Mfahamu ‘plover bird’, mswaki wa mamba

Ooh bestiiii nipo mbona
Nilikuwa home kwa muda ila nimerudi tena kwenye baridi na Babu hoi huku ila taratibu ana recover na hatujui hatma yake [emoji22][emoji12]
Tunasikilizia tu
Duuuh umekuja bongo kimya[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15]

Hatutafutani? Haya buana

Mbona nasikia babu kavuuta asee, sema protocol zinazingatiwa ( mgawanyo mali[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna siku atajichanganya ataliwa tu
Huyo ndege kwakuwa ni nature aliyoiumba Mungu hataliwa na mamba ila CCM haikuumbwa na mungu na wala Mungu hakuwaumba watanzania wajinga hata wasione uovu unaofanywa na CCM ipo siku mtajichanganya kikwete alijua kula na vipofu ila huyu wasasa anaamini anaweza kuwatiisha watu 60 milioni Kama anavyomtiisha jeska wake.
 
Kila siku sababu mpya za kuendelea kumuamini mungu wangu zinaongezeka
 
Sasa mkuu umepewa mpaka ushahidi wa picha na maelezo toka kwa walioamua kugooggle, bado unabisha, tatizo nini mkuu.
Mamba(crocodile) hana ulimi, ila alligator ndiye mwenye ulimi. Hizo picha ni za Alligators siyo Croc.
 
Mamba(crocodile) hana ulimi, ila alligator ndiye mwenye ulimi. Hizo picha ni za Alligators siyo Croc.
Crocodile Tongues
A crocodile's tongue doesn't move. It is held in place at the roof of the mouth by a membrane. Because crocodiles spend so much time underwater, the tongue helps keep the throat closed, protecting the animal's airway. Unlike other species, the tongue plays no part in feeding

Mbona hao ni ndugu moja mkuu, angalia hapa namna ya kujua tofauti zao
 
Ulimi wa mwamba hauchezeki

Mamba anao Ulimi ila hawezi kuuchezesha.
Acha kudanganya watu. Mamba(crocodile) hana ulimi, mwenye ulimi Ni Alligator. Hayo mapicha picha siyo mamba ni alligator ambaye kama humjui unaweza kushindwa kumtofautisha na mamba. Kuna Croc na Alligator.
 
Mkuu unapenda ligi, naomba unipe huo ushahidi kuwa mamba hana ulimi, kwani humu pia tunajifunza
 
Acha kudanganya watu. Mamba(crocodile) hana ulimi, mwenye ulimi Ni Alligator. Hayo mapicha picha siyo mamba ni alligator ambaye kama humjui unaweza kushindwa kumtofautisha na mamba. Kuna Croc na Alligator.
Tukate mzizi wa fitna mkuu

1. Do crocodiles and alligators have tongues?
To many people, alligators and crocodiles look very much alike. They are two distinct species with many notable differences. While both have tongues, only the alligator can stick his out.

2. Crocodile Tongues​

A crocodile's tongue doesn't move. It is held in place at the roof of the mouth by a membrane. Because crocodiles spend so much time underwater, the tongue helps keep the throat closed, protecting the animal's airway. Unlike other species, the tongue plays no part in feeding.

Fungua hiyo link hapa chini usome
 
Acha kudanganya watu. Mamba(crocodile) hana ulimi, mwenye ulimi Ni Alligator. Hayo mapicha picha siyo mamba ni alligator ambaye kama humjui unaweza kushindwa kumtofautisha na mamba. Kuna Croc na Alligator.
Topic ilikuwa ni ya mamba (Nile Crocodile )
Africa hatuna Alligator, kubali haujui alafu fanya utafiti kuliko kubaki na ujinga milele. Kutokujua sio kosa ila kubaki hujui ndio shida.
 
Huyo mamba huwa anaachama muda wote au anafanya hivyo akimuona huyo ndege ili asafishiwe kinywa chake?
 
Acha kudanganya watu. Mamba(crocodile) hana ulimi, mwenye ulimi Ni Alligator. Hayo mapicha picha siyo mamba ni alligator ambaye kama humjui unaweza kushindwa kumtofautisha na mamba. Kuna Croc na Alligator.

Kwa hiyo unajiona wewe ndio mwenye ufahamu kuliko wote sio
Halafu uwe na heshima kuita watu usiowajua waongo ok
Yaani Google crocs atokee alligator
Inaonekana unapenda ligi sana au una tatizo la akili
Let me ignore you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…