Mfalme Suleiman Hakuna mfalme tajiri Kama watu wanavyowaza kichwani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,568
44,786
Leo hii watu wa dini wakizisoma habari za Suleiman kwenye vitabu wanadhani labda alikuwa Ni mfalme kweli kweli Tena tajiri lakini ukweli ni kwamba zamani Ni tofauti na sasa hivi.

Nyakati zile mtu hata ukiwa na punda 50 tayari wewe Ni tajiri Kijiji chote so wanakupa na ufalme kabisa.

Tawala zote hizo Ni Visa vya kuchekesha Sana Hakuna Cha mfalme daudi Wala Suleiman wote hao hawakuwa na maajabu sana kuzidi matajiri wa Sasa

Ushauri wangu tunaposoma biblia tuwe tunakumbuka kusoma na history of the world Tena Kama hii ya kina Suleiman imehifadhiwa kabisa hata Wikipedia tu unaikuta tuwe tunajiongeza.

Kazi ya dini na elimu ya sayansi au history Ni kutujibia maswali yetu ya Jana Leo na kesho.

Sasa Kama andiko au stori IPO kwenye Bible na haina majibu ya kesho yetu Yanini Kuendelea kuishikilia?
 
Leo hii watu wa dini wakizisoma habari za Suleiman kwenye vitabu wanadhani labda alikuwa Ni mfalme kweli kweli Tena tajiri lakini ukweli ni kwamba zamani Ni tofauti na sasa hivi..nyakati zile mtu hata ukiwa na punda 50 tayari wewe Ni tajiri Kijiji chote so wanakupa na ufalme kabisa.tawala zote hizo Ni Visa vya kuchekesha Sana Hakuna Cha mfalme daudi Wala Suleiman wote hao hawakuwa na maajabu sana kuzidi matajiri wa Sasa
Ushauri wangu tunaposoma biblia tuwe tunakumbuka kusoma na history of the world Tena Kama hii ya kina Suleiman imehifadhiwa kabisa hata Wikipedia tu unaikuta tuwe tunajiongeza.kazi ya dini na elimu ya sayansi au history Ni kutujibia maswali yetu ya Jana Leo na kesho..Sasa Kama andiko au stori IPO kwenye Bible na haina majibu ya kesho yetu Yanini Kuendelea kuishikilia?
Sawa mtu wa zamani
 
WEWE NDIO HUJUI CHOCHOTE NA INAONEKANA UNASIMULIWA MAANDIKO,WEWE NG'OMBE 600 KWA SIKU NI KITU KIDOGO? NA MAANDIKO YANASEMA HATAKUWEPO NA HAITATOKEA KUWEPO TAJIRI KAMA SULEIMAN HAPA CHINI YA JUA,HALAFU WEWE UNABADILI MANENO
Aah wapi DUNIANI siku hizi ndo Kuna matajiri wakubwa Sana kumbe wewe hujui kaka
 
Swali la kujiuliza ni Israel ilikua na idadi kiasi gani ya watu kipindi hicho? Makabila 12 sidhani kama walifika hata milioni 1,hakukua na international trade kivile kwa sababu falme zilikua ziko vitani mara kwa mara.

Kipindi hicho hakukua na uzalishaji mali mkubwa ndiyo maana njaa zilikua zinatokea mara kwa mara,ukijumlisha na sababu nyingine nyingi inakua ngumu Suleiman kuwa tajiri mkubwa kuwahi kutokea duniani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom