atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,552
- 9,815
Kwahiyo malkia alimzaa huyu Prince Charles akiwa na umri gan kama malkia alizaliwa 1926?
There is a big difference between constitutional and absolute monarchy. In the first case the monarchy is regulated as in the case of the UK. In the second case, the monarchy is EVERYTHING as in Saudi Arabia.Na Hawa ndo wanatupigia kelele afrika tuwe na demokrasia[emoji848]
Kuna tofauti kati ya mfalme wa Uingereza na mfalme wa Nchi kama Swaziland au Saudi arabia...Na Hawa ndo wanatupigia kelele afrika tuwe na demokrasia[emoji848]
22Kwahiyo malkia alimzaa huyu Prince Charles akiwa na umri gan kama malkia alizaliwa 1926?
Sio msiba tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa huyo new pm anaanza na msiba. Duh!
Dah finaly jama kaula. Kibibi kile kilikuwa na roho mbaya sana. Hakikuaka muachia madaraka mtoto wake mwenyewe. Aise nikimkuta peponi nitashangaa sana.
Sawa ila ndio kashakuwa kuwa king. Ata akili kwa miaka mitatu sio mbaya.Kaula ila akiwa mzee saana
[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji15]Sasa huyo new pm anaanza na msiba. Duh!
Unaijua sheria ya wingereza au unaongea ujinga?....Dah finaly jama kaula. Kibibi kile kilikuwa na roho mbaya sana. Hakikuaka muachia madaraka mtoto wake mwenyewe. Aise nikimkuta peponi nitashangaa sana.
Afrika demokrasia lazima kuna mijitu ikipewa access ya kutawala milele watu hawataishi katika hili bara.Na Hawa ndo wanatupigia kelele afrika tuwe na demokrasia[emoji848]
Bunge linaamua kila kitu,malkia au mfalme anabariki tu.Demokrasia ya uk ni kiini macho tu, hawawezi fanya wala kuamua lolote bila mfalme
Miaka 22,ni umri sahihi kabisaKwahiyo malkia alimzaa huyu Prince Charles akiwa na umri gan kama malkia alizaliwa 1926?
Wenyewe wanasema "London bridge is down"Daraja la London limevunjika
Demokrasia ni utawala wa watu, kitu ambacho hakiwezekani, ndiyo maana ktk nchi ya kiimla kama Libya waliipandikiza kama mchezo tu ikatoa majibu ambayo mpaka leo hii wanazama kwenye maboti huko baharini wakikimbia nchi yao, wao wanahimiza demokrasia lakini wao wana tawala kama uzao... Demokrasia ni wengi wape, kitu ambacho kinafanya nchi isitawalikeNa Hawa ndo wanatupigia kelele afrika tuwe na demokrasia[emoji848]
Kisichofahamika na baadhi humu jukwaani ni kwamba, huyo mfalme/malkia hana mamlaka makubwa ya kuamua kila kitu bila ya kushauriwa na serikali ambayo iko chini ya waziri mkuu.Demokrasia ya uk ni kiini macho tu, hawawezi fanya wala kuamua lolote bila mfalme