Mfanyakazi wa tiGo afariki dunia baada ya kunywa mizinga mitano ya konyagi wakati akishindana kunywa

Huyu mshikaji namfahamu sana kilichomcost ni kupenda sifa... Alitaka aonekane mkali ona Sasa anaenda zikwa hata mwaka hajauona

Hapana mkuu hapo unakosea..

Godson alikuwa mtu wangu wa karibu sana ninapokuwa Shinyanga, na hata niliposikia msiba wake ilibidi nitoke Dar kuja Shy kumuaga! Nilikuwa napenda kunywa nae pombe bar ya Bakurutu. Hakuwa mpenda sifa kama unavyodhani, sema alipenda kunywa pombe, na was very social kwa kila mtu.. Ndio maana aliagwa na mamia ya wakazi wa Shy.. na zaidi ya watu 20 walipoteza fahamu kwenye kumuaga!

Nilivyoambiwa na mtu wake wa karibu (jina nalihifadhi) ni kwamba siku anakunywa pombe alikuwa kwenye dozi..

Hope ndo kilichomuua!

Na alikuwa member humu jf, sema hakuwahi kuniambia id yake.. Ila ntaipata ili muandike R.I.P.

I appeal for support to the left-family, from producers of Konyagi, as he was well rising company sells.

R.I.P HOMIE
 
Yupo jamaa mmoja aliwahi kuimba wimbo mmoja hivi,pombe pombe ukizidisha inakua noma pombe pombee ukizidisha inakua soo.tahadhari chukua hatua
 
Hapana mkuu hapo unakosea..

Godson alikuwa mtu wangu wa karibu sana ninapokuwa Shinyanga, na hata niliposikia msiba wake ilibidi nitoke Dar kuja Shy kumuaga! Nilikuwa napenda kunywa nae pombe bar ya Bakurutu. Hakuwa mpenda sifa kama unavyodhani, sema alipenda kunywa pombe, na was very social kwa kila mtu.. Ndio maana aliagwa na mamia ya wakazi wa Shy.. na zaidi ya watu 20 walipoteza fahamu kwenye kumuaga!

Nilivyoambiwa na mtu wake wa karibu (jina nalihifadhi) ni kwamba siku anakunywa pombe alikuwa kwenye dozi..

Hope ndo kilichomuua!

Na alikuwa member humu jf, sema hakuwahi kuniambia id yake.. Ila ntaipata ili muandike R.I.P.

I appeal for support to the left-family, from producers of Konyagi, as he was well rising company sells.

R.I.P HOMIE

Polen sana. Kuna mtu nimemuuliza kuhusu kunywa konyagi 5 amesema japo yeye ni mtaalamu wa kunywa akiwa amekula vizuri na kushiba uwezo wake ni mzinga 1 tu
 
na ujinga wa konyagi ukinywa kama maji husikii chochote ila subiri baada ya dk 5, mizinga 5 too much is harmful R.I.P me naweza kunywa mzinga 1 tu whether nimekula or not ila kama sijala nasumbua sana jamaa alikusudia kujiua!
 
Na iwe fundisho kwa walevi wenzake. Sasa anasota na bosi wake Ibilisi aliyemdanganya.
 
RIP mteja wa konyagi hopefuly kulikua na wawakilishi kutoka kampuni ya konyagi kwa kutambua mchango wa mteja wao kwenye huo msiba.
 
Afu watu wanabisha kuhalalisha gongo!! Sasa HIYO inayoua wateja wake inawezekana ni zaidi ya gongo
 
hiyo kitu sigusi tena! karibia initoe roho miezi kadhaa iliyopita! ni hatari kunywa kupita kiasi au bila kula vizuri kabla!
 
Back
Top Bottom