Mfanyakazi wa Barrick apotelea mgodini

Mfanyakazi wa Barrick apotelea mgodini

Mtendaji wa kaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
334
Reaction score
59
Ni mfanyakazi kwa jina la Fungwe Charles William amepotea chini ya ardhi tangu jana saa 2 usiku alipokwenda shift night! Tukio hili limekuwa la aina yake kwani mgodi umesitisha shughuli za ulipuaji miamba ya dhahabu!

Timu ya uokoaji ya mgodi hapa bulyanhulu inaendelea kumtafuta aidha akiwa hai au laaaaa.....kiukweli hofu imetanda huku wengine wakidhani pengine ameangukiwa na mwamba na wengine wakidhani kuwa labda alitumbukia kwenye Water Sump zilizopo chini ya ardhi!

Waliokuwa na mhanga kabla ya tukio wamesema mwenzao aliwaaga na kuondoka akiwa anaendesha mashine aina ya ceasar au UTV kwa jina ! mpaka naondoka mgodini saa nane na dakika arobaini na saba mchana huu bado mtu huyu hajapatikana.

Nitazidi kutoa habari zaidi kama zinavyopatikana...

==============================================
Latest 01/06/2014

Marehemu kapatikana saa tano asubuhi tukiwa tunafanya shaft inspection kati ya 4130 na 3980 level

kwenye maryan compatiment akiwa ananing'inia kavaa kila kitu boots, helmet na ear plugs kasoro miwani ila waya wa taa ukiwa

shingoni inaonekana ni suicide shaft imefungiwa tunasubiria mine inspector na polisi ndio mwili utolewe
 
poleni...ajari kazini hopefully...
 
Ni mfanyakazi kwa jina la Fungwe Charles William amepotea chini ya ardhi tangu jana saa 2 usiku alipokwenda shift night! Tukio hili limekuwa la aina yake kwani mgodi umesitisha shughuli za ulipuaji miamba ya dhahabu! Timu ya uokoaji ya mgodi hapa bulyanhulu inaendelea kumtafuta aidha akiwa hai au laaaaa.....kiukweli hofu imetanda huku wengine wakidhani pengine ameangukiwa na mwamba na wengine wakidhani kuwa labda alitumbukia kwenye Water Sump zilizopo chini ya ardhi! Waliokuwa na mhanga kabla ya tukio wamesema mwenzao aliwaaga na kuondoka akiwa anaendesha mashine aina ya ceasar au UTV kwa jina ! mpaka naondoka mgodini saa nane na dakika arobaini na saba mchana huu bado mtu huyu hajapatikana....Nitazidi kutoa habari zaidi kama zinavyopatikana...
 
Duh. Kweli kuna watu wanafanya kazi ngumu aisee
 
Mkuu ungetupa majina kamili,coz wengine tuna ndungu zetu huko bearing same name
 
Ngoja naendelea na utafiti nipo ndani ya mgodi tena nafuatilia! Alikuwa kitengo cha Construction ila bado sijabaini jina lake anyway nitamtaja! Hili ni tukio ambalo limewaumiza wafanyakazi hasa ukizingatia kuwa ni mwezi wa Jana tu mfanyakazi mwingine alikufa kwa ajali ya kuangukiwa na mwamba! aliitwa EMMANUEL MRUTU
 
Ni mfanyakazi kwa jina la William amepotea chini ya ardhi tangu jana saa 2 usiku alipokwenda shift night! Tukio hili limekuwa la aina yake kwani mgodi umesitisha shughuli za ulipuaji miamba ya dhahabu! Timu ya uokoaji ya mgodi hapa bulyanhulu inaendelea kumtafuta aidha akiwa hai au laaaaa.....kiukweli hofu imetanda huku wengine wakidhani pengine ameangukiwa na mwamba na wengine wakidhani kuwa labda alitumbukia kwenye Water Sump zilizopo chini ya ardhi! Waliokuwa na mhanga kabla ya tukio wamesema mwenzao aliwaaga na kuondoka akiwa anaendesha mashine aina ya ceasar au UTV kwa jina ! mpaka naondoka mgodini saa nane na dakika arobaini na saba mchana huu bado mtu huyu hajapatikana....Nitazidi kutoa habari zaidi kama zinavyopatikana...

mtendaji wa kaya siku hizi uko huko tena duh
 
kazi ngumu mshahara mdogo ata laki 8 haifiki jaman,alaf ni underground angalau ata buzwagi iko open pit.wakati expert ambaye mponae kitengo kimoja na afanyi kaz kama wewe anakula zaidi ya mil 5,na risky kibao serikali ipo kimya wakati watanzania wananyonywa.
 
Ni mfanyakazi kwa jina la William amepotea chini ya ardhi tangu jana saa 2 usiku alipokwenda shift night! Tukio hili limekuwa la aina yake kwani mgodi umesitisha shughuli za ulipuaji miamba ya dhahabu! Timu ya uokoaji ya mgodi hapa bulyanhulu inaendelea kumtafuta aidha akiwa hai au laaaaa.....kiukweli hofu imetanda huku wengine wakidhani pengine ameangukiwa na mwamba na wengine wakidhani kuwa labda alitumbukia kwenye Water Sump zilizopo chini ya ardhi! Waliokuwa na mhanga kabla ya tukio wamesema mwenzao aliwaaga na kuondoka akiwa anaendesha mashine aina ya ceasar au UTV kwa jina ! mpaka naondoka mgodini saa nane na dakika arobaini na saba mchana huu bado mtu huyu hajapatikana....Nitazidi kutoa habari zaidi kama zinavyopatikana...

poleni,R.I.P Emma Mrutu aliyeumia ktk mgodi huo April
Hizo habari mbona zinatisha, kumbe huko nako watu wanapotea kiajabu ajabu kama wanavyopotea kwenye migodi ya wachimbaji wadogo wadogo? Kumbe ndo maana Barrick hutangaza ajira kila mwezi, maana kwa mwendo huo lazima wanaoachakazi wawe wengi.
 
Mpaka saa 2 usiku huu timu ya uokoaji haijafanikiwa kumpata mfanyakazi huyo! Peter Burger meneja mkuu wa kampuni amesema watatumia wataalam wa kimataifa...hali si shwari
 
Back
Top Bottom