Mfalme Charles

Na Hawa ndo wanatupigia kelele afrika tuwe na demokrasia[emoji848]
Sasa Uk haina demokrasia au unajifurahisha tu?
Ufalme kwao ni sawa na uongozi wa kimila tu.

Mtendaji mkuu wa serikali ni Waziri mkuu.
Uk inaongoza kidemokrasia ona juzi tu BJ katimuliwa na akakubali...sio sawa na Urusi yako...show ya mjinga mmoja.
 
Watu hawajui hata majukumu ya cheo cha mfalme au malkia wa uingereza... wanajidanganya eti hana mamlaka yoyote kwenye nchi!! Yaani ni vituko tu....

Someni, tafuteni habari mjielimishe... msijizimishe data bure... Familia ya kifalme uingereza ndio wakuu wa nchi, hata waziri mkuu anathibitishwa na malkia

Ndie mtu pekee anayeweza kutangaza vita, hakuna taka taka nyingine pale uingereza inaweza kufanya hivyo ispipokua mkuu wa nchi ambaye ni queen au king

Wanajeshi wote wanakula kiapo chini yake, na si kwa kiongozi mwingine yoyote.

Nb; kuielewa demokrasia ni jambo gumu, na unaweza usielewe mpaka unaingia kaburini.
 
Sasa Uk haina demokrasia au unajifurahisha tu?
Ufalme kwao ni sawa na uongozi wa kimila tu.

Mtendaji mkuu wa serikali ni Waziri mkuu.
Uk inaongoza kidemokrasia ona juzi tu BJ katimuliwa na akakubali...sio sawa na Urusi yako...show ya mjinga mmoja.
Afadhali hata urusi wanafanya siasa hata kama za kukandamizana kama magu, lkn uk iko wazi kila kitu kinaamuliwa na familia ya kifaulme waziri mkuu ni mtekelezaji tu.
 
Kama hawatakuelewa basi wajipige kifua na kijiita "sisi ni wajinga sana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…