Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,677
- 7,639
Hivi nabii Tito kaishia wapi
Waulize Polisi CCM-Walienda kumukamata Kanisani kwake wakawa wanazabwa vibao na watu wasioonekana(Makerubi wa Mfalme)mpaka wakatimua mbio...!Wakamfungulia kesi ya kuwazuia kutekeleza majukumu yao.Hivi mkuu hatuwezi kumpa kesi ya ugaidi huyu mfalme?
Aisee hiyo nguvu si atugawie yaani polisi wangejuta.Waulize Polisi CCM-Walienda kumukamata Kanisani kwake wakawa wanazabwa vibao na watu wasioonekana(Makerubi wa Mfalme)mpaka wakatimua mbio...!Wakamfungulia kesi ya kuwazuia kutekeleza majukumu yao.
Kama kawaida ya ukurupukaji wa Polisi -CCM..Shitaka lilitupiliwa mbali....Wakili wa Mfalme alikuwa anakaba sana...ikawa ngumu kuyathibitisha majukumu ya Polisi-CCM ndani ya Nyumba ya Mungu....!!!
Hiyo naikumbuka vizuri alipewa mpaka kesi ya kusafirisha watu kinyume cha sheria yote hiyo ikiwa ni kukosa ushahidi wa moja kwa kumtia hatiani wakawa wanatafuta makosa bila kutumia akiliWaulize Polisi CCM-Walienda kumukamata Kanisani kwake wakawa wanazabwa vibao na watu wasioonekana(Makerubi wa Mfalme)mpaka wakatimua mbio...!Wakamfungulia kesi ya kuwazuia kutekeleza majukumu yao.
Kama kawaida ya ukurupukaji wa Polisi -CCM..Shitaka lilitupiliwa mbali....Wakili wa Mfalme alikuwa anakaba sana...ikawa ngumu kuyathibitisha majukumu ya Polisi-CCM ndani ya Nyumba ya Mungu....!!!
Yaani wapo nje huko wanapigwa mabao weee huyooo mlango wa uwani mbele. Teena mpk meno yawatoke warudi vibogoyo shenzi wale.JF Rahaa...! Na utekaji ungebaki Historia aisee...!
Hadi akina mama kuoa mnaweza?....'Twayaweza Mambo yote .katika yeye atutiaye nguvu'.....
Kwake yote yanawezekana..Amen