Salathiel m.
Senior Member
- Mar 12, 2011
- 185
- 41
Na hiyo nguo yenye picha ya bange nayo imeeditiwa?
Taarifa zaidi zinadokeza kwamba ALIKUJA NA KITANDA CHAKE .
nini hiki?Katika kipindi cha wiki moja Serikali na Chama vimepitia katika mazingira yanayotasfiriwa kama usanii fulani hivi. Kwanza kabisa kulikuwa na ujio wa Mfalme wa Morocco akiambatana na timu kubwa na watu zaidi ya mia na hamsini. Ugeni huu ulikuwa na maandalizi ya shamrashamra za hali ya juu sana katika kiwango cha kupokelewa na Rais mwenyewe. Kabla hata hatujafika mbali vyombo vya habari kipenzi cha chama kikataka kupotosha idadi ya wageni. Ikatangazwa kuwa mfalme amewasili na delegates takribani 1500.
Ghafla baada ya Mfalme kuondoka stori ikaishia hapo. Upepo mkali umepita siku mbili hizi kana kwamba watu hawaamini kilichoahidiwa na mfalme. Kwamba mfalme aliahidi kujenga Misikiti Mkubwa na Uwanja wa Mpira, sijui mfalme katuonaje, kwamba sisi tunashida sana na misikiti? Aidha lifestyle ya mfalme imeanza kutia mashaka juu ya ujio wake, watu wameanza kuhoji alikuja kwenye HAPA KAZI TU ama alikuja kula bata?
Kabla wiki kukatika chama kikataka kuingizwa chaka na vyombo vya habari vikatangaza kuwa katika mtandao wa Forbes Rais Magufuli anaongozo kwa kura kama Raisi anayekubalika zaidi Afrika. Chama kikatuma vijana kuhamasisha na pia kikajiandaa kuitisha vyombo vya habari kukazia. Laah haula, kumbe mtandao feki?!!!!
Baba kuwa makini na baadhi ya wageni. Pia kuwa makini na walionyuma yako, baadhi wanatengeneza mazingira ya kukuchoresha
unaona niniNini hiki
nini hiki?
Hiki ninacho kiona.unaona nini
Mbuta nanga nyi kyikyi ikyi heee hizo picha mbona naona maruweruwe ndio style hiyo au zile laana zilizoandikwa ndani ya Biblia Takatifu duu .Katika kipindi cha wiki moja Serikali na Chama vimepitia katika mazingira yanayotasfiriwa kama usanii fulani hivi. Kwanza kabisa kulikuwa na ujio wa Mfalme wa Morocco akiambatana na timu kubwa na watu zaidi ya mia na hamsini. Ugeni huu ulikuwa na maandalizi ya shamrashamra za hali ya juu sana katika kiwango cha kupokelewa na Rais mwenyewe. Kabla hata hatujafika mbali vyombo vya habari kipenzi cha chama kikataka kupotosha idadi ya wageni. Ikatangazwa kuwa mfalme amewasili na delegates takribani 1500.
Ghafla baada ya Mfalme kuondoka stori ikaishia hapo. Upepo mkali umepita siku mbili hizi kana kwamba watu hawaamini kilichoahidiwa na mfalme. Kwamba mfalme aliahidi kujenga Misikiti Mkubwa na Uwanja wa Mpira, sijui mfalme katuonaje, kwamba sisi tunashida sana na misikiti? Aidha lifestyle ya mfalme imeanza kutia mashaka juu ya ujio wake, watu wameanza kuhoji alikuja kwenye HAPA KAZI TU ama alikuja kula bata?
Kabla wiki kukatika chama kikataka kuingizwa chaka na vyombo vya habari vikatangaza kuwa katika mtandao wa Forbes Rais Magufuli anaongozo kwa kura kama Raisi anayekubalika zaidi Afrika. Chama kikatuma vijana kuhamasisha na pia kikajiandaa kuitisha vyombo vya habari kukazia. Laah haula, kumbe mtandao feki?!!!!
Baba kuwa makini na baadhi ya wageni. Pia kuwa makini na walionyuma yako, baadhi wanatengeneza mazingira ya kukuchoresha
We know you are very good in negative publicity but, just take a few minutes to do a simple research. All resources are available to enable you look credible at least for once. Otherwise, you expose your idocy to every Tom, Dick and Harry. You are a disgrace to Tanzania.Katika kipindi cha wiki moja Serikali na Chama vimepitia katika mazingira yanayotasfiriwa kama usanii fulani hivi. Kwanza kabisa kulikuwa na ujio wa Mfalme wa Morocco akiambatana na timu kubwa na watu zaidi ya mia na hamsini. Ugeni huu ulikuwa na maandalizi ya shamrashamra za hali ya juu sana katika kiwango cha kupokelewa na Rais mwenyewe. Kabla hata hatujafika mbali vyombo vya habari kipenzi cha chama kikataka kupotosha idadi ya wageni. Ikatangazwa kuwa mfalme amewasili na delegates takribani 1500.
Ghafla baada ya Mfalme kuondoka stori ikaishia hapo. Upepo mkali umepita siku mbili hizi kana kwamba watu hawaamini kilichoahidiwa na mfalme. Kwamba mfalme aliahidi kujenga Misikiti Mkubwa na Uwanja wa Mpira, sijui mfalme katuonaje, kwamba sisi tunashida sana na misikiti? Aidha lifestyle ya mfalme imeanza kutia mashaka juu ya ujio wake, watu wameanza kuhoji alikuja kwenye HAPA KAZI TU ama alikuja kula bata?
Kabla wiki kukatika chama kikataka kuingizwa chaka na vyombo vya habari vikatangaza kuwa katika mtandao wa Forbes Rais Magufuli anaongozo kwa kura kama Raisi anayekubalika zaidi Afrika. Chama kikatuma vijana kuhamasisha na pia kikajiandaa kuitisha vyombo vya habari kukazia. Laah haula, kumbe mtandao feki?!!!!
Baba kuwa makini na baadhi ya wageni. Pia kuwa makini na walionyuma yako, baadhi wanatengeneza mazingira ya kukuchoresha
Huyu ni binadam wa kawaida kama wewe. Ana uhuru wa kuishi maisha ya kiraia na jamii yake. Henu acheni ulofa
Wee ni mshamba na mporipori tuu. Unadhani mfalme ni malaika au Mungu?View attachment 426043 mkulu kaingizwa chaka na watoto wa kishua
si kila wingu linaleta mvua,mengine yanapita tu