Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
Asiwe na double standard kama kweli ni mtumbuajiKutumbua hio wizara hapo ni sawa na kutumbua bashite,hapi,chalamila,mnyeti,muro au sabaya.Dabo standard
In God we Trust

Mkuu paskal hivi leo nikuulize mbele ya hadhara ya Jf
Wewe ni mwanaharakati wa ccm au chadema au neutral maana ukija kwa chadema huwa unaponda sana ccm na sera zake,ukija tena chadema huwa unawaponda...
Wewe ni mtu gani?
Mwana siasa mlengwa gani?
Sitaki ku tag mada zako hapa ukinilazim nifungue uzi nitafungua ila hebu tufahamishe hapa mkuu..
Naheshim maoni yako
Ili aweze kuitendea haki profession yake P hawezi kuwa na upande, na siku akianza kuwa na upande hatakuwa na tofauti na mmiliki WA gazeti la tanzanite. Acha azingatie profession yake na ailinde leo mtamchukia kesho mtamshangilia ili mladi Jembe liitwe Jembe na Shoka liitwe Shoka na si panga.Mkuu paskal hivi leo nikuulize mbele ya hadhara ya Jf
Wewe ni mwanaharakati wa ccm au chadema au neutral maana ukija kwa chadema huwa unaponda sana ccm na sera zake,ukija tena chadema huwa unawaponda...
Wewe ni mtu gani?
Mwana siasa mlengwa gani?
Sitaki ku tag mada zako hapa ukinilazim nifungue uzi nitafungua ila hebu tufahamishe hapa mkuu..
Naheshim maoni yako
Kilichotokea muda mfupi katika ukaguzi wa rais kwenye kalavati la Kayegeya linalounganisha barabara ya Morogoro na Dodoma ambalo hivi siku za karibuni limekwenda na maji hivyo kupelekea serikali kuagiza kutengenezwa daraja eneo hilo.
Kwa kweli usumbufu kwa wasafiri na wasafarishaji wa mizigo umekuwa ni mkubwa sana ukizingatia hiyo ni barabara kuu inayopitisha abiria na mizigo mingi ya ndani na nje ya nchi kwa majirani zetu kama vile Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi n.k
Leo Mh. Rais Magufuli akipita maeneo hayo amekagua ujenzi unaoendelea hapo wa daraja ambalo nalo lilienda na maji. Rais amekasirishwa sana na maelezo aliyokuwa anapewa na watendaji wake akiwemo Waziri wa ujenzi na uchukuzi ambaye amekiri makosa na kuomba msamaha wa wazi kwa rais.
Kufuatia hali ya watendaji wale wa Wizara na TANROADS kutokuwa na majibu ya kumridhisha rais, binafsi nimemuona rais akitafakari kwa kina kuona ni hatua gani stahiki ambayo angeweza kuchukua dhidi ya watendaji hao.
Ametafakari kwa muda alipokosa cha kuamua ikabidi auze mchezo kwa wananchi waamue nini afanye ambapo wananchi wamesema awasamehe tu, ila mheshimiwa rais ameagiza kusimamishwa kazi wahandisi takribani 13 wa TANROADS na uchunguzi ufanyike dhidi yao.
Kwa muonekano aliokuwa nao rais alitaka kumtumbua waziri na safu ya maofisa wa TANROADS hasa meneja wa mkoa wa Morogoro lakini akaona anaweza kumtumbua waziri na akamuacha CE wa TANROADS ambaye yeye mwenyewe amekiri laivu ni kutokana na kuguswa na kazi zake anazozifanya zinamkosha.
Kwa Leo ni hilo tu limemuokoa Eng. Kamwelwe kutumbuliwa lakini pia tukumbuke mahusiano makubwa yaliyopo kati ya boss huyo wa TANROADS na Rais pasi na shaka ndio yameathiri maamuzi ya mheshimiwa rais hivyo kuishia kutoa onyo kwa Mfugale na Kamwelwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda kuna mizigo inapita Morogoro then Dodoma then Iringa then Mbeya then Malawi au Zambia..Mkuu daraja linalounganisha mikoa ya Morogoro na Dodoma linawezaje kupitisha mizigo inayokwenda Malawi na Zambia ?
Huu ni mwendelezo wa mabadiliko Chanya kwa rais Magufuli. Kila siku nawaeleza watu humu kuwa this man is changing for the better.
Ule Utumbuaji wa papara sasa basi.
Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!
P
Kamwele hivi ana miaka mingapi , au anaumwa ?Kilichotokea muda mfupi katika ukaguzi wa rais kwenye kalavati la Kayegeya linalounganisha barabara ya Morogoro na Dodoma ambalo hivi siku za karibuni limekwenda na maji hivyo kupelekea serikali kuagiza kutengenezwa daraja eneo hilo.
Kwa kweli usumbufu kwa wasafiri na wasafarishaji wa mizigo umekuwa ni mkubwa sana ukizingatia hiyo ni barabara kuu inayopitisha abiria na mizigo mingi ya ndani na nje ya nchi kwa majirani zetu kama vile Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi n.k
Leo Mh. Rais Magufuli akipita maeneo hayo amekagua ujenzi unaoendelea hapo wa daraja ambalo nalo lilienda na maji. Rais amekasirishwa sana na maelezo aliyokuwa anapewa na watendaji wake akiwemo Waziri wa ujenzi na uchukuzi ambaye amekiri makosa na kuomba msamaha wa wazi kwa rais.
Kufuatia hali ya watendaji wale wa Wizara na TANROADS kutokuwa na majibu ya kumridhisha rais, binafsi nimemuona rais akitafakari kwa kina kuona ni hatua gani stahiki ambayo angeweza kuchukua dhidi ya watendaji hao.
Ametafakari kwa muda alipokosa cha kuamua ikabidi auze mchezo kwa wananchi waamue nini afanye ambapo wananchi wamesema awasamehe tu, ila mheshimiwa rais ameagiza kusimamishwa kazi wahandisi takribani 13 wa TANROADS na uchunguzi ufanyike dhidi yao.
Kwa muonekano aliokuwa nao rais alitaka kumtumbua waziri na safu ya maofisa wa TANROADS hasa meneja wa mkoa wa Morogoro lakini akaona anaweza kumtumbua waziri na akamuacha CE wa TANROADS ambaye yeye mwenyewe amekiri laivu ni kutokana na kuguswa na kazi zake anazozifanya zinamkosha.
Kwa Leo ni hilo tu limemuokoa Eng. Kamwelwe kutumbuliwa lakini pia tukumbuke mahusiano makubwa yaliyopo kati ya boss huyo wa TANROADS na Rais pasi na shaka ndio yameathiri maamuzi ya mheshimiwa rais hivyo kuishia kutoa onyo kwa Mfugale na Kamwelwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
kutoka wapi ?Huenda kuna mizigo inapita Morogoro then Dodoma then Iringa then Mbeya then Malawi au Zambia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lisolowezekana....dar...morogoro....Dodoma ...iringa...mbeya....Malawi/Zambia......tehtehteh...distance does not matter and even costs...tehtehtehMkuu daraja linalounganisha mikoa ya Morogoro na Dodoma linawezaje kupitisha mizigo inayokwenda Malawi na Zambia ?
😆😆😆 Long Distance TradeHuenda kuna mizigo inapita Morogoro then Dodoma then Iringa then Mbeya then Malawi au Zambia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lisolowezekana....dar...morogoro....Dodoma ...iringa...mbeya....Malawi/Zambia......tehtehteh...distance does not matter and even costs...tehtehteh
Mtu anayetoka dar kwenda iringa mbeya akipita dodoma anafika haraka kuliko mtu anayepitia mikumi nadhani umenielewa...Mkuu daraja linalounganisha mikoa ya Morogoro na Dodoma linawezaje kupitisha mizigo inayokwenda Malawi na Zambia ?
Hii Statement inaweza kutolewa kweli na kiongozi wa nchi dhidi ya watendaji wake publicly ?Huu ni mwendelezo wa mabadiliko Chanya kwa rais Magufuli. Kila siku nawaeleza watu humu kuwa this man is changing for the better.
Ule Utumbuaji wa papara sasa basi.
Je, inawezekana huu ndio mwisho wa utumbuaji wa papara na kukurupuka?! Mkuu kutumbuliwa soon!
P
Zambia na Malawi kumbe zinapitia Dodoma ndio najua leo.Kilichotokea muda mfupi katika ukaguzi wa rais kwenye kalavati la Kayegeya linalounganisha barabara ya Morogoro na Dodoma ambalo hivi siku za karibuni limekwenda na maji hivyo kupelekea serikali kuagiza kutengenezwa daraja eneo hilo.
Kwa kweli usumbufu kwa wasafiri na wasafarishaji wa mizigo umekuwa ni mkubwa sana ukizingatia hiyo ni barabara kuu inayopitisha abiria na mizigo mingi ya ndani na nje ya nchi kwa majirani zetu kama vile Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi n.k
Leo Mh. Rais Magufuli akipita maeneo hayo amekagua ujenzi unaoendelea hapo wa daraja ambalo nalo lilienda na maji. Rais amekasirishwa sana na maelezo aliyokuwa anapewa na watendaji wake akiwemo Waziri wa ujenzi na uchukuzi ambaye amekiri makosa na kuomba msamaha wa wazi kwa rais.
Kufuatia hali ya watendaji wale wa Wizara na TANROADS kutokuwa na majibu ya kumridhisha rais, binafsi nimemuona rais akitafakari kwa kina kuona ni hatua gani stahiki ambayo angeweza kuchukua dhidi ya watendaji hao.
Ametafakari kwa muda alipokosa cha kuamua ikabidi auze mchezo kwa wananchi waamue nini afanye ambapo wananchi wamesema awasamehe tu, ila mheshimiwa rais ameagiza kusimamishwa kazi wahandisi takribani 13 wa TANROADS na uchunguzi ufanyike dhidi yao.
Kwa muonekano aliokuwa nao rais alitaka kumtumbua waziri na safu ya maofisa wa TANROADS hasa meneja wa mkoa wa Morogoro lakini akaona anaweza kumtumbua waziri na akamuacha CE wa TANROADS ambaye yeye mwenyewe amekiri laivu ni kutokana na kuguswa na kazi zake anazozifanya zinamkosha.
Kwa Leo ni hilo tu limemuokoa Eng. Kamwelwe kutumbuliwa lakini pia tukumbuke mahusiano makubwa yaliyopo kati ya boss huyo wa TANROADS na Rais pasi na shaka ndio yameathiri maamuzi ya mheshimiwa rais hivyo kuishia kutoa onyo kwa Mfugale na Kamwelwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro, naona kama kawaida yako kwenye nyuzi za mkuu huwaga haubaki nyuma lazima uchangie uweke udambwiudambwi kidogo lkn pole sana kwa siku tulizonazo na ukicheki kina Mashinji wako huko kwenu sidhani kama utapata hata ubalozi wa nyumba kumi.Huu ni mwendelezo wa mabadiliko Chanya kwa rais Magufuli. Kila siku nawaeleza watu humu kuwa this man is changing for the better.