Mfano halisi wa pepo na jehanum

Mfano halisi wa pepo na jehanum

wanakuuliza HABARI ZA PEPO,,,,,,,FIKRA ZA MWANADAM HAZIJAWAH KUFIKIRIA UZURI WAKE NA UKWEL ILIVYO...YAN WEWE IPAMBE KIWANGO CHA MWISHO LAKINI UNAAMBIWA BADOOOOOO HUJAWEZA KUIPATIA PICHA........NA WAJUE PEPONI KUNA MAGEP PIA
 
Picha ya kufika kileleni kwa level ya mwanadamu ni mfano tosha... Zaidi ya hapo utamchanganya
 
Vipi kama ukifika huko kisha mungu anakuuliza vipi peponi palikuwaje
 
hii mada nadhani ingefaa kuwekwa jukwaa la dini, na ningelikuwa mie ningefananisha ubora wa maumbile ya ulimwengu kwa alieuumba na kwa jinsi gani utukufu wake ulivyo, mimi ningelikuwa sheikh mtoa mawaidha mada zangu ningezielekeza zaidi kuwafahamisha waumini kuuelewa utukufu wa mwenyezi mungu ndio hofu juu ya mungu ingewaingia, kufananisha pepo na tendo la jinsia ni dhihaka kubwa kwa mungu, ikiwa ahadi ya mungu kwa atakaeingia peponi atamilikishwa mahurulaini elfu 70, achilia mbali starehe zisizomithilika, inakuwaje pepo ifananishwe na tendo la kijinsia? tufikirie nje ya box wajameni.
 
Back
Top Bottom