Barua yangu ya wazi kwa Humphrey Polepole

Barua yangu ya wazi kwa Humphrey Polepole

mkuchun

Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
9
Reaction score
6
https://www.youtube.com/watch?v=z3gh63y_pvk



Nimekaa na kutafakari sana Hotuba na hoja zako na mara nyingine huwa najiuliza mh,.,.hivi hapa aliposema hivi alikuwa na maana gani? Kwa mfano ulisikika mpaka leo iko recorded unamwuliza mtangazaji..,.,'hivi mwanaume malaya, anaweza kuwa raisi?'' ..,du nilivyosikia neno hilo ilibidi nifunike uso kwa msituko kwani,.,.ulitamka neno zito sana,.,. hasa unapokuwa kwenye public.


Umalaya ulokuwa unausema ni wa mtu,.,kuhama chama au wa mtu kuwa na wanawake wengi? Kama ni hilo la kwanza,.,.,itakuwa hoja ya kitoto sana na sitegemei itolewe na mtu kama wewe! Hivyo ninaipuuzaa kabisa! Lakini kama ni hilo la pili,.,.ninapenda kulisemea kidogo.,.Na nianze kwa kukuuliza maswali haya:-



Je unajua sifa kubwa moja ya mkuu wako wa kaya kabla hajaenda magogoni miaka ya kuanzia 2000 na kurudi nyuma?(au ulikuwa hujabarehe bado??) Kawaulize machangudoa wa miaka hiyo(alikuwa mteja wao mzuri sana).


Je unajua kama katika mikoa yote ya Tanzania mkuu wa kaya ana watoto wa damu wangapi?

Je unajua mkuu wako wa Kaya ana wake wangapi wa halali wa kuoa?,.,.

Hebu nenda tu hapo mkoani Iringa uliza wananchi wa kawaida tu wakuonyeshe mke wa mkuu wako wa kaya utaonyeshwa! Na huyu amemwoa juzi juzi tu akiwa magogoni-katika awamu ya pili! Sijui kama haya unayajua? Au huna washauri?????? Huyo mke wa halali ameanzishiwa shamba kubwa na ngombe wa maziwa anakamua kwa raha zake. wewe unasema malaya?



Bado ya mkubwa wa kaya aliyemtangulia,.,.ni mengi na mengine si ya kuandika hapa,.,kwani ni maisha binafsi ya mtu,.,.,.!



Kwa kifupi>>>>>Umepoteza DIRA!!!!!!




https://www.youtube.com/watch?v=z3gh63y_pvk

Pia Nimekuwa nikikusikia ukijitanabaisha kama mkristo,.,tena ukinukuu maandiko,.,ambayo mengi unayapotosha. Hayana maana hiyo.,.,! Mfano lile andiko la Tajiri Kuingia ufalme wa mbinguni....nenda kajifunze tena! Hivi una maana maskini (mafukara) ndo watajaa mbinguni? Ulishaona mtu aliyemtumikia na kumtii Mungu akawa maskini? Abraham, Mfalme Daudi,,.,.walikuwa maskini hao?

Usidanganyike!!!! huyo mwalimu aliyekuhubiria yuko shallow katika viwango vya kiroho!!!!! Ukisoma vizuri Deuteronomy 28:15-68.., .,utakuja gundua kuwa umaskini,.,ni laana iambatanayo na kutokumtii Mungu. Hivyo kama ukimtii Mungu hayo hayapaswi kuwepo kwako!!!!! Nikushauri kitu kimoja >>> kiroho uko shallow sana ,.,.,hivyo usiwe una nukuu sana biblia kujenga hoja zako utakosea zaidi. Usichanganye mambo haya!!!

Endelea kukiri umaskini na ni vizuri umaskini wa dunia yote uje na ukupate wewe na ukoo wako wote, kwa sababu huo ndo mtaji mkubwa wa hicho chama chako! Yaani (Umaskini & Ujinga) siku ukitoka kwa Watanzania- habari ya kudanganywa itakuwa imeisha!

Mimi na nyumba yangu,.,.tutaomba hivi: Two things have I asked of You [O Lord]; deny them not to me before I die:…. give me neither poverty nor riches; …. Lest I be full and deny You and say, Who is the Lord? Or lest I be poor and steal, and so profane the name of my God. (Proverbs 30:7-9) :mod:

Kwa kifupi>>>>>Umepoteza DIRA!!!!!!

 
Pole pole siyo professor wewe huyo ni mccm
 
We dont need his comments anymore as they disgusting.
 
pole pole no bweg e,salsa watanzania ndipo watamjua,hovyo kabisa
 
Pole pole sio prof huyu njaa tupu na record za kijinga anatamka maneno ya kijinga kwenye TV Malaya!
 
Sikuwahi hata kumsikiliza huyu anayeita wenzake malaya kwa sababu yy ni bikra. Sijawahi kupenda mabikra.Nyambaf
 
Huyu bwana nyie hammuelewi amekuja kuwa ccm baada tu ya kupiga pesa za katiba feeeee
 
sina neno la kusema juu ya huyu poyopoyopoyo zaidi ya mwenda wazimu na amatumwa la lusifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom