Mfugale amuokoa Kamwelwe kutumbuliwa

Mfugale amuokoa Kamwelwe kutumbuliwa

Huu ni mwendelezo wa mabadiliko Chanya kwa rais Magufuli. Kila siku nawaeleza watu humu kuwa this man is changing for the better.

Ule Utumbuaji wa papara sasa basi.
Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!

P
Mosi, mi nimeona kuna kitu kimefichika! Kwa mfano kwann blame ya kutofukuza regional Engineer na wale 12 asipewe Waziri Mkuu badala yake Waziri na mkurugenzi TANROAD? Je kati ya hao kuna anayeweza ku-overturn decision made by PM aliyesema ahamishwe? Na sheria za nchi zinasemaje?

Pili, agizo katika suala la kujenga daraja la muda pembeni alitoa PM ili magari yapite matokeo yake hydrological maps hazikutazamwa vizuri pia upana wa flood basin haukuangaliwa na pia ubadilikanaji wa mkondo kutoka sehemu yake asili pia! matokeo yake maamuzi ya kisiasa! Baada ya siku kadhaa daraja limesombwa tena!

Tatu, Pamoja na kwamba mvua imechangia ila ukiangalia alipopita Rais leo, unaona kabisa river banks zimekuwa sort of constrained maana yake mkondo umefinywa na shughuli za kilimo je huko upper riparian areas kwa kiasi gani alteration hiyo imefanyika je principles za fluid dynamics zinaangaliwa kwa mapana yake? Je 60m za kuacha mto upumue kama sheria za mazingira za nchi zinavyosema zimezingatiwa?

Nne, je huu mto Kiegeya si distributary ya bwawa Mtera? Je Bwawa la Kidatu? Bwawa la Mtera au Bwawa la Kidatu si Wami River Basin System? How big is the catchment area? Si majuzi tuliambiwa mlango wa Bwawa utafunguliwa kulinusuru lisi-overflow na kuleta floods ama hata dam banks kupasuka na kuleta madhara mabaya zaidi? Je si maafa haya yamesababishwa na hili?

Tano na mwisho, na kama Bwawa la Mtera halipo Wami basin, je hakuna mabwawa mengine ya Umeme ama Umwagiliaji upper Riparian areas kati ya Kilosa na Kongwa/Mpwapwa yaliyofunguliwa maji kupunguza kina na kusababisha floods lower Riparian? Sasa cha ajabu nini kama madaraja yanasombwa na water velocity kubwa?

Hii maneno leo imenifanya nijiulize mara kumikumi? Je JPM aliuliza watalaam wetu wa SUA juu ya hili? Kama hapana jee maamuzi yake yako sahihi? Kusema kweli ndo maana huwa sipendi mob justice ya JPM kuna vitu vinapaswa kuangaliwa kwa kina kwa kiasi kikubwa naweza kuhusisha hili la nne na la tano na ubomokaji wa daraja la mto Kiegeya mara mbili.

To prove this I will prefer a more scientific approach!













The-Rufiji-River-its-main-tributaries-and-existing-and-planned-dams.png


800px-Rufiji_River_basin_map.svg.png


Map-of-the-Wami-River-basin-showing-the-locations-in-red-that-were-selected-for-the_Q640.jpg


 
Huenda kuna mizigo inapita Morogoro then Dodoma then Iringa then Mbeya then Malawi au Zambia..
Mkuu daraja linalounganisha mikoa ya Morogoro na Dodoma linawezaje kupitisha mizigo inayokwenda Malawi na Zambia ?
Mimi nia mahindi Kibaigwa au Kiteto yanatakiwa Zambia, sitakiwi kupita daraja la Kiyegeya, Msamvu zambia?
au Mzigo wa Zambia hauruhusiwi kupitia hapo kwenda Rwanda? mbona Geography ipo sawa tu
 
Mimi nia mahindi Kibaigwa au Kiteto yanatakiwa Zambia, sitakiwi kupita daraja la Kiyegeya, Msamvu zambia?
au Mzigo wa Zambia hauruhusiwi kupitia hapo kwenda Rwanda? mbona Geography ipo sawa tu

Mkuu mimi binafsi sijazungumzia ''katazo'' (kama ulivyouliza kwa kutumia neno siruhusiwi). Hoja yangu imejikita kwenye logic ndogo tu ya umbali (njia fupi dhidi ya njia ndefu).
Suala la maamuzi ya mzigo upite wapi mwisho wa siku lipo mikononi mwa mwenye huo mzigo (na kama akiamua kupita njia ndefu hakuna kinachoharibika japokua ni jambo la kushangaza kidogo).
Kibaigwa iko wilayani Kongwa mkoani Dodoma, bado kupita njia ya Morogoro ili mwisho wa siku ufike Iringa na Mbeya ni kupita njia ndefu.
Kuhusu Kiteto (to be honest) sijajua.

Daraja la Mkapa (lililopo wilayani Rufiji) ni kiungo muhimu kwa watu wa mikoa ya kusini mwa Tanzania. Lakini unaweza kulitumia hilo daraja Kutoka Dar kwenda Dodoma (ila utashangaza watu, kama mimi nilivyoshangaa suala la Kiyegeya na mizigo ya Zambia na Malawi).
Hivi ndivyo unavyoweza kufika Dodoma (kutoka Dar) kwa kupita kwenye Daraja la Mkapa.
Dar-Pwani (kupitia Mkuranga) -Lindi-Mtwara (Kupitia Masasi)-Ruvuma (Kupitia Tunduru) - Njombe-Iringa-Dodoma.
Daraja hili likikatika, ukasema limezuia usafirishaji wa kuelekea kanda ya kati (Dodoma) unakua uko sahihi lakini kijiografia na kiuchumi unakua unawashangaza watu.

Naomba kuwasilisha.
NB: Nimekubaliana na wewe, nimeshangaa.
 
He is changing for the better ndio maana hata ujenzi na usimamizi wa airports umeondolewa kutoka TAA na kwenda Tanroads ili apige hela vizuri na rafiki yake Mfwagale kupitia Ma.yanga Constru..
Simple taa ni for management of the airport , hivyo unit ya ujenzi ni sehemu ndogo ya mngt ya TAA, wakati Tanroads idara ya ujenzi wa miundo mbinu ndio jambo lake kuu , hivyo ukija suala hilo kwa airports wao ndio wanao faa, au wewe unaona ni sawa mtu wa Business Administration akashughulikia suala la majenzi??
 
Simple taa ni for management of the airport , hivyo unit ya ujenzi ni sehemu ndogo ya mngt ya TAA, wakati Tanroads idara ya ujenzi wa miundo mbinu ndio jambo lake kuu , hivyo ukija suala hilo kwa airports wao ndio wanao faa, au wewe unaona ni sawa mtu wa Business Administration akashughulikia suala la majenzi??
Umejibu kwa mawazo yako. Kasome sheria iliyoanzisha TAA halafu uje tena.
 
Mimi nia mahindi Kibaigwa au Kiteto yanatakiwa Zambia, sitakiwi kupita daraja la Kiyegeya, Msamvu zambia?
au Mzigo wa Zambia hauruhusiwi kupitia hapo kwenda Rwanda? mbona Geography ipo sawa tu
Pitisha Mtera Mkuu.
Moro unazunguka

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Kigogo sheria haisimami pekee yake ina vikorombwezo vingi ndio maana huwa wana refer sheria nyingine ( read with) ili kuleta maana inayotakiwa, yaani sheria moja isipingane na sheria nyingine au iungwe mkono na sheria nyingine
 
Pitisha Mtera Mkuu.
Moro unazunguka
Mkuu mimi binafsi sijazungumzia ''katazo'' (kama ulivyouliza kwa kutumia neno siruhusiwi).
ukasema limezuia usafirishaji wa kuelekea kanda ya kati (Dodoma) unakua uko sahihi lakini kijiografia na kiuchumi unakua unawashangaza watu.
Naomba kuwasilisha.
NB: Nimekubaliana na wewe, nimeshangaa.
tufanye imeeleweka maana nilitaka kumsaidia mleta mada
nawaelewa lkn msilazimishe njia moja tunaotorosha Bhange, Tanzanite au hao waEthiopia na waSomalia wanakatiza hapo kutokea Namanga, Arusha, Simanjiro, Kiteto, Kiyegeya, Dumila, Kilosa Mikumi Zambia ni salama zaidi
 
Natoa Last Warning Kwa Chief Executive Wa TANROAD Waziri Wa Ujenzi
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Namuona kama Kamwelwe alikuwa na msaada fulani wa kuiwezesha CCM katika kipindi cha uchaguzi, anabebwa na mema ya nyuma.

Kiumri anaonekana ni mtu ambaye muda wa kustaafu umeshafika, kuna kasi fulani ya kiutendaji ambayo mtu akifikishwa umri mkubwa anakuwa hawezi tena kwenda nayo.
 
Back
Top Bottom