Mfanyakazi mwenye tuhuma anaweza kufukuzwa kabla ya tuhuma kuthibitishwa?

kiraremapojoni

JF-Expert Member
Nov 30, 2018
391
512
Wanajamvi, natumai mnaendelea salama na mapambano ya kila siku. Leo nimekutana na rafiki yangu ambaye alikuwa ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali. Akaja akapata changamoto kazini akasimamishwa kazi kupisha uchunguzi huku ishu yao ikipelekwa polisi kwa uchunguzi zaidi.

Cha kushangaza amemuambia kama alifukuzwa kazi wakati bado anaripoti polisi na ishu polisi imekwisha ila bado hajarudishwa kazini. Ninaomba mwongozo hili jambo linawezekana au ndo matumizi mabaya ya madaraka.
 
Wanajamvi, natumai mnaendelea salama na mapambano ya kila siku. Leo nimekutana na rafiki yangu ambaye alikuwa ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali. Akaja akapata changamoto kazini akasimamishwa kazi kupisha uchunguzi huku ishu yao ikipelekwa polisi kwa uchunguzi zaidi...
huko polisi alikuwa anareport kufanya nini maana kama ni kesi inatakiwa iendeshwe mahakamani kama ni ya madai na kama ni jinai police wakisha sikiliza maelezo na kufile basi inakuwa chini ya mwendesha mashtaka wa serikali..
 
Wanajamvi, natumai mnaendelea salama na mapambano ya kila siku. Leo nimekutana na rafiki yangu ambaye alikuwa ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali. Akaja akapata changamoto kazini akasimamishwa kazi kupisha uchunguzi huku ishu yao ikipelekwa polisi kwa uchunguzi zaidi...
1. Taarifa ya kufukuzwa kazi ilikuwa ni ya maandishi au mdomo?

2. Taja hiyo Taasisi moja ya serikali ili uelekezwe pa kwenda kuchalenji hayo maamuzi mkuu.
 
Pole lakn Tuhuma hazifany mtu afuzwe kazi.

Alafu ni serikalini.
 
Wanajamvi, natumai mnaendelea salama na mapambano ya kila siku. Leo nimekutana na rafiki yangu ambaye alikuwa ni mfanyakazi katika taasisi moja ya serikali. Akaja akapata changamoto kazini akasimamishwa kazi kupisha uchunguzi huku ishu yao ikipelekwa polisi kwa uchunguzi zaidi.

Cha kushangaza amemuambia kama alifukuzwa kazi wakati bado anaripoti polisi na ishu polisi imekwisha ila bado hajarudishwa kazini. Ninaomba mwongozo hili jambo linawezekana au ndo matumizi mabaya ya madaraka.
Alisimamishwa kazi kwa maandishi au mdomo ?
Kesi iko polisi, je imeshafikishwa mahakamani ?
Kama kesi iko mahakamani ofisi yake haiwezi kufanya maamuzi yoyote mpaka pale mahakama itakapotoa hukumu.
 
Back
Top Bottom