M Mkurabitambo JF-Expert Member Feb 3, 2010 230 57 Sep 10, 2012 #1 rais Obama akibebwa na muuza pizza
LiverpoolFC JF-Expert Member Apr 12, 2011 11,348 3,219 Sep 10, 2012 #3 Hii nimeipenda sana! Mkurabitambo said: View attachment 64530 rais Obama akibebwa na muuza pizza Click to expand...
Hii nimeipenda sana! Mkurabitambo said: View attachment 64530 rais Obama akibebwa na muuza pizza Click to expand...
Facilitator JF-Expert Member Oct 30, 2010 2,280 1,763 Sep 10, 2012 #6 ELFU-ONEIR said: Nikama unataka ujikute mabwepande Click to expand... Sio ujikute, Ukutwe umeshapoa saa nyingiiii.
ELFU-ONEIR said: Nikama unataka ujikute mabwepande Click to expand... Sio ujikute, Ukutwe umeshapoa saa nyingiiii.
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,697 68,682 Sep 10, 2012 #7 Khaaa sidhani hata kama utapata kumbukumbu ulimshusha vp baba riz maana hicho kichapo lazima brain-wash ikupate ukiwa mabwepande!
Khaaa sidhani hata kama utapata kumbukumbu ulimshusha vp baba riz maana hicho kichapo lazima brain-wash ikupate ukiwa mabwepande!
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,204 128,024 Sep 11, 2012 #8 Mfanyie the same yule mchawi utaona matokeo yake. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,510 28,417 Sep 11, 2012 #9 ukimfanyia hii kitu baba titz utamtambua JACK ZOKA ni nani......
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Jul 12, 2012 2,042 599 Sep 11, 2012 #11 utaambiwa umetumwa na chadema kitakachofatia hapo kama si kuulimbokaliwa basi kumwangosiwa,mbona utataja majina yote ya ukoo wenu.
utaambiwa umetumwa na chadema kitakachofatia hapo kama si kuulimbokaliwa basi kumwangosiwa,mbona utataja majina yote ya ukoo wenu.
Money Stunna JF-Expert Member Aug 9, 2011 13,054 6,281 Sep 11, 2012 #12 ukifanya hivo nchi zetu za africa,utosahau iko kipigo utakachopata unaweza kuja kushtuka uko kaburini
ukifanya hivo nchi zetu za africa,utosahau iko kipigo utakachopata unaweza kuja kushtuka uko kaburini
S Seif al Islam JF-Expert Member Nov 14, 2011 2,156 638 Sep 11, 2012 #13 unajua kule marekani viongozi wana afya njema na hawaanguki hovyo ndo maana watu wanaweza kuwabeba kirahisi tuu
unajua kule marekani viongozi wana afya njema na hawaanguki hovyo ndo maana watu wanaweza kuwabeba kirahisi tuu
BornTown JF-Expert Member May 7, 2008 1,716 481 Sep 11, 2012 #14 Obama ni mtu wa watu anapendwa na wengi hana makuu kama huyu wetu, maisha yake yako very simple hata ukiangalia familia yake hawana makuu. Njoo kwenye maraisi wa kwetu afrika na familia zao utajuta wanajiona wao wako juu ya sheria!
Obama ni mtu wa watu anapendwa na wengi hana makuu kama huyu wetu, maisha yake yako very simple hata ukiangalia familia yake hawana makuu. Njoo kwenye maraisi wa kwetu afrika na familia zao utajuta wanajiona wao wako juu ya sheria!