cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,670
- 5,035
Kwani mi mhindi kama wewewewe
Kwani mi mhindi kama wewewewe
Ni kweli, wahindi wanapenda sana uchawiKama ni wahindi waache walogwe tu wenyewe ni wachawi sana hao wabaguzi sana wacha walogweee tena amekosea sana angemloga pesa zote ziingie kwake
Asee kweli. Inabidi turoge maboss wafanikiwe ili kampuni ikuwe na .mshahara uongezeke.Mnaturoga halaf tunashindwa kuwamudu (management) kampuni inafilisika inakufa na kazi unakosa pia, sasa kipi umetatua
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana kwa combination hiMfanyakaz anakuroga, mchepuko anakuroga, wanga wanakuroga, mke anakuroga, ndugu wanakuroga, majirani wanakuroga, lazma uwe Zombie
HahahahaMfanyakaz anakuroga, mchepuko anakuroga, wanga wanakuroga, mke anakuroga, ndugu wanakuroga, majirani wanakuroga, lazma uwe Zombie