheza hapo 3, 2 lakini labda kama mtakaa mezani vizuri mkaongea kwa kina mnaweza kufikia eneo zuri... Kitu kizuri kuhusu providers ni kwamba simple kufikia makubaliano ya kibiashara ila wewe unakua hauko na full control coz hapo unakua unadeal na watu wawili, kwakuanzia sio mbaya hasa kama startup yako ni ndogo ila kama ni Fintech idea ambayo inahitaji kugrow na kushindana na hizo zilizopo nenda front na ufanye integration zako kwenye zero margin (najua unaelewa coz wewe ni mtu wa tech).

Hiyo bank uliyoiendea hawana changamoto sana kwenye huo upande, kama vitu vimenyooka na business ipo mtafanya biashara mkuu.
 
Sasa unauhakika gani na kampuni yake mkuu? Hakuna sehemu amesema kama kampuni yake ni ndogo au kubwa ila kuna sehemu amesema amewahi kushindwana terms za kiasilimia na kampuni fulani which hizo terms za asilimia huko ulikomtajia ataenda kukutana nazo pia, so probably kama Alishindwa huko kwa 2% hata huko ataenda kushindwa.
Ahahahaahah..tuachane na hayo ya ukubwa au udogo nahitaji ushauri tu kama mtu anavyoomba ushauri kwa washkaji kijiweni. Ndio la msingi
 
Hawa provider wengi huwa asilimia zao zinacheza hapo 3, 2 lakini labda kama mtakaa mezani vizuri mkaongea kwa kina mnaweza kufikia eneo zuri... Kitu kizuri kuhusu providers ni kwamba simple kufikia makubaliano ya kibiashara ila wewe unakua hauko na full control coz hapo unakua unadeal na watu wawili, kwakuanzia sio mbaya hasa kama startup yako ni ndogo ila kama ni Fintech idea ambayo inahitaji kugrow na kushindana na hizo zilizopo nenda front na ufanye integration zako kwenye zero margin (najua unaelewa coz wewe ni mtu wa tech).

Hiyo bank uliyoiendea hawana changamoto sana kwenye huo upande, kama vitu vimenyooka na business ipo mtafanya biashara mkuu.
Umenena vyema. Changamoto za aggregators bwana, incase of downtime unashindwa kujua troubeshooting ni upande wa bank au aggregator. Hata kama ni wao ,simply wanaweza kukuambia "kuna issues with bank" na wewe huwez fanya kitu inabid uwe mpoleee 😂
 
Now you know mkuu... Na pia wakiona unapiga kazi sana wanabadili terms ili wakuumize kwakua wanajua ni ngumu kuhama ghafla kwakua tayari umekua stable... Ndio maana kama uwezekano wa kuwaepuka hao watu upo ni Bora kuwaepuka tu, ogopa sana terms ambazo zinaweza kubadilikia online na si kuitana kukaa kwenye kikao ili mpitie makubaliano yenu upya.

Yeye Kila akikaa kwenye kikao akiona terms zimembana yeye kidogo nae anakuja kuwabana ninyi ili aendelee kubaki salama.

Ushauri, hiyo ifanye iwe option yako ya mwisho baada ya kuona imeshindikana kabisa.
 
Ahahahaahah..tuachane na hayo ya ukubwa au udogo nahitaji ushauri tu kama mtu anavyoomba ushauri kwa washkaji kijiweni. Ndio la msingi
Ndio maana nilijaribu kutoa ushauri kulingana na msingi wa andiko lako, kwamba namna ya kuepuka 2% na uwezekano wa kupata integration ya moja kwa moja, nami nakwambia uwezekano upo coz hakuna kampuni ambayo ilianza ikiwa kubwa, watu wanaangalia vision yako na namna ambavyo wao wataenda kunufaika kupitia hiyo aina ya biashara mnayotaka kufanya.
 
Now you know mkuu... Na pia wakiona unapiga kazi sana wanabadili terms ili wakuumize kwakua wanajua ni ngumu kuhama ghafla kwakua tayari umekua stable... Ndio maana kama uwezekano wa kuwaepuka hao watu upo ni Bora kuwaepuka tu, ogopa sana terms ambazo zinaweza kubadilikia online na si kuitana kukaa kwenye kikao ili mpitie makubaliano yenu upya.

Yeye Kila akikaa kwenye kikao akiona terms zimembana yeye kidogo nae anakuja kuwabana ninyi ili aendelee kubaki salama.

Ushauri, hiyo ifanye iwe option yako ya mwisho baada ya kuona imeshindikana kabisa.
Yeah. Na hii ni changamoto sana, maana inakufanya uonekane hauko reliable kwa clients wako. Na kiukwel unakua huna controll kabisaa.

Japo i hope kuna namna watakua na mkataba w makubaliano kwaajili ya mambo kama haya, i guesse
 
Ndio maana nilijaribu kutoa ushauri kulingana na msingi wa andiko lako, kwamba namna ya kuepuka 2% na uwezekano wa kupata integration ya moja kwa moja, nami nakwambia uwezekano upo coz hakuna kampuni ambayo ilianza ikiwa kubwa, watu wanaangalia vision yako na namna ambavyo wao wataenda kunufaika kupitia hiyo aina ya biashara mnayotaka kufanya.
Sahihi kabisa
 
Yeah. Na hii ni changamoto sana, maana inakufanya uonekane hauko reliable kwa clients wako. Na kiukwel unakua huna controll kabisaa.

Japo i hope kuna namna watakua na mkataba w makubaliano kwaajili ya mambo kama haya, i guesse
Inawezekana, anzia huko coz kwenye biashara hakishindikani kitu.
 
Wakuu na wadau wa jukwaa hili la Tech habari ya majukumu?

Kama mdau mwenzenu kwenye upande huu nimekuja kuomba kusaidiwa namna naweza pata mwongozo.
Nimekutana na challenge ambayo katika software wateja wangu wanatumia, kunahitajika namna ya kuweza kuona malipo yanayofanyika kwenye account moja kwa moja pasipo ulazima wa kusubiri waletewe payslips.

Sasa the development part na masuala ya APIs kwa ujumla wake ,yoote technical sio ishu maana ndio maisha yetu ya kila siku kama developers, Changamoto inakuja namna ya kupata hii access (intergratarion) kati ya software yetu na Nmb!.

Nimefuatilia na nikaja kutana na kampuni moja (jina kapuni) ambao wao wanatoa APIs za ku integrate kama vile nahitaji, lakini hawa wanafanya kazi kama aggregators (mtu kati) na hivyo kupelekea ku charge fee kwenye kila transaction ambayo itafanyika kwenye account kwa njia hii.

Tatizo sio ku charge, tatizo nililoona ni problem ni amount wanayo charge ambayo ni 2%. Yan kwa malipo yanayofanyika lets say 2,500,000/=, wao watachukua 50,000/=, kiasi ambacho ni kikubwa mnooooo kwa namna ambavyo naona itakua mzigo.

Sasa naomba kujua kama kuna namna naweza pata hii huduma straight toka kwa NMB moja kwa moja maana hawa wateja wangu ni wateja wao already so wananufaika nao tayari, Je kuna uwezekano nikapata hii intergration toka kwao bila kupitia mtu kati?? Je kuna mtu anaweza akawa ameshafanya kitu ya namna hii na thia Bank??

UNAWEZA ULIZA WHY NISIENDE MWENYEWE NMB!?
Kiukweli nimeshawahi fika pale Hq kabisa Nmb sanaa house, lakini nikiri nilikutana na kikwazo. Either nilikutanishwa na mtu asiye sahihi au hakutaka kunisaidia japo am sure aliniewa.
Ni tofauti na ile bank nyingine (pale mitaa ya ubalozini) nilishafika na wao walikua straight kwenye makubaliano na walikua very official mpaka kufikia hatua ya kusaini nao mkataba wa huduma within 1 month tu baina yao na sisi na charges zao ni very reasonable naamini ni kwasababu niko nao direct in contract sio kupitia mtu kati. Japo nao kwenye implementation vijana wao wa tech wana usumbufu mkubwa tu.

Wakuu naomba kusaidiwa kujua kama kuna mtu amesha attend challenge kama hii najua humu pia kuna watu ambao pia wanaweza nisaidia ku skip hizi itifaki za kirasimu nikakutanishwa na watu sahihi pale Nmb.

Natangulisha shukrani.
Kama kuna mahala sijaeleza sawa niko tayar kutoa ufafanuzi.
Ahsanteni
Mkuu, omba NMB moja kwa moja. Nitakupa muongozo unapo hitajika
 
Reverse engineer API/Key kutoka kwenye POS, machine yao itaona POS imefanya request kumbe ni app Yako!
 
Back
Top Bottom