π,Ni kweli ila katika vitu ambavyo tunapaswa kupuuza ni maneno ya watu,maana watu watakusema kwa kila jambo hata tu jinsi ulivyoumbwa achilia mbali unafanya niniKakwepa aibu za kusengenywa kuwa amefilisika si unawajua wamatumbi kwa kufuatilia maisha ya watu tena?
Kweli mkuu kukata tamaa ni mwiko. Nmeona watalii walivyosikitishwa na kifo chake kwenye page yake ya kili2treckHata kama unakabiliwa na nini kujitoa uhai ni ushamba.
Inasikitisha sana. Unaacha familia iteseke unajinyonga kisa madeni. Nchi inadaiwa na haijinyongi
Ukiishi kwa kuhofia na kusikiliza kila watu wasemalo utateseka sana.π,Ni kweli ila katika vitu ambavyo tunapaswa kupuuza ni maneno ya watu,maana watu watakusema kwa kila jambo hata tu jinsi ulivyoumbwa achilia mbali unafanya nini
Dipresheni ni mbaya sana omba yasikukuteπ€π€π€π€ Dipresheni.
Kabisa,Mimi naona wazungu kwenye kujikubali wametuzidi sana,hawajali unasema nini maadamu yeye anafanya kitu sahihi havunji sheria utajua mwenyewe,kama ni ukweli atakwambia ukweli sio kukupamba,ndio maana ni rahisi kutaja analipwa mshahara kiasi gani,anamiliki nini,ana madeni gani,ila waafrika tuna unafiki fulani ambao hauna maana,kumchekea mtu kinafiki badae mnamkalia vikaoUkiishi kwa kuhofia na kusikiliza kila watu wasemalo utateseka sana.
Angejaribu kufanya hivyo kujiua sio suluhisho.Umasikini ni laana ukiuza mali unafilisika na madeni yanazidi. Watu wengi tunaishi na matatizo ya afya ya akili ila tunatofautiana tu hatua za ugonjwa.
Apumzike kwa amani tajiri.
Kwa hali hiyo uwezekano wa hilo ni mkubwa kutokea.Ndo maana matajiri wengi wa kibongo wakifa biashara nazo pia hufa. Madeni huwa ni mengi.
Leopard alishawekeza sana kuyumba ni ngumuUtalii haulipi kama ivyoo leopard ana shikilia soko kutokana na yeye kuwa sio mtz so wateja ana wakamata juu kwa juu
Endelea jidanganya kila biashara ina ubora wake na udhaifu wake mikoponi afya pia ila ikizidi ni balaa kubwa wako waliochukua mikopo mikubwa ila matumizi ni balaa....afya ya akili ndo changamotoUtalii haulipi kama ivyoo leopard ana shikilia soko kutokana na yeye kuwa sio mtz so wateja ana wakamata juu kwa juu
Tuamini kipi na taarifa ndio hiyo mkuu.Msikimbilie kuamini kwamba ni madeni yamepelekea kifo chake. Dig deeper.
Juzi kati padre kule Mafinga alitekwa polisi wakasema kisa ni madeni, polisi hao hao baadaye wamesema padre hana akili nzuri na wameamua kumfutia kesi.
Polisi sio wakuwaamini bila kuangalia upande wa pili.0
Ndio ila ngoja uchunguzi ukamilike tutajua zaidiila si umeona namna story zinavyofanana
Madawa ya kulevya kama bangi na mirungi.MAgendo yapi yanahusiana na hii biashara.
Lolote linawezekana biashara zina mambo mengi mno.Inawezekana kanyongwa
Alafu ikayengeneza mazingira
Kwenye boashara kuna mikunjo mikunjo sana
Ushujaa ni kutorokea sayari nyingine sio kujiuaSafi , mwamba kaona isiwe tabu acha nivute kamba , kutoroka hii dunia nayo ni ushujaa ,hongera bwashee
Hela ina mengi sana ili iendelee kuwepo na kukua.We live once we die once, watu wananchukulia poa kitu pesa kuimaintain ili usifilisike, wanaume huwa tunapitia wakati mgumu sana ada za watoto, maden benki bado stress za mke na ndugu lawama
Full stop, kwishaaaa
Kule Japan ni ushujaaUshujaa ni kutorokea sayari nyingine sio kujiua