Mfahamu ‘plover bird’, mswaki wa mamba

Umeongea UONGO kuhusu Mbung'o. Mimi nimeumwa sana na hawa wadudu Arusha na Singida kwenye mapori. Si kweli kuwa ni zaidi ya maumivu ya sindano ya hosp. Huo ni UONGO MKUBWA. ni maumivu ya kawaida ya kukera tu. Tulikuwa tunatembea na kukaa porini ambako mbung'o ni wengi sana . Huo ugonjwa pia umeukuza. Huwezi ukalala ukiwa unaoga. Labda uwe unaoga umelala majini. Si vizuri kudanganya na watu wazima wamo humu na wenye uzoefu wamo. SI VIZURI.
 
Unafeli umeshindwa kuweka hata picha ya kugoogle tumuone huyo bombadia
 
Lengo kupunguza njaa ndugu, ukiwa na njaa unaangalia wingi wa chakula kilichopo au unakula hicho wakati ukiendelea kutafuta kingine?
Huyo hata kuhisi uwepo wake mdomoni, ahisi...!
 
Anao ulimi ila umeshikana na hauzunguki kama wa kwetu
Kwa hiyo hana uwezo wa kuutoa nje kama wanyama wengine au binadamu
View attachment 1713370
Naona mmekuja na mapicha picha kabisa [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Symbiotic: Mutualism.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…