Una mtoto wa kiume halafu unampeleka boarding?

Mtoto kubadirisha mazingira pia ni darasa zuri

Mtoto wangu wa kiume alikaa boarding mwaka mmoja aise tokea amerudi ukiingia chumbani Kwake ni kusafi sana na Kila kitu kipo sehemu yake lakini kabla ya hapo ilikuwa ukiingia chumbani Kwake ni timu timu ilikuwa sio ajabu kukuta viatu vipo kitandani
 
Hii kwa wanaume!!!

Kama wewe ni baba na unataka kumtengeneza mwanao awe baba, usikubali kumpeleka mwanao kwenye shule za boarding...

Ajira zipo mtaani...mfanye mwanao ajue kitaa zaidi kwa sababu mafanikio ya mtoto yanategemeana na mazingira yanayomzunguka.
Kwa Dar es Salaam Kutwa kwa mtoto wa Secondary ni mateso.
Labda kama shule anayosoma haihitaji usafiri wa aina yoyote ile.
 
Mtoto kubadirisha mazingira pia ni darasa zuri

Mtoto wangu wa kiume alikaa boarding mwaka mmoja aise tokea amerudi ukiingia chumbani Kwake ni kusafi sana na Kila kitu kipo sehemu yake lakini kabla ya hapo ilikuwa ukiingia chumbani Kwake ni timu timu ilikuwa sio ajabu kukuta viatu vipo kitandani
Safi! Nimejifunza kitu
 
Nyie ambao hamjasoma boarding mkifika makazini ndio mnaanza kusumbua watu.

Mtu unaambiwa nenda Tanga sehemu flani, unaanza kuogopa wakati kama ungesoma boarding mkoa tofauti na nyumbani kusafiri mbali bila msaada inakua kawaida tu.

Hiyo ni faida moja wapo tu ya boarding zipo nyingi.
 
Mtoto kubadirisha mazingira pia ni darasa zuri

Mtoto wangu wa kiume alikaa boarding mwaka mmoja aise tokea amerudi ukiingia chumbani Kwake ni kusafi sana na Kila kitu kipo sehemu yake lakini kabla ya hapo ilikuwa ukiingia chumbani Kwake ni timu timu ilikuwa sio ajabu kukuta viatu vipo kitandani
Maana yake nini, ulishindwa kumfundisha usafi na unadhifu akaenda kufundishwa shuleni. Huko boarding hata mimi siafiki kabisa kwa kijana wa tertiary school.
 
Hii kwa wanaume!!!

Kama wewe ni baba na unataka kumtengeneza mwanao awe baba, usikubali kumpeleka mwanao kwenye shule za boarding...

Ajira zipo mtaani...mfanye mwanao ajue kitaa zaidi kwa sababu mafanikio ya mtoto yanategemeana na mazingira yanayomzunguka.
hayo mateso ya watoto kukimbizana na daladala (mfano Dar) na kuishia kurudi nyumbani saa mbili ya usiku umeona ni jambo jema kwa mtoto?
 
Unaongelea boarding shule ya msingi au sekondari?

Boarding ni sehem ya mafunzi na kuanza kujitegemea na kuendesha mambo Yako bila kutegemea usimamizi wa wazazi/ walezi.

Inakutayarisha kwa hatua inayofuatia kwenye maisha. Kuondoka nyumbani na kujitegemea.
 
Mtoto kubadirisha mazingira pia ni darasa zuri

Mtoto wangu wa kiume alikaa boarding mwaka mmoja aise tokea amerudi ukiingia chumbani Kwake ni kusafi sana na Kila kitu kipo sehemu yake lakini kabla ya hapo ilikuwa ukiingia chumbani Kwake ni timu timu ilikuwa sio ajabu kukuta viatu vipo kitandani
Shida ilikuwa malezi yako
 
Hii kwa wanaume!!!

Kama wewe ni baba na unataka kumtengeneza mwanao awe baba, usikubali kumpeleka mwanao kwenye shule za boarding...

Ajira zipo mtaani...mfanye mwanao ajue kitaa zaidi kwa sababu mafanikio ya mtoto yanategemeana na mazingira yanayomzunguka.
Mbona sisi tulipelekwa bording shule za Serikali enzi za Mwalimu tukiwa na miaka 15 Form one hadi Six na tumetoboa. acha fix.
 
Back
Top Bottom