Mfahamu ‘plover bird’, mswaki wa mamba

Nitajaribu kupaka kiganja changu rangi ya uyo plover bird nikamuingize
 
Mamba ana ulimi Ila hawezi kuutoa nje kwasababu umeshikiliwa na nyama kwenye taya ambazo hazihuruhusu kutoka nje zaidi ya kumove juu na chini. Ulimi huu mamba huutumia kuziba koromeo lake ili maji yasiingie ndani pale anapokamata na kulizamisha chini ya maji windo lake.
Mamba hatafuni Kama viumbe vingine, bali hukata mapande ya nyama ya windo lake na kuyasukumizia kwenye koo huku ulimi wake ukisaidia kusokomeza hayo mapande ya nyama tumboni.
Kwahiyo sio sahihi kusema kuwa mamba hana ulimi.
Egyptian plover bird ni rafiki wa mamba kwasababu wanasaidiana, ye anapata msosi wake while kinywa Cha mamba kinakuwa safi ili asipate infection ya bacteria kutokana na nyama zilizong'ang'ania katika meno yake. They help each other, kongole kwao😊
 
🙄🙄😶😶😶🙄🙄😎😎
Ipo Siku!!
 
Kumbe!

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…