Mfumo huu wa kupanga matokeo ufutwe

Mfumo huu wa kupanga matokeo ufutwe

Unapofanya investment yeyote unaweza ukaitathmini on the basis of pass/fail testing, ranking au zote mbili. Unaposoma una invest muda wako na bongo lako hivyo ni vizuri kujua hata kama uko peke yako performance yako ikoje (pass/fail) na hapo unaweka pasing/failing grade. Lakini huko peke yako hapo ranking inaingia. Mwanafunzi mzuri anajua ranking huleta changa moto na kuwapa watoto motisha ya kufanya vizuri wasibweteke.
 
Hello JF.

Mie naona hii system ya kuwapa nafasi watoto kwenye matokeo yao kuwa wamekuwa wa kwanza,wa pili au wa mwisho darasani ifutwe,haina maana kabisa,imagine unakuwa wa mwisho Feza Girls ,hamuoni kuwa hii inamuaffect mtoto anakuwa demoralized???low self esteem na hata akimaliza shule anakua haunted by school experience?!..............................nasuggest kuwa na passing grade say average ni 50% mtu anajua amefeli au amefaulu kwa kiasi gani,hii nayo ina matatizo yake ila sio kama kuwa wa mwisho aisee 😀😀,..................serikali ipime hili,wataona benefits za passing grade ni better than kubrand watoto failure..................
Rebeca, nimefanya homework uliyonipa. Nikakuta nchi moja ambayo haina grading. Lakini wanaanza grading unapoingia sekondari?? . nchi hiyo ni Finland. Nadhani you might be right to some limits. Wazo lako ni zuri, nimekuja kulitafakari zaidi. Lakini huko Finland, ukisoma sysytem yao ya education is very comprehensive and inclusive. I will come back to you later on this.
 
Hata sidhani km tunaelewana, tukiweka 50% au 'C' ndio pass grade, Hii je sio ranking? Mtoto anaona kama Matokeo yake yako far ama karibu na pass grade, ataweka jitihada apate pass grade, (atashirikisha bongo lake as you said) ninachopinga mimi ni kuwapa nafasi wa kwanza, Sijui wa mwisho, sidhani kama mtu mwenye low self esteem atakazania masomo na kupass....
 
Rebeca, nimefanya homework uliyonipa. Nikakuta nchi moja ambayo haina grading. Lakini wanaanza grading unapoingia sekondari?? . nchi hiyo ni Finland. Nadhani you might be right to some limits. Wazo lako ni zuri, nimekuja kulitafakari zaidi. Lakini huko Finland, ukisoma sysytem yao ya education is very comprehensive and inclusive. I will come back to you later on this.

please come back uniokoe,lol
 
hivi umenielewa kweli???mitihani iwepo,lakini sio kuwawekea nafasi ya mwisho au ya kwanza,mkuu nimeona mahali and it works,mbadala wa mitihani si course work?? sipo huko mkuu anyway ni maoni yako nayaheshimu pia.

Mawazo ama ideas sikuzote ndio chanzo cha maendeleo , kwahiyo ideas pamoja na hii yako ni nzuri zinapimwa na itakayoonekana inafaa inafanywa part of system, lakini kwa mfumo wa sasa walimu wanajukumu la kuwajengea self esteem hao watoto kwa psychological technique walizonazo.

Wawasaidie kutoka hapo walipo na kupanda wastani kitendo ambacho kitawapa kujiamini zaidi watakapoona wamejikomboa kwa juhudi zao wenyewe kuliko kufichiwa tatizo lao bila kuondoa tatizo lenyewe,
 
Hello JF.

Mie naona hii system ya kuwapa nafasi watoto kwenye matokeo yao kuwa wamekuwa wa kwanza,wa pili au wa mwisho darasani ifutwe,haina maana kabisa,imagine unakuwa wa mwisho Feza Girls ,hamuoni kuwa hii inamuaffect mtoto anakuwa demoralized???low self esteem na hata akimaliza shule anakua haunted by school experience?!..............................nasuggest kuwa na passing grade say average ni 50% mtu anajua amefeli au amefaulu kwa kiasi gani,hii nayo ina matatizo yake ila sio kama kuwa wa mwisho aisee 😀😀,..................serikali ipime hili,wataona benefits za passing grade ni better than kubrand watoto failure..................

26 Amazing Facts About Finlands Unorthodox Education System

Since it implemented huge education reforms 40 years ago, Finland's school system has consistently come at the top for the international rankings for education systems.

So how do they do it? It's simple — by going against the evaluation-driven, centralized model that much of the Western world uses.


1. Finnish children don't start school until they are 7.


2. Compared with other systems, they rarely take exams or do homework until they are well into their teens.



3. The children are not measured at all for the first six years of their education.


4. There is only one mandatory standardized test in Finland, taken when children are 16.



5. All children, clever or not, are taught in the same classrooms.


6. Finland spends around 30 percent less per student than the United States.



7. 30 percent of children receive extra help during their first nine years of

school.


8. 66 percent of students go to college.

9. The difference between weakest and strongest students is the smallest in the World


10. Science classes are capped at 16 students so that they may

perform practical experiments every class.


11. 93 percent of Finns graduate from high school.


12. 17.5 percent higher than the US.



13. 43 percent of Finnish high-school students go to vocational

schools.


14. Elementary school students get 75 minutes of recess a day in

Finnish versus an average of 27 minutes in the US.



15. Teachers only spend 4 hours a day in the classroom, and take 2

hours a week for "professional development".



16. Finland has the same amount of teachers as New York City, but


far fewer students.



17. 600,000 students compared to 1.1 million in NYC.


18. The school system is 100% state funded.



19. All teachers in Finland must have a masters degree, which is

fully subsidized.


20. The national curriculum is only broad guidelines.



21. Teachers are selected from the top 10% of graduates.


22. The average starting salary for a Finnish teacher was $29,000 in


23. 2008 Compared with $36,000 in the United States.

24. However, high school teachers with 15 years of experience make

102 percent of what other college graduates make. In the US,

this figure is 62%.


25. There is no merit pay for teachers


26. Teachers are effectively given the same status as doctors and


lawyers
 
Mkuu Retired nimeipenda hio, lol,i hope wengine watajifunza kitu hapo....
 
Mawazo ama ideas sikuzote ndio chanzo cha maendeleo , kwahiyo ideas pamoja na hii yako ni nzuri zinapimwa na itakayoonekana inafaa inafanywa part of system, lakini kwa mfumo wa sasa walimu wanajukumu la kuwajengea self esteem hao watoto kwa psychological technique walizonazo. Wawasaidie kutoka hapo walipo na kupanda wastani kitendo ambacho kitawapa kujiamini zaidi watakapoona wamejikomboa kwa juhudi zao wenyewe kuliko kufichiwa tatizo lao bila kuondoa tatizo lenyewe,

asante mkuu,but swala la walimu kusoma psychology,limekua formality tu,kwenye implemention hulioni,for example ni shule gani washawahi ku assess mwanafunzi Fulani anahitaji psychological intervention? na kulifanyia kazi?ukilifanyia uchunguzi utashangaa,lol system tuliyonayo kuna wanafunzi inawafail.....................
 
Back
Top Bottom