Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 741
- Thread starter
- #81
Mkuu haya mambo ni ya kisayansi zaidi na pia inahitaji mda kuweza kuyafanyia research lakini kuhusu kujamiana hawa hujamiana mda wowote inapofika msimu wao wa ujamianaji kwa sababu wanyama hawajamiani hovyo wao hujamiana msimu maalumu kwa ajili ya uzalianaji tu and not for leisure and business like usUume wake una ukubwa gani na bao lake moja ni lita ngapi?anarudia tendo kila baada ya muda gani?