KMC STUDIOZ: Tunatafuta Wateja Serious wa Kazi za Design (Graphic & Motion) 🎨

KMC STUDIOZ: Tunatafuta Wateja Serious wa Kazi za Design (Graphic & Motion) 🎨

kilangojrtz

New Member
Joined
Oct 19, 2026
Posts
1
Reaction score
0
Habari wanajamii,


Sisi ni KMC Studioz, studio ya ubunifu iliyopo Dar es Salaam. Tunatafuta wateja walio serious, wenye biashara, taasisi au miradi inayohitaji design za kiwango cha juu, tufanye nao kazi kwa muda mrefu.


Huduma tunazotoa:


  • Logo na Branding (utambulisho kamili wa biashara)
  • Posters na Social Media Designs
  • Motion Graphics na Animation
  • Video Editing (matangazo, promo, content za mitandaoni)
  • Brochures, Flyers, Business Cards na Company Profiles
  • Packaging na Label Designs

Kwa nini KMC Studioz?


  • Uzoefu wa zaidi ya miaka 4 kufanya kazi na kampuni mbalimbali
  • Kazi safi, za kisasa na zinazowasilishwa kwa wakati
  • Mawasiliano ya wazi tangu mwanzo hadi mwisho wa kazi

Tunatafuta wateja ambao:


  • Wana malengo yaliyo wazi ya kazi wanayoitaka
  • Wako tayari kulipia kazi bora
  • Wanathamini muda na weledi

Wasiliana nasi:
📞+255621550302
📧 kmcstudioz581@gmail.com
📍 Dar es Salaam, Tanzania


Karibuni tujenge brand yako pamoja. Tuma ujumbe wa PM au tupigie moja kwa moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom