Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Mimi nnao uwezo wa kukuelezea huyo mnyama vichwa vyake saba na pembe kumi na nkavitaja kila kichwa hadi huyo mnyama wa pili na kahaba tokea kwny biblia had historia...ukinijibu ntaendelea kukufunulia kimoja baada ya kingine...mm ntatumia maswali tokea kwmy hoja zako kma nlvoanza kukuulza hapo juu utakapojbu tutaendelea..ukikwepa ntakusibr
TATIZO UNA MIX MAMBO

KAA UTULIE UFUNZWE,haya mambo tatizo mapadri hawezi kuwaambia maana watawapoteza wakose sadaka

Falme hizo zinawakilishwa na Pembe 10 (Dan. 7:8). "Pembe"
ni "Wafalme" au "Falme" (Dan. 7:24). Falme 10 zilijikomboa toka
ukoloni wa Kirumi ulipoangushwa mwaka 476 B.K. na mataifa ya
kipagani ya Ulaya Kaskazini. Falme 10 ni Uingereza, Ufaransa,
Ujerumani, Uswisi (Switzerland), Ureno, Hispania, Italia,
Heruli, Wavandali (Vandals), na Waostrogothi (Ostrogoths).
Katika Danieli 2 zimewakilishwa na Vidole 10 vya Nyayo (Dan.
2:41,42). Kuhusu ukatili wao soma historia. Zilimsaidia, tena
zitamsaidia papa kuua watakatifu (Ufu.17:12-14).

HAYA MATAIFA YATAKAYOMSAIDIA , NADHANI UNAYAJUA SASA , NADHANI UNAONA HARAKATI ZA PAPA KUZURU HAYO MATAIFA

YHWH IS GOOD
 
Hapa waroma huwezi kuwaona tena, nondo zilizoshushwa humu si mcezo zimewafanya wapoteane kama wale wakazi wa sodoma walipopigwa upofu na malaika
 
Ingekuwa vyema kama ungetaja vitabu vya nyuma vilivyotafsiri ufunuo

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Tatizo muda ufunuo ni fumbo kwa waliokataa maandiko yaliyo wazi ya vitabu vya nyuma yote yaliyo fumbwa kwenye ufunua yalisemwa wazi kwenye vitabu vya nyuma mfano 666 nikitu gani?
 
Acha uongo na propaganda

Wayahudi halisi na KALENDA YA KIYAHUDI NA HATA ROMAN CATHOLIC ,ISLAM NA HATA KALENDA ZA KIARABU ZINASEMA SIKU YA 7 NI JUMAMOSI ,HATA QURAN YA KARNE 6 INASEMA JUMAMOS NI SABATO

SASA WEWE UNAPINGA NI NANI?

KWA TAARIFA TU NIKUPE

ULIMWENGU SASA HAUBISHANI NI LINI NI SIKU YA SABATO MAANA VYANZO VYOTE VYA KALE VINATHIBITISHA NI JUMAMOSI

DUNIA SASA HIVI WAPO KWENYE AJENDA JE ITUNZWE AU ISITUNZWE

YHWH IS GOOD


Naanza kukujibu maelezo rangi ya pink"
Nadhani hujielewi, unapopoma tu kama mlevi, kwanza wewe unaijua kalenda ya kiebrania?(siyo ya kiyahudi) ndo nianze kukujibu..Hao wote uliowaelekeza kwamba RC, Islam, Waarabu na Qorani ya karne ya sita kuwa zote zinasema sabato ni jumamosi.
You are wrong my friend!! hao wote uliowataja ni mtu mmoja kama huelewi, RC ni vatican, Islam imeanzishwa na hao hao vatican, waarabu nao hueleweki unadhani waarabu wote wanafuata Hijri calendar katika ibada zao, Qurani nayo imeandikwa kwa msaada wa vatican ma wewe umeingia mkumbo huo huo hamjitambui. Hapo ume refer wrongly, nitarudi tena kukuelekeza kama uatatulia.

Unaniuliza mimi ni nani?
Mimi ni roho niliyekuja kwako ili kuwasha taa yako iliyozimishwa kwa kiburi chako ili upate kujua ya kuwa u uchi , na kipofu.



Unasema kuwa ulimwengu sasa haubishani juu ya sabato?

sasa ukweli ni huu:
Kwa vile sabato ya kweli imepotezwa na kusahaulika soma Yeremia 2:6 sasa ukweli unakuja kwako uweze kufahamu kuwa sabato ni siku ya saba na si jumamosi, ni ni pambano pekee litakaoibua conflict at the end of time.soma pia katka testimonies kitabu cha sita 6T,352 inasema " The sabbath question is to be final issue in the great final conflict"
Kama sabato inajulikana duniani conflict hiyo itakujaje?
Nitarudi
Tambua kilichokusudiwa na Mungu kidumu mwanadamu hawezi kukikomesha,siku ya saba ya juma kamwe haiwezi potea,soma isaya 66:23
Pia kama unakula nguruwe soma isaya 66:17 utapata mambo mazuri hapo

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
TATIZO UNA MIX MAMBO

KAA UTULIE UFUNZWE,haya mambo tatizo mapadri hawezi kuwaambia maana watawapoteza wakose sadaka

Falme hizo zinawakilishwa na Pembe 10 (Dan. 7:8). "Pembe"
ni "Wafalme" au "Falme" (Dan. 7:24). Falme 10 zilijikomboa toka
ukoloni wa Kirumi ulipoangushwa mwaka 476 B.K. na mataifa ya
kipagani ya Ulaya Kaskazini. Falme 10 ni Uingereza, Ufaransa,
Ujerumani, Uswisi (Switzerland), Ureno, Hispania, Italia,
Heruli, Wavandali (Vandals), na Waostrogothi (Ostrogoths).
Katika Danieli 2 zimewakilishwa na Vidole 10 vya Nyayo (Dan.
2:41,42). Kuhusu ukatili wao soma historia. Zilimsaidia, tena
zitamsaidia papa kuua watakatifu (Ufu.17:12-14).

HAYA MATAIFA YATAKAYOMSAIDIA , NADHANI UNAYAJUA SASA , NADHANI UNAONA HARAKATI ZA PAPA KUZURU HAYO MATAIFA

YHWH IS GOOD
Na katika hizo pembe kumi, ndipo inaibuka pembe ndogo na kuzinagusha pembe tatu yaani falme tatu ambazo ni Ostrogoths, heruli na vandals. Daniel 7: 24. "Na habari za zile pembe kumi, katika ufalme huo wataondoka wafalme kumi; na mwingine ataondoka baada ya hao; naye atakuwa mbali na hao wa kwanza; naye atawashusha wafalme watatu." Hii pembe ndogo ndiye pia mnyama wa ufunuo 13:1 " Kisha nikaona mnyama akitoka katika bahari, mwenye pembe kumi, na vichwa saba, na juu ya pembe zake ana vilemba kumi, na juu ya vichwa vyake majina ya makufuru".

Tazama mfanano uuliopo kati ya Daniel na ufunuo.

Daniel 7:25. "Naye atanena maneno kinyume chake Aliye juu, naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu; naye ataazimu kubadili majira na sheria; nao watatiwa mikononi mwake kwa wakati, na nyakati mbili, na nusu wakati."

Ufunuo 13:6-8 "Akafunua kinywa chake amtukane Mungu, na kulitukana jina lake, na maskani yake, nao wakaao mbinguni. Tena akapewa kufanya vita na watakatifu na kuwashinda, akapewa uwezo juu ya kila kabila na jamaa na lugha na taifa. Na watu wote wakaao juu ya nchi watamsujudu, kila ambaye jina lake halikuandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo, aliyechinjwa tangu kuwekwa misingi ya dunia".

Ufafanuzi
1.Kunena kinyume chake alieye juu ni pale kanisa katoliki lilipobadili amri za Mungu.
2. Jina la Makufuru ni VACARIUS FILII DEI yaani mwakilishi wa Mwana wa Mungu kama ajiitavyo papa. Makufuru!hakuna mtu awezaye kulinganishwa na Mungu.
3. Biblia inasema kila ambaye jina lake halikuandikwa katika kitabu cha mwanakondoo atamsujudia mnyama huyu. hata mijadala humu inaonyesha watu wengi wanmsujudia huyu mnyama. wengine kwa kufahamu kabisa wengine kwa kufuata mkumbo tu.
4. Mwisho wa wakati dunia itagawanywa mafungu mawili; aidha umwabudu mnyama na sanamu yake (Jumapili) ama umwabudu Mungu wa Mbinguni kwa kutii amri zake kama zilivyo katika kitabu cha kutoka 20 na sabato ya siku ya saba, jumamosi ikiwemo katika amri hizo.
 
Kirumi E haina value , kaangalie value za alfabet za kirumi

Pia hukumbuki darasa la 4 namba za kirumi?

YHWH IS GOOD
kITABU CHA UFUNUO KIMESHUSHWA KWA LUGHA YA KIEBRANIA, sio kirumi. Kwa hiyo namba system inayotakiwa kutumika hapo ndugu ni Hebrew number system. Kwenye ule uzi mwingine nimekutumia na Mdhaniwa wa kuwa ndiye atakuja kuwa 666. Mengine katika uzi huu sibishi mpaka niwe na ushahidi wa kupinga
 
Angalia unachokiamini,na kile kinachoaminiwa na wasabato.Kisha chunguza,nani anafuata sheria za biblia.Ukiona sheria za kanisa lenu hazimo ktk biblia,hama haraka sana

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
AFU WASABATO SIO WAKRISTU PIA UMESAHAU HILO

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
AFU WASABATO SIO WAKRISTU PIA UMESAHAU HILO

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Awe mkristo,asiwe mkristo,ninachosema chunguza yanayofuatwa na kanisa lako,je,yanaendana na biblia au yanapingana na biblia?Maneno mengi ya nini pacpo ushahidi wa maandiko?Toa hta sheria mbili tu za kanisa lako,kwa ushahidi wa biblia ili tuone nani anamfuata Kristo.Maneno yako hayawezi kuwafanya wasabato wacwe wakristo.

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Biblia inasema bila kupepesa macho mwanamke ni kanisa

Mwanamke kababa ni kanisa lililoasi

Aya zipo zaidi ya mia, kibiblia kanisa ni mwanamke

Sasa wewe kama mwanaume kweli

Njoo hapa niambie KAHABA MKUU ni nani ,

Nikuswalike kuanzia aya ya 1 hadi ya 5 tu kutoka hapo uf 17 kama hujakimbia

YHWH IS GOOD
Kwenye ufu 17 narudia rudia nione ni wapi lilikotajwa Roman Catholic
naona mnatoa tafsiri ambazo sijawahi kuzisikia kamwe kanisani kwangu namaanisha ROMAN CATHOLIC ...na mbaya zaidi mnatafsiri vitu ambavyo havipo ROMAN CATHOLIC

Biblia ukitaka kuitafsiri unavoielewa wewe utawachanganya hata WASABATO wenzako mwisho uhame usabato kama ulivyo hama ROMAN CATHOLIC...ili uitafsiri biblia lazima uwe mtaalam wa THEOLOGICAL STUDIES so kama hauna utaalamu na elimu hiyo acha kutafsiri biblia kutokana na kukalili mistari ya biblia

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Biblia inasema bila kupepesa macho mwanamke ni kanisa

Mwanamke kababa ni kanisa lililoasi

Aya zipo zaidi ya mia, kibiblia kanisa ni mwanamke

Sasa wewe kama mwanaume kweli

Njoo hapa niambie KAHABA MKUU ni nani ,

Nikuswalike kuanzia aya ya 1 hadi ya 5 tu kutoka hapo uf 17 kama hujakimbia

YHWH IS GOOD
hilo swali niulize mimi kama wewe ndio hujakimbia na imani yako haba uhame usabato ukaanzishe kanisa lako

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom