Mfano halisi wa pepo na jehanum

Mfano halisi wa pepo na jehanum

Mshana Jr shem wangu unawazaga nini lakini?

nimefurahi mie...na pepo nilishaonja aiseeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji112][emoji112][emoji115]imagine ile feeling ndio kila sekunde huko paradiso milele
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji112][emoji112][emoji115]imagine ile feeling ndio kila sekunde huko paradiso milele
mimi nahisi ningechizika

Mungu afanye tu anayoona yanatufaa kwa kweli maana ile feeling ukipewa dakika 5 waweza kuwa chizi
 
Umeacha uchawi umekuwa kungwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila mshana kwahuuu uzi naomba utoe natahadhari sana uwaambie Hawa Dada zetu kuwa pepo yatatu sio lazima waipate wote wengine hawajaandikiwa ili utulindie mahusiano yetu wasije wakatoka ndani wakaenda kuitafuta njee
 
Ngoja nikapate experience ya "pepo" mimi...
Asante kaka mchawi...aah Mshana kwa wazo hili la pepo na jahanaum
 
Boss hivi inakuwaje mtu anakata fahamu kabisa?

Kuna binti nilimuacha kisa kikuu ilikuwa hiyo inshu ya kukata fahamu, japo yeye hakujua kwanini sikumjali hadi uhusiano ukaisha.

Maana ilikuwa tukipiga shows kama 6 basi 3 atazima kwa muda.
Sasa kuna wakati alikuwa anazima wakati bado namuandaa.
Raha kiwango cha lami.. Utamu mpaka kisogoni... Lazima akate moto.. I mwana punguza dose... 6 sio nzuri kwa afya
 
Tujadili kiutu uzima kwakuwa pepo halisi wala jehanum hatujazifikia..
Ni swala zima la kufika ama kutofika kileleni (raha na kero yake)
Hebu pata habari za vijana wanaopenda kujichua raha wanayopata wanapojifikisha kileleni... Ama Kina mama na wadada wanaotumia ile midoli ngono... Ile raha ile... Haina mfano wake....!

Achana na hao pepo zipo za aina tatu na jehanum pia.
. Pepo ya kwanza... Mwanaume akiwa na mwanamke wakati wakifanya ngono... Kilele cha mwanaume humtoa katika dunia hii na kumpa raha ya ajabu kabisa isiyomithilika.... Raha ile hutokea kwa sekunde chache tuu na kama ikikaa japo dakika wengi wangekufa kwa utamu
. Pepo ya pili ni ya mwanamke... Pale anapokuwa faraghani na mtu wake... Akasuguliwa akasugulika... Vile vilio vile hasa kile cha mwisho baadhi hufikia hatua ya kupoteza fahamu akimpata fundi.... Bahati mbaya sana raha ile ni ya sekunde chache tuu
. Pepo ya tatu ambayo ndio pepo kamili ni pale wawili wapendao wanapokutana kileleni pamoja... Raha ile ni pepo ya siri hapewi kila mtu.,... Ukisikia watu wameonja pepo duniani ndio hawa....

Jehanum ni pale mmoja anapofika kileleni huku akimwacha mwenzake yuko katikati ya kilima.. Mtu anahangaika utafikiri roho inataka kumtoka [emoji24][emoji24][emoji24]

Hiyo ni mifano michache ya pepo, tena kwa sekunde chache tuu... Sasa chukulia pepo halisi ya milele ilivyo... Kama umenielewa sidhani kama utatamani kuendelea kutenda dhambi ili uikose pepo na kwenda jehanum [emoji118] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Naona wanaume wa Dar ndio vinara wa kuwapeleka wanawake wao Jehanum, tunasikia vilio vyao kila kukicha mitaani na mitandaoni.
 
MKUU MSHANA HIZI PEPO NDO ZILE AMBAZO WINGI WAKE WANAITA MAPEPO!!!???
Ambazo wachungaji wa makanisa mbali mbali huwa wanajitahidi kutoa???
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] hapana kabisa hizi ni pepo na yale ni mapepo...
Pepo iko kihisia zaidi wakati mapepo ni roho... In fact ni roho za kuzimu
 
Ila mshana kwahuuu uzi naomba utoe natahadhari sana uwaambie Hawa Dada zetu kuwa pepo yatatu sio lazima waipate wote wengine hawajaandikiwa ili utulindie mahusiano yetu wasije wakatoka ndani wakaenda kuitafuta njee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona wanaume wa Dar ndio vinara wa kuwapeleka wanawake wao Jehanum, tunasikia vilio vyao kila kukicha mitaani na mitandaoni.
[emoji848][emoji848][emoji849][emoji85][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom