Mfahamu Meja Jenerali Muhiddin Kimario. Ukisikia mzalendo ndio huyu

siyo kweli wapo Generali Kiwelu, Generali Msuguri, Major general Msuya hawa ndiyo mashujaa wa vita ya kagera ninao wakumbuka na ambao wako hai hadi leo
General Msuguri yupo mpaka leo na bashasha nilimuona nilipotembelea Butiama, wataalam wa utunzi wa vitabu wangeweza kupita kupata a,b,c,d kwa kumbukumbu za vizazi vijavyo
 
Huyu si ndiye aliifilisi CDA? Yeye na akina Feruzi na Aden Rage? Anaweza kasema ni mzarendo kwa kuipigania nchi yake, vipi kuliibia taifa kisa mjeda, haiingii akilini, hayupo kwenye kundi la mashujaa
Unamjua vema? Au umeamua kuandika tu Mkuu!!???? Tulio ishi na kufanya kazi nae ndo tuna mjua Bgd G Kimario kamanda Mbogo Ni SHUJAA wa TAIFA LETU
 
1984 mkuu, alikuwa ndiye Mkurugenzi wa CDA na walisimamishwa kazi kwa upotevu wa karibu 20$ mil kama sijakosea, kesi uso ilikuja kwisha kipindi cha mwinyi na wakatimuliwa , mijengo yake ipo pale Dom karibu na SIDO na ukumbi pale Makole karibu na CBE
Halafu si 84, kwani 84-87 mkurugenzi alikuwa mtu fulani Parker. Huyu alikuwa mkurugenzi miaka ya 90 na alisimamishwa kimakosa Kisha akarejeshwa na akalipwa kutokana na uzembe wa waliohusika. Huyu ndie aliye ifanya CDA kuonekana MAMLAKA YA USTAWISHAJI badala ya MAMLAKA YA UZOROTESHAJI KAMA AMBAVYO WALIOTE
NDWA NA MAMLAKA HIYO WALIVYOKUWA WAKIITAJA VIBAYA
 
Huyu si ndiye aliifilisi CDA? Yeye na akina Feruzi na Aden Rage? Anaweza kasema ni mzarendo kwa kuipigania nchi yake, vipi kuliibia taifa kisa mjeda, haiingii akilini, hayupo kwenye kundi la mashujaa
Mimi nilikuwa mtumishi was CDA 1991~1996. General Kimario akiwa DG, CDA ilifanya kazi nzuri ya kuijenga Dodoma, na hakukuwa na ufisadi. Nawakumbuka wakurugenzi was idara za CDA kina Maddata/Ilonga- Finance & administration, Temu- Design & construction, Mtei- Horticulture & conservation, Mwaipopo- nimesahau idara yake na Mpoli- planning.
 
Babu shikamoo
 
Unamjua vema? Au umeamua kuandika tu Mkuu!!???? Tulio ishi na kufanya kazi nae ndo tuna mjua Bgd G Kimario kamanda Mbogo Ni SHUJAA wa TAIFA LETU

Mimi nilikuwa mtumishi was CDA 1991~1996. General Kimario akiwa DG, CDA ilifanya kazi nzuri ya kuijenga Dodoma, na hakukuwa na ufisadi. Nawakumbuka wakurugenzi was idara za CDA kina Maddata/Ilonga- Finance & administration, Temu- Design & construction, Mtei- Horticulture & conservation, Mwaipopo- nimesahau idara yake na Mpoli- planning.
..... was a formidable team.
 
Hakika mkuu.
 
Mengi yaliyoandikwa huku sio sahihi.
Vita vya Kagera Kimaryo alikuwa RC Mwanza
Kimaryo amekuwa Waziri wa home affairs kwa ten years
Aliingia vitani na akapewa jina la kamanda Mbogo
Soma HISTORIA Alijivua huo U RC akaungana na jeshi mstari wa mbele kupigana kwa ajili ya Mama TANZANIA
 
Huyu si ndiye aliifilisi CDA? Yeye na akina Feruzi na Aden Rage? Anaweza kasema ni mzarendo kwa kuipigania nchi yake, vipi kuliibia taifa kisa mjeda, haiingii akilini, hayupo kwenye kundi la mashujaa
Ndo huyo huyo baadae wakaja wakavuliwa vyeo na Al Hassan.....ndo huyo hana uzalendo wowote
 
Back
Top Bottom