moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
Umefikiria vizuri sana nje ya box,pongezi mkuu
Kwa jinsi ulivyochangia naamini bila shaka huna uzoefu na hiki nilichoandika ama hujawahi kuiona, kuionja hii pepohii mada nadhani ingefaa kuwekwa jukwaa la dini, na ningelikuwa mie ningefananisha ubora wa maumbile ya ulimwengu kwa alieuumba na kwa jinsi gani utukufu wake ulivyo, mimi ningelikuwa sheikh mtoa mawaidha mada zangu ningezielekeza zaidi kuwafahamisha waumini kuuelewa utukufu wa mwenyezi mungu ndio hofu juu ya mungu ingewaingia, kufananisha pepo na tendo la jinsia ni dhihaka kubwa kwa mungu, ikiwa ahadi ya mungu kwa atakaeingia peponi atamilikishwa mahurulaini elfu 70, achilia mbali starehe zisizomithilika, inakuwaje pepo ifananishwe na tendo la kijinsia? tufikirie nje ya box wajameni.
Nimecheka... Wewe je? Mie mzima jr![emoji848][emoji86]hulali?
Wote wqzima![emoji23][emoji23][emoji23]mimi ndio mida yangu hii... Am wonderful vp wewe na kabebii
hello mamboooozHey Beautiful
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kho! Kho! Kho! Hongera kwa kuionja pepo ya dunia[emoji2]
Swali chokonozi;-
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji115][emoji115][emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144]Nilishakisoma kitu kama hiki chako kutoka kwa Humble African alifafanua hivi hivi kama wewe sasa Wenda labda kukawa na ukweli kwenye hili suala ila nikupe heko kwa kufafanua vizuri mwanga Mshana Jr kwa kuacha kuroga na kuwa kungwi. La petit Mort; Kila binadamu anaeishi ameshakufa kidogo kidogo mara nyingi tu Maishani mwake. - JamiiForums
hahhahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hicho kikohozi hivi huwa hakiishagi?
ya tatu kaka anguSwali chokonozi;-
Umeonja pepo namba 2 au 3?
Hahaha, nisamehe tu kwakweli, waswahili wanasema "Mkono hauna ulimi".ya tatu kaka angu
ila na wewe unaulizaje mshiki maswali haya?
teh naona aibu mie