Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi

Mkuu ukiwa na uhitaji wa pesa utaweka tu dhamana hasa kadi za gari wapo wengi wanafanya hivyo na inawezekana hata yeye alifanya hivyo.
Yeah kuweka dhamana ya gari moja au kiwanja kimoja sio tatizo wengi wanafanya ila shida ni pale inapotokea mkopo wa kwanza uliochukua haujakusaidia kisha unaenda kukopa tena na tena sehemu zingine
 
Nin
Nimekuelewa mkuu utajiri dah! Blaa sana
 
Sikupingi ila watu wengi hata wakipitia magumu yanayohitaji hata ushauri wakawaida hawasemi. Wanafanya hivyo sio kwa sababu watu wa kuwashirika hawapo bali wanafanya hivyo kwa sababu wengi wanaogopa aibu
Kuogopa aibu mkuu ndio huko kuogopa judgement. Unampa mtu issue yako yeye anaifanya story na baada ya hapo anakutenga. Ndio maana watu wanajimaliza
 
Mkuu, tunapishana kuelewa mambo.

Kutokukubaliana jambo haimaanishi jambo hilo ni ujinga.

Ulivyoelewa / unavyoelewa na kulitafsiri hili haimaanishi vile ambavyo mimi nalielewa hili jambo, maana umenipa maelezo ambayo yapo nje kabisa na ninachokielewa mimi na ambayo sikuwa na uhitaji nayo.
 
Kwa dunia ya sasa ni rahisi watu wakakutoa uhai wakakuwekea mazingira ili uonekane umejinyonga.

Visingizio ni Madeni, Mapenzi, migogiro ya familia au biashara.
HILI NALO NI NENO MAANA WAPARE NI WATU WENYE UJASIRI WA KUTENDA MAMBO MAGUMU , MIOYO YA KUFANYA MAGUMU BILA AJABU HATA KUUZA NDUGU ANAWEZA , UNAWEZA SHANGAA MKE NDO KAKODI MI BAUNSA YA KUMNYONGA MME ILI IONEKANE KAJINYONGA , THEN IKATENGENEZWA , SCENARIO YA KUWA KAJINYONGA UKU KUMBE NI. KAZI YA MTU , THEN .......KI MADENI. YA TAASISI BENKI TUNAJIULIZA JE WATAWEZA IPIGA MNADA HIYO NYUMBA MAANA NI BONGE MOJA LA HEKALU....JUMBA FLANI HIVI LA KISHUA ....KISA NA MKASA NDANI YA BOMA KUNA KABURI LA. MTU !!!!!?!!!
 
Kuogopa aibu mkuu ndio huko kuogopa judgement. Unampa mtu issue yako yeye anaifanya story na baada ya hapo anakutenga. Ndio maana watu wanajimaliza
Bado sio sababu ya kujimaliza mkuu.
 
Yeah kuweka dhamana ya gari moja au kiwanja kimoja sio tatizo wengi wanafanya ila shida ni pale inapotokea mkopo wa kwanza uliochukua haujakusaidia kisha unaenda kukopa tena na tena sehemu zingine
Ni hatari mkuu hali ikishakuwa hivyo ni ngumu sana kuchomoka.
 
Dunia haoko fair....Tajiri kafariki jana mnataka tumchangie? Mbona maskini wenzetu hamtuhamasishi kuwachangia na ndio wanauhitaji zaidi?
Hao ni wazungu wameanzisha kuisaidia familia yake mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…