Mfano halisi wa pepo na jehanum

Mfano halisi wa pepo na jehanum

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mtani Kalumanzila kasema pepo ya nne ndo ya muhimu hizi nyingine ni ubatili mtupu.
Tatizo ni kwamba hiyo pepo ya nne sina uhakika nayo hivyo bora nionjeshwe ya hapa duniani kama jje's

Naona mshiki wako amekimbia kibarua nilichompa, naomba umsaidie tafadhali[emoji85][emoji85][emoji85]
 
Ni mara 1000 ukaikosa ya hapa duniani ukaipata hiyo ya nne.
Kwa raha utakayoipata miaka 1000 ni sawa na siku 1.
Lakini sasa upande wa "kulia na kusaga meno" siku moja kwa mateso utakayopata ni sawa na miaka 1000. (Tafadhali fanya maamuzi sahihi).
 
Sawa baba mchungaji, ngoja niongeze juhudi za kuitafuta pepo ya nne?
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji848][emoji848][emoji848][emoji847][emoji847][emoji3][emoji3][emoji3][emoji144][emoji144][emoji144][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Sawa baba mchungaji, ngoja niongeze juhudi za kuitafuta pepo ya nne?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna vyeo vingine ukipewa kwa maovu ulionayo hata shetani anashtuka.
Nb;-
Kama unataka kuzipata pepo zote za sasa na baadae tafadhali nifuate sirini nikupe maelekezo.
 
Back
Top Bottom