Mfanye mkeo akuvutie, kukimbilia michepuko sio dawa

Mfanye mkeo akuvutie, kukimbilia michepuko sio dawa

Na nyie wanaume wakati meingine kama mmerogwa.....

Kama mkeo haogi...ingia nae bafuni mkaoge

Kama chupi zimegina nenda nae shopping mnunue...

Kama nywele mvovu mgonge 1.2m za nywele na weekend mdrop saluni

Kazi zikimzidia muwekee wafanyakazi 2-3
 
KHAAAAA.... DAAAAAAH...

Kumbe WANAWAKE ndio wakogo hivi wanapoingia kwenye ndoa....

Hakiyanani ***** sioi mimi..
Nitabaki mtu wa kuwa GONGA kuwa BANJUA na kuwa TEMA tuu....
Hakuna namna sasa....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Unaona siiiiiiifa mwenyewe. Utoto bwana kazi sana
 
Huko sasa nikubishana na maandiko
Ndio kizazi cha siku hizi ndg yangu.
Unaweza oa mwanamke alafu akakupanda kichwani, yeye ndo anataka awe kichwa cha familia mwisho wa siku linatokea anguko kuu.
 
Inagharimu haswa..wenye akili ndogo utasikia nimerogwa hahahaa.
Maambukizi ya magonjwa ya zinaa,kufulia,stress...na ukipata mchepuko kama asha ngedere hata pressure unapata.
Ila maisha haya acha tu.
 
Na nyie wanaume wakati meingine kama mmerogwa.....

Kama mkeo haogi...ingia nae bafuni mkaoge

Kama chupi zimegina nenda nae shopping mnunue...

Kama nywele mvovu mgonge 1.2m za nywele na weekend mdrop saluni

Kazi zikimzidia muwekee wafanyakazi 2-3

Ndio maana mie sivai chupi kama mmasai, na sivai nywele za maiti, mawigi. Vikorokocho lukuki vya kazi gani? Vinakuongezea presha tu na kukupunguzia uhai.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Ndio maana mie sivai chupi kama mmasai, na sivai nywele za maiti, mawigi. Vikorokocho lukuki vya kazi gani? Vinakuongezea presha tu na kukupunguzia uhai.
[emoji3] [emoji3] hapo kwenye kutovaa chupi duuuuh. Angalia isipigwe na vumbi au mdudu akaitambalia.
 
Kwan wanaume Malaya na walev ni kwel wake zao pasua kichwa wengine ni tabia zao tu Za umalaya na ulev, ila wanawake wajitunze pia kujali mume na watoto kua msafi kimuonekano na Ata kujiweka smart na pia wanaume watimize wajibu wakuwajal wake zao, utakuta mwanaume Ata Ela ya kusuka hutoi kila cku utamkuta mkeo na mistar mitatu ya nyuma pia kumrelebisha mkeo pale anapokesea c unasema kumkomoa nibebe michepuko hiyo solution Zaid Sana kuharibu, afu mwanamke unazaa unakua kama nyumba bonge wakat mumewe anapenda modo, jitahid kujimaintain kama ulivyoolewa au uongezeke kidogo tuu
 
Back
Top Bottom