Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Huyu unayemuongelea wewe ni tembo wa Dsm zoo, sisi tunawajadili tembo wa Serengeti kwa Wakurya

Huyu unayemuongelea wewe ni tembo wa Dsm zoo, sisi tunawajadili tembo wa Serengeti kwa Wakurya

Mkuu Tembo ukimchunguza sana.... utagundua utukufu mkubwa wa Mungu!Kumbe Ni Kiumbe Cha Ajabu Duuuu
Ana Maajabu Gani Mengine...??Mkuu Tembo ukimchunguza sana.... utagundua utukufu mkubwa wa Mungu!
USILOLIJUA KUHUSU TEMBO.
1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi.
2. Tembo ana uzito wa tani 7
3. Tembo jike hubeba mimba miaka 2
4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80
5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
6. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.
7. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele
8. Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60.
9. Tembo hufanya mapenzi kwa masaa 12.
Masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa mwenzi wake, na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe. Na hiyo ni ile raundi ya kwanza (bao la kwanza)
10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne
11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano.
UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO, UWE UNAELEWA
Cc Charm Deko![]()
![]()
![]()
Ndio Mkuu, namalizia kuchambua, nikishalipuliza nitaongezea!Ana Maajabu Gani Mengine...??
Tembo anapenda Maji, anapenda Kuogelea!Ana Maajabu Gani Mengine...??
Kulalaleki Mida Mida Mi Nitaenda Beach Kulipuliza Mana Huku Ninapo Kaaa Vinyumba Vimebanana Sana So Mamwela Hawakawiii KutimbaNdio Mkuu, namalizia kuchambua, nikishalipuliza nitaongezea!
Kwa Binadam Inategemea Na Maumbile Ya Binadam Husikamanii kilo tano?duuuh..... hivi za binadamu zinafikaga hata nusu kilo kweli?
Mtoto wa Tembo anazaliwa HAONI, Mtoto wa Tembo anazaliwa na kuanza kusimama na kutembea ndani ya Masaa ma3 tuAna Maajabu Gani Mengine...??
kikombe cha kahawa hakijaimanii kilo tano?duuuh..... hivi za binadamu zinafikaga hata nusu kilo kweli?
Ni kweli... na hii ni kwa sababu ya uzito wake, Tembo hawezi kuwa hewani kwa miguu yake yote....!Tembo ndio mamalia pekee ambae hawezi kuruka.