Moise Katumbi anafaa kuwa Rais wa Congo tuache ushabiki wa kijinga tumpe nchi Katumbi

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Kumlinganisha felix tshisekedi na moise katumbi ni matumizi mabaya ya akili.

Hata vitabu vya Mungu vinasema kuwa

Kila mtu uongezewa kitu akiwa nacho

Sio kwamba ataongezewa akili na wakati Hana akili

Felix tshisekedi kabla ya kuwa rais alikuwa muuza pizza uko beljiji

Moise katumbi kabla ya kuwa gavana alikuwa

economic operator

Alikuwa tayari Ana ndege zake Ana makampuni mengi

Ana miliki club ya mpira na mengine mengi

Alafu wanatokea wa pumbavu wanasema moise hawezi kuendesha nchi

Kuendesha biashara tu mpaka ufikie level ya akina moise na wengine wengi ni Sawa na kuendesha nchi tu.

Maana unahitaji akili nyingi, usimamizi ,umakini na mengine mengi.

Sasa yeye felix kabla ya kuwa rais alikuwa Ana miliki nini hakuna.

Nchi tumpe katumbi.

Kongo ni tajiri na inahitaji mtu tajiri ili ipate kuendelea.
IMG_0710.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom