Mfalme wa Mwisho wa Zanzibar Jamshid atua Oman kwa mara ya kwanza

Ingia google,"Zanzibar revolution wikipedia" utatokwa machozi sheikh, waomani/waislamu walivyouawa dhidi ya hao makafiri ambao wengiwao hatukonao tena, wanamme na wakina mama wameuawa kinyama, na wengine wajawazito very sad. Okello, Nyrr na Karume walidhani wataishi milele.
Mapinduzi yalipangwa Dar,waingereza walimpa Nyerere kazi maalum na ndo maana alimpokea na Uingereza ikamhifadhi.Karume yeye alikuwa hajui lolote hata Babu.Mpango ulikuwa Ni kulinda maslahi ya mabeberu na kanisa.
 
Zanzibar watake wasitake tushaungana na hakuna kuvunja muungano zaidi zanzibar tuifanye iwe mkoa ili tuwe nchi moja
 
Back
Top Bottom