Mfano halisi wa pepo na jehanum

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,786
Tujadili kiutu uzima kwakuwa pepo halisi wala jehanum hatujazifikia..
Ni swala zima la kufika ama kutofika kileleni (raha na kero yake)
Hebu pata habari za vijana wanaopenda kujichua raha wanayopata wanapojifikisha kileleni... Ama Kina mama na wadada wanaotumia ile midoli ngono... Ile raha ile... Haina mfano wake....!

Achana na hao pepo zipo za aina tatu na jehanum pia.
. Pepo ya kwanza... Mwanaume akiwa na mwanamke wakati wakifanya ngono... Kilele cha mwanaume humtoa katika dunia hii na kumpa raha ya ajabu kabisa isiyomithilika.... Raha ile hutokea kwa sekunde chache tuu na kama ikikaa japo dakika wengi wangekufa kwa utamu
. Pepo ya pili ni ya mwanamke... Pale anapokuwa faraghani na mtu wake... Akasuguliwa akasugulika... Vile vilio vile hasa kile cha mwisho baadhi hufikia hatua ya kupoteza fahamu akimpata fundi.... Bahati mbaya sana raha ile ni ya sekunde chache tuu
. Pepo ya tatu ambayo ndio pepo kamili ni pale wawili wapendao wanapokutana kileleni pamoja... Raha ile ni pepo ya siri hapewi kila mtu.,... Ukisikia watu wameonja pepo duniani ndio hawa....

Jehanum ni pale mmoja anapofika kileleni huku akimwacha mwenzake yuko katikati ya kilima.. Mtu anahangaika utafikiri roho inataka kumtoka

Hiyo ni mifano michache ya pepo, tena kwa sekunde chache tuu... Sasa chukulia pepo halisi ya milele ilivyo... Kama umenielewa sidhani kama utatamani kuendelea kutenda dhambi ili uikose pepo na kwenda jehanum
 
Mmh Mshana Jr: post zako ni hatari! Ila kiukweli hakuna jambo jema kama binadamu kufika kileleni. Hasa kwa mwanamke!
 
Milele...Kuna maisha ya uhai wa milele na Kuna maisha ya motoni milele.hapa TU duniani tumekaa kidogo je huko tunapoenda tunaporudi huo umilele upoje na kabla hatujazaliwa tayari tulikuwa na muda hatukuwa tukiwaza Kama tungekuja hii fursa ikarudi ili tuitafute ile milele isiyo na mawazo..maisha Ni fumbo AMBALO mbunifu wake ana hekima isiyochambulika
 
Naona flulanga kaniwahi dooh
Hahahaa nipo vzr kwenye nyuzi zahuyu bwana ila now naona kama vile anacheza naakili zetu tunapata anatudindisha alafu mwishoni kabisa anatukata stimu anatuambia tutende mema ili tuje tufaidi hizo raha milele yote sio kwasekunde tena ila uroho wetu ndio unatuponza tunakimbilia vichache badala yakuvutia subira vingi
 
Hahahaa nipo vzr kwenye nyuzi zahuyu bwana ila now naona kama vile anacheza naakili zetu tunapata anatudindisha alafu mwishoni kabisa anatukata stimu anatuambia tutende mema ili tuje tufaidi hizo raha milele yote sio kwasekunde tena ila uroho wetu ndio unatuponza tunakimbilia vichache badala yakuvutia subira vingi
 
Tujadili kiutu uzima kwakuwa pepo halisi wala jehanum hatujazifikia..
Ni swala zima la kufika ama kutofika kileleni (raha na kero yake)
Hebu pata habari za vijana wanaopenda kujichua raha wanayopata wanapojifikisha kileleni... Ama Kina mama na wadada wanaotumia ile midoli ngono... Ile raha ile... Haina mfano wake....!

Achana na hao pepo zipo za aina tatu na jehanum pia.
. Pepo ya kwanza... Mwanaume akiwa na mwanamke wakati wakifanya ngono... Kilele cha mwanaume humtoa katika dunia hii na kumpa raha ya ajabu kabisa isiyomithilika.... Raha ile hutokea kwa sekunde chache tuu na kama ikikaa japo dakika wengi wangekufa kwa utamu
. Pepo ya pili ni ya mwanamke... Pale anapokuwa faraghani na mtu wake... Akasuguliwa akasugulika... Vile vilio vile hasa kile cha mwisho baadhi hufikia hatua ya kupoteza fahamu akimpata fundi.... Bahati mbaya sana raha ile ni ya sekunde chache tuu
. Pepo ya tatu ambayo ndio pepo kamili ni pale wawili wapendao wanapokutana kileleni pamoja... Raha ile ni pepo ya siri hapewi kila mtu.,... Ukisikia watu wameonja pepo duniani ndio hawa....

Jehanum ni pale mmoja anapofika kileleni huku akimwacha mwenzake yuko katikati ya kilima.. Mtu anahangaika utafikiri roho inataka kumtoka

Hiyo ni mifano michache ya pepo, tena kwa sekunde chache tuu... Sasa chukulia pepo halisi ya milele ilivyo... Kama umenielewa sidhani kama utatamani kuendelea kutenda dhambi ili uikose pepo na kwenda jehanum
Boss hivi inakuwaje mtu anakata fahamu kabisa?

Kuna binti nilimuacha kisa kikuu ilikuwa hiyo inshu ya kukata fahamu, japo yeye hakujua kwanini sikumjali hadi uhusiano ukaisha.

Maana ilikuwa tukipiga shows kama 6 basi 3 atazima kwa muda.
Sasa kuna wakati alikuwa anazima wakati bado namuandaa.
 
MKUU MSHANA HIZI PEPO NDO ZILE AMBAZO WINGI WAKE WANAITA MAPEPO!!!???
Ambazo wachungaji wa makanisa mbali mbali huwa wanajitahidi kutoa???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom