Mfanyakazi wa ndani kunipakazia mimba

Mfanyakazi wa ndani kunipakazia mimba

dottoz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
1,510
Reaction score
881
DAAAH leo sikuweza kuamini kama mfanyakazi wa ndani anaweza kunipakazia mimba wakat sijafanya naye mapenzi mpaka kumwaga bao ,,sawa nimeingza mpaka mdudu lakn sikumwaga kwa kuhofia matatzo kama hayo sasa nashangaa anaanza kuniambia et na mimba yako sasa cjui kachanganykiwa au lah,,hebu nisaidien kwa hili wadau.
 
Wewe muongo...!!!
 
Hahahaha eddo bana kweli hyo ndugu yangu aisee cjamwaga bao mie ,,lakn nashangaa anaanza et kuniambia et anahc nna mimba yake,,,na niljua tu ningefanya kwel mpaka kumwaga ingekuwa matatzo makubwa na yeye ndo alinitega sanaaa na ndo mpaka tukafka huko.,,af nimembana akasema mwez wa tano ndo altoka nje akapgwa huko
 
walahi nimecheka kwa uchungu
unahitajika kuwa specimen kwa wanafunzi madaktari wa miaka ijayo as i speak
 
DAAAH leo sikuweza kuamini kama mfanyakazi wa ndani anaweza kunipakazia mimba wakat sijafanya naye mapenzi mpaka kumwaga bao ,,sawa nimeingza mpaka mdudu lakn sikumwaga kwa kuhofia matatzo kama hayo sasa nashangaa anaanza kuniambia et na mimba yako sasa cjui kachanganykiwa au lah,,hebu nisaidien kwa hili wadau.

Huyu mpuuzi mwengi wewe mfanyakazi unafanya mkeo
 
Huo ndo ukwel wakuu mie ctanii kabsaaaaaaaaaaa aiseee ujue huwez amini lakn huo ndo ukweli wa moyoni sasa nikawa najiulza huyu mwanamke ana akili au hana kabsaaaaaaaa inamaanq yeye hajui kamq mie ckumwaga bao kabsaaaa.
 
dotoz;
Angalia ya kutueleza humu jf ndg. Hivi huwa mna mwagamo? Na za jinsia moja huwa zinafaa? Sijui
 
Lea mimba wakati unaingiza ulikuwa unategemea nini?Au unataka tukupe ushauri gani?
 
Mie nimeingza lakn cjamwaga bao ndani ya uke
 
Mie ni mwanaume bana au kwa vle nimeweka profile ya kke nn?
 
Kakusingizia...maana hata mbo.o yenyewe mlegezo.

Acha hzo miss wangu mie co mlegezo aisee sema mwenyezi mungu alkuwa ananinusuru na hil janga sasa hapo ningemwaga cndo ingekuwa majanga sasa fikiria mbali wewe..
 
unapomuingilia mwanamke, anayeamua mimba itungwe sio wewe, anayeamua mbegu ziende sio wewe ni Mungu kwa sisi wanaoamini Mungu yupi... wakati unamfanya zinaa unajpia matumaini kuwa unakaribia 'kumwaga' kumbe first eleven zishamwagwa tayari, ila wewe uliposikia orgasm inakaribia kwa akili yako ukatoa ukidhani ndo unafikia kumwaga, apo tayari mimba ishatungwa...si lazima mbolea yote imezwe kwa binti ndo mimba itungwe... hata tone moja linatosha...ukute wakati unaanza mlishajiandaa kwa michezo yenu ya kijinga jinga mara mpigane vingumi mara mvutane, apo kila mtu kashajiandaa kisaikolojia, na mbegu tayari ziko karibu mlangoni kwenye nyuchi zenu...ivo kuingia tu tone ilo lishaenda...eti wewe unasubiri kusugua ndo umwage rasmi, ishakula kwako iyo...

Ombi: msitoe mimba, acha kiumbe kizaliwe icho, hongera kwa kuitwa baba mtarajiwa... usiseme dada wa kazi, uyo muite mkeo... dada wa kazi na mchumba tofauti kubwa ni kuwa dada wa kazi ana majukumu ya nyumbani ila woooote ni wadada, ni mabinti na wana sehemu za siri sawa....uyo ni mkeo mwanangu!!
 
Acha hzo miss wangu mie co mlegezo aisee sema mwenyezi mungu alkuwa ananinusuru na hil janga sasa hapo ningemwaga cndo ingekuwa majanga sasa fikiria mbali wewe..

Nifikirie mbali kwa ajil ya hcho kidole cha kwanza a.k.a -----.
 
Back
Top Bottom