MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

Aisee wazo zuri sana mkuu nafikiri wahusika wote hasa katika mamlaka ya kodi wameuona huu ushauri serikali itapata hela nyingi sana kwa mtindo huu bila hata kutumia nguvu wala kutumia wakala yeyote
 
Wazo zuri, safiii...nimelikubali, ila kuna maswali ninayo hapa ili kuboresha hili wazo hili...
  • Kodi kati vyombo vya moto lazima viwe tofauti kutokana na ukubwa na uzito, itakuwaje?
  • Kuna baadhi ya vyombo vya moto vinahitaji misamaha, kama ambulances, magari ya polisi, vifaa vya hospitali, kilimo n.k. itakuwaje
  • Kuna maswala ya kimazingira, kuna vyombo vya moto vyatoa CO2 nyingi kuliko vingine, hivi vyahitaji kutozwa kodi zaidi, itakuwaje?
  • Thamani za magari zatofutiana, sasa tutakamata vipi wale wenye magari ya thamani kulipa kodi?
  • ...
Ebu tuanze na majibu haya kwanza mkuu...
 
Pia vipi kama fuel consumption itakuwa ndogo sana si pia mapata yata kuwa madogo?
 
Maskini Wauza chips wanaotumia mchanganyiko wa mafuta ya transfoma na petroli watalipishwa ROAD LICENCE bila kupenda.
 
Nimejaribu kuumiza kichwa kuona hivi kama hiyo road license kama ingetozwa kwenye mafuta pekeyake, serikali yetu ingepata kiasi gani. Hapa kuna dereva wa siku nyingi katika daladala anasema, hutumia wastani wa lita 80 za mafuta kila siku. Sasa hebu tukokotoe kidogo, lita 80 kwa siku, kwa wiki itakuwa lita 560, kwa mwezi lita 2,240, na kwa mwaka ni lita 26,880 za mafuta kwa daladala moja katika hali ya kawaida.

Ninawasilisha hoja!

SIKUBALIANI NA WEWEe
 
Pia itasaidia kupunguza makaratasi kwenye kioo kama sticker ya fire ilivyounhanishwa kwenye road lincence,mfano mzuri ni magaya biashara na haswa P. S. V kuna sticker za kufa mtu kwenye kioo mara sumatra, road licence, insurance, sticker ya kuonyesha kwamba umelipa kodi ya mapato, na kulikuwa na fire yaani mpaka dereva anapata shida kuona kwa kutumia kioo cha mbele

QUOTE="Ntate Mogolo, post: 21450230, member: 368765"]Kama mimi ningelikuwa ndo mkuu wa hii kaya Tanzania ningelifuta "Road Licence" mara moja! Sababu, inaikosesha serikali mapato halali na makubwa.

Leo nimetembelea machinjio ya magari mabovu nikiwa na rafiki yangu akitafuta vipuri kwa ajili ya daladala lake. Nimekuta daladala nyingi zimechinjwa, na zinauzwa kama vipuri kwa wahitaji.

Nilivyojaribu kudadisi, wengi wanachinja baada ya kushindwa kulipia Road License kutokana na kulimbikiza kutokana na ajari au gari kiharibika hivyo kuchelewa kilitengeneza kwa wakati na hivyo kujikuta deni la road license kuwa kubwa.

Nimejaribu kuumiza kichwa kuona hivi kama hiyo road license kama ingetozwa kwenye mafuta pekeyake, serikali yetu ingepata kiasi gani. Hapa kuna dereva wa siku nyingi katika daladala anasema, hutumia wastani wa lita 80 za mafuta kila siku. Sasa hebu tukokotoe kidogo, lita 80 kwa siku, kwa wiki itakuwa lita 560, kwa mwezi lita 2,240, na kwa mwaka ni lita 26,880 za mafuta kwa daladala moja katika hali ya kawaida.

Sasa, kama watu wa hazina na TRA wangekuwa na upeo wa kuunga mkono serikali katika kuhakikisha inapata mapato ya kutosha, hili ndo pendekezo wangepeleka kwenye wizara husika. Lakini, wapi wapowapo kama vile hawakuenda shule.

Sasa, tufanye TRA wakusanye shilingi 50 tu kwenye kila lita moja ya mafuta. Utaona kuwa, daladala letu linalotumia lita 26,880 za mafuta kwa mwaka litakuwa limechangia kodi ya shilingi 1,344,000/- ambayo haiumizi kichwa kwa mchangiaji!

Huu ni mfano halisi jinsi TRA na mifumo yake ya ukusanyaji kodi unavyoigharimu hii nchi kwa kuikosesha mapato! Hawana hata upeo wa kupambanua ipi kubwa kati ya shillingi 250,000/- ya road license na shillingi 1,344,000/- kama itatozwa kwenye mafuta.

Swali la kujiuliza, kwanini kung'ang'ana na mfumo unaoikosesha serikali mapato!

Ninawasilisha hoja![/QUOTE]
 
Hii ni fikra ya ajabu kbs, wewe unadhani kila anayetumia petrol/diesel anagari? wengine wanabodaboda,wengine bajaji,wengine majenereta.

Na ukumbuke wenye vibaby walker wanalipa kidogo kuliko haya magari yetu. utawaonea buree wenye magari madogo

utakuwa ni unyonyaji shahiri dhahir kbs
Mkuu ungeondoa bajaji na bodaboda kwenye hoja yako kwani nazo zinatumia barabara japo hazilipi road licence...
 
Wakitaka kutenganisha wanaonunua kwa ajili ya jenereta watatengeneza mwanya mkubwa sana wa kukwepa kodi hiyo. Acha tu wenye jenereta watolewe kafara tu.

Kwani watumiaji wa Generator wapo wangapi?
 
Luku sio simpo, 'yuniti' ni ghali sana ukilinganisha na kipato cha mtanzania wa kawaida.
Nimemaanisha kuwa LUKU ya TANESCO imewekewa mfumo mzuri wa kukusanya kile kinachotakiwa kuwa stahiki ya serikali, banana unit hamna Umeme. Over.
Kama siku kadhaa hapa duniani nadhani waweza kuwa na kumbu kumbu enzi za TANESCO kutembea man to man kukusanya kodi zao.
Ila siku hizi usipolipa Umeme unakuwa umejikatia mwenyewe automatic
 
mimi kwa mtizamo wangu Road licence ingefutwa tu. inatuumiza walalahoi, ingebaki gharama ya bima na usajili wa kadi basi.
 
Hapa ndio unaweza kujionea kuwa serikali wanakosea sana kuajiri watu kwa kigezo cha ufaulu na vyeti tu wanasahau inshu ya efficiency, productivity, na creativity......

Serikali wangeweka utaratibu wa kuasses uwezo wa waajiriwa wao na si kukaa na mambumbu yanayovaa shuti na kujiita masomi wakati tuna watu kama huyu mleta mada ambaye ametoa wazo zuri sana na pengine likifanyiwa kazi likaleta tija kubwa sana na faida mara mbili kwa taifa.

Hebu ifike wakati na sisi raia tuwe wakali kwa serikali kwenye maswala kama haya ambayo yanaonyesha ni ukosefu tu wa akili za ubunifu.....hao mambumbumbu waliokalia nafasi na hawazitendei haki watolewe mara moja wapishe vijana wenye damu changa na moto wa mabadiliko watumike kuliletea taifa maendeleo......

Naungana mkono na mtoa mada na ameleta wazo zuri sana kwenye meza na hii italeta tija kubwa sana kwenye mapato ya serikali.
Hapo ndipo linapoibuka lile swali chokozi 'wasomi wetu wana/wameisaidiaje nchi hii?'
 
Kama mimi ningelikuwa ndo mkuu wa hii kaya Tanzania ningelifuta "Road Licence" mara moja! Sababu, inaikosesha serikali mapato halali na makubwa.

Leo nimetembelea machinjio ya magari mabovu nikiwa na rafiki yangu akitafuta vipuri kwa ajili ya daladala lake. Nimekuta daladala nyingi zimechinjwa, na zinauzwa kama vipuri kwa wahitaji.

Nilivyojaribu kudadisi, wengi wanachinja baada ya kushindwa kulipia Road License kutokana na kulimbikiza kutokana na ajari au gari kiharibika hivyo kuchelewa kilitengeneza kwa wakati na hivyo kujikuta deni la road license kuwa kubwa.

Nimejaribu kuumiza kichwa kuona hivi kama hiyo road license kama ingetozwa kwenye mafuta pekeyake, serikali yetu ingepata kiasi gani. Hapa kuna dereva wa siku nyingi katika daladala anasema, hutumia wastani wa lita 80 za mafuta kila siku. Sasa hebu tukokotoe kidogo, lita 80 kwa siku, kwa wiki itakuwa lita 560, kwa mwezi lita 2,240, na kwa mwaka ni lita 26,880 za mafuta kwa daladala moja katika hali ya kawaida.

Sasa, kama watu wa hazina na TRA wangekuwa na upeo wa kuunga mkono serikali katika kuhakikisha inapata mapato ya kutosha, hili ndo pendekezo wangepeleka kwenye wizara husika. Lakini, wapi wapowapo kama vile hawakuenda shule.

Sasa, tufanye TRA wakusanye shilingi 50 tu kwenye kila lita moja ya mafuta. Utaona kuwa, daladala letu linalotumia lita 26,880 za mafuta kwa mwaka litakuwa limechangia kodi ya shilingi 1,344,000/- ambayo haiumizi kichwa kwa mchangiaji!

Huu ni mfano halisi jinsi TRA na mifumo yake ya ukusanyaji kodi unavyoigharimu hii nchi kwa kuikosesha mapato! Hawana hata upeo wa kupambanua ipi kubwa kati ya shillingi 250,000/- ya road license na shillingi 1,344,000/- kama itatozwa kwenye mafuta.

Swali la kujiuliza, kwanini kung'ang'ana na mfumo unaoikosesha serikali mapato!

Ninawasilisha hoja!
Wazo kuu
 
nimesubiri wapandishe bei ya soda sigara na bia.................
maaana uwezo wao umeishia hapo
 
Wanakabana na Pombe tu mkuu, hawawezi kufikiri to that extent!
 
Kupandisha bei ya mafuta kuna madhara makubwa kiuchumi kuliko unavyodhani, hivyo sio njia sahihi kuingiza road licence kwenye mafuta. Mpaka sasa karibu asilimia 50 au zaidi ya bei ni kodi. Vile vile mafuta ni nishati ambayo inatumiwa na viwanda, majumbani na katika uzalishaji mwingine usiohisisha matumizi ya barabara, kwa msingi huo road licence lazima iendelee kuwapo na huu ni mfumo wa dunia nzima.
Hii ni pumba ya mwaka
 
Naunga mkono hoja na kushauri hata wachukue kila lita tsh, 20 Bado ni faida kubwa kulingana na vyombo vyote vya usafiri tanzania
 
Wazo zuri. Ina maana kwa style hiyo, basi kubwa au lori,inaweza kufikisha 5M,kwa mwaka
Mfano mmoja tu ni kwamba lori bajeti yake lakwenda labda Congo na kurudi dar ni lita 2400 inatumia mwendo wa mwezi na kurudi piga kwa mwaka na jumlisha malori yote yanayo safiri umbali huo kutokea dar na sehemu nyingine
 
Back
Top Bottom