Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

Mfahamu vyema mnyama Tembo (Elephant )

Tembo anapoenda kunywa maji huyatibua kwanza yote kwa mda ili vyura wore waame....

Tembo akimnywa chura huwa ni balaa anasababisha tembo awe na asira na kuaribu haribu mazingira aliyopo.... Kwani chura huwa anaipiga kelele kwa kulia lia kama Snura Tumbon mwa Tembo
 
USILOLIJUA KUHUSU TEMBO.

1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi.

2. Tembo ana uzito wa tani 7

3. Tembo jike hubeba mimba miaka 2

4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80

5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40

6. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.

7. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele

8. Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60.

9. Tembo hufanya mapenzi kwa masaa 12. Masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa mwenzi wake, na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe. Na hiyo ni ile raundi ya kwanza (bao la kwanza)

10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne

11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano.

*UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO, UWE UNAELEWA*
 
Ukubwa wote ule halafu hana kishindo.. Aisee mungu ni muweza wa yote
 
USILOLIJUA KUHUSU TEMBO.

1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi.

2. Tembo ana uzito wa tani 7

3. Tembo jike hubeba mimba miaka 2

4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80

5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40

6. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.

7. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele

8. Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60.

9. Tembo hufanya mapenzi kwa masaa 12.
Masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa mwenzi wake, na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe. Na hiyo ni ile raundi ya kwanza (bao la kwanza)

10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne

11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano.

UKIAMBIWA USIMUIGE TEMBO, UWE UNAELEWA

Cc Charm Deko
 
Back
Top Bottom