LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,253
- 11,621
Wakuu na wadau wa jukwaa hili la Tech habari ya majukumu?
Kama mdau mwenzenu kwenye upande huu nimekuja kuomba kusaidiwa namna naweza pata mwongozo.
Nimekutana na challenge ambayo katika software wateja wangu wanatumia, kunahitajika namna ya kuweza kuona malipo yanayofanyika kwenye account moja kwa moja pasipo ulazima wa kusubiri waletewe payslips.
Sasa the development part na masuala ya APIs kwa ujumla wake ,yoote technical sio ishu maana ndio maisha yetu ya kila siku kama developers, Changamoto inakuja namna ya kupata hii access (intergratarion) kati ya software yetu na Nmb!.
Nimefuatilia na nikaja kutana na kampuni moja (jina kapuni) ambao wao wanatoa APIs za ku integrate kama vile nahitaji, lakini hawa wanafanya kazi kama aggregators (mtu kati) na hivyo kupelekea ku charge fee kwenye kila transaction ambayo itafanyika kwenye account kwa njia hii.
Tatizo sio ku charge, tatizo nililoona ni problem ni amount wanayo charge ambayo ni 2%. Yan kwa malipo yanayofanyika lets say 2,500,000/=, wao watachukua 50,000/=, kiasi ambacho ni kikubwa mnooooo kwa namna ambavyo naona itakua mzigo.
Sasa naomba kujua kama kuna namna naweza pata hii huduma straight toka kwa NMB moja kwa moja maana hawa wateja wangu ni wateja wao already so wananufaika nao tayari, Je kuna uwezekano nikapata hii intergration toka kwao bila kupitia mtu kati?? Je kuna mtu anaweza akawa ameshafanya kitu ya namna hii na thia Bank??
UNAWEZA ULIZA WHY NISIENDE MWENYEWE NMB!?
Kiukweli nimeshawahi fika pale Hq kabisa Nmb sanaa house, lakini nikiri nilikutana na kikwazo. Either nilikutanishwa na mtu asiye sahihi au hakutaka kunisaidia japo am sure aliniewa.
Ni tofauti na ile bank nyingine (pale mitaa ya ubalozini) nilishafika na wao walikua straight kwenye makubaliano na walikua very official mpaka kufikia hatua ya kusaini nao mkataba wa huduma within 1 month tu baina yao na sisi na charges zao ni very reasonable naamini ni kwasababu niko nao direct in contract sio kupitia mtu kati. Japo nao kwenye implementation vijana wao wa tech wana usumbufu mkubwa tu.
Wakuu naomba kusaidiwa kujua kama kuna mtu amesha attend challenge kama hii najua humu pia kuna watu ambao pia wanaweza nisaidia ku skip hizi itifaki za kirasimu nikakutanishwa na watu sahihi pale Nmb.
Natangulisha shukrani.
Kama kuna mahala sijaeleza sawa niko tayar kutoa ufafanuzi.
Ahsanteni