Mfumo (software) Kusomana na NMB account

Fanton Mahal omba, watakuita ( meeting) watahitaji kujiridhisha na huduma zako, lakini pia watahitaji VAPT kama umefanya ili wajiridhishe na hii ipo kwa wote hata Kama utataka Vodacom au NIDA ni utaratibu.. achana mtu kati
Maneno si ndio haya sasa. I knew hapa kuna kitu kitapatikana kwa manufaa ya wengim shukran sana mkuu. Soo niende pale Hq straight right. Niombe kuonana na kitengo cha digital marketing si ndio? Kuna mdau alisema hivi kule juu kabisaa
 
Vodacom ukikidhi vigezo vyao, hasa upande wa usalama na wakijiridhisha wanakupa. Nimekuwa nikifanya VAPT kwa company kadhaa zina hitaji kufanyia integration kuanzia NIDA, Vodacom etc

C.c Fanton Mahal
 
Reverse engineer API/Key kutoka kwenye POS, machine yao itaona POS imefanya request kumbe ni app Yako!
Shukran ,mwaga shule kidogo hapa. Japo hasa ninachohitaji ni kukutana na watu sahihi basi pale Nmb. Nitafika hapo kesho mapemaa
 
Maneno si ndio haya sasa. I knew hapa kuna kitu kitapatikana kwa manufaa ya wengim shukran sana mkuu. Soo niende pale Hq straight right. Niombe kuonana na kitengo cha digital marketing si ndio? Kuna mdau alisema hivi kule juu kabisaa
Nenda straight hapo, omba. Kesho nitakupa maelekezo kamili, maana kuna watu nawafanyia assessment upande wa security wanafanya hizo integration kesho nitakuchukulia maelezo yote, ila achana na mtu kati utaingia gharama
 
ila achana na mtu kati utaingia gharama
Kabisaa mkuu, Friday, nilifika Selcom, pale Uhuru Heights wale jamaa bwana hata sikuwaelewa.
Hata sijawaeleza what i exactly want, wao wakanipa requirements zao na wakasema wana charge 1.2M, nikaomba kkkao nao ,wakasema niwachek next week kuanzia kesho yan, so nitafika hapo na uzuri kwakua wako just opposite na Nmb, itakua rahis tu
 
Bongo watu hupenda tumia advantage
 
Kampuni kubwa ije kuomba msaada jamii forum una akili wewe NMB hawatoi api kwa company ndogo elewa dogo
Mkuu usiseme hivyo, ukubwa wa kampuni ukoje? mkuu unadhani wewe pekeako ndio una jua hizo mbanga ? me mwaka jana nlikuwa namuasist dogo mmoja hivi wa chuga na ishue kama hiyo jamaa wanampa API ina broken links za kutosha haifanyi kazi...sa si bora wasingempa tu na dogo kampuni yake ni kubwa yani kubwa sana....
 
Wadau gani hao walikua wanamfanyia hivyo ???
 
depending na swala lako, kupata straight kutoka NMB hio haiwezekan unless una leseni kama ya EVMAK lakini ipo njia unaweza kutumia benki zote kwa pamoja, kuna kampuni inaitwa selcom wao wana benki zote unataka na pia wa wenyewe ni benki, ila gharama zake lazima ulipe kama 2.5M kuanzia na utafanyiiwa upekuzi ofisi yako yote na utalipia 4% kwa kila transaction ila simplicity ni kwamba una access na mabenki yote nchini kama hao cooperate wako hawana shida sana na ghrama its a more nice choice
 
selcom kupewa api unalipia 2.5M na transactions za benki ni 4% per mwamala,, mobile money 1%
 
selcom kupewa api unalipia 2.5M na transactions za benki ni 4% per mwamala,, mobile money 1%
Nimefika selcom. Charges zao ni 1.2M. Na hawana hio 4% per transaction, lini mara ya mwisho ume deal nao kwenye hili???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…