Mfanyakazi w ndani anahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfanyakazi w ndani anahitajika

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by spencer, Feb 15, 2012.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Wadau
  Mfanyakazi wa ndani anahitajika.
  Uzoefu: Two years experiance
  Jinsia: Msichana
  Elimu:Darasa la saba hadi form IV
  Dini: Awe mkristu anayekula mkuu wa meza
  Umri: 15-24years
  Location: Mwanza-Tanzania
  Ukubwa wa familia: Baba,Mama na Watoto wawili(watoto wanasoma)

  Salary: 50,000 kwa Mwezi
  Renumerations: Atapatiwa nauli ya kwenda na kurudi kwao(popote TZ) mara moja kwa mwaka
  Accomodations: Ataishi kwa muajiri kila kitu bure ispokuwa atakuwa anajinunulia nguo zake
  Salary Review: Atapandishiwa mshahara wake kati baada ya mwaka kati ya 10,000-15,000/=

  mwenye kuhitaji aniPM.
   
 2. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  niko tayari ila nauliza kati ya baba na mama nani anaanza kurudi nyumbani (ni muhimu kwa ufanisi wangu wa kazi)
   
 3. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Utaishi na Mama peke yake kuanzia J'tatu hadi Ijumaa, Baba huwepo nyumbani wikends pekee
   
 4. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  inatosha ndugu ngoja nijiandae kwa safari...........
   
 5. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  NiPM kwanza
   
 6. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Napenda tu kujua kuna tatizo gani baba akiwa anawahi kurudi nyumbani kabla ya mama?
   
 7. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  wengine tumezaliwa na muonekano wa kike bt tunapiga bambi kama kawaida so mshua akiwahi anaweza akaomba game ukakosa ajira...au
   
Loading...