Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Mkuu umeanzisha mada kubwa sana ambayo itakugharimu kuibeba. Tatizo lako umeelekeza mashambulizi kwa kanisa katoliki,na hilo ni kosa kubwa wanalolifanya SDA church, kanisa hili linatoa mahubiri kwa namna ya kukosoa imani za dini nyingine wakijisahau kuwa wao pia wamo katika grave danger. wa SDA wagekuwa na mioyo laini ya kujifunza zaidi Mungu angewafunulia ukweli wote, lakini kanisa hili kupitia GC yaani Mkutano Mkuu wa kanisa hili, imetupilia mbali kweli nyingi ambazo mjumbe wa Mungu aliagizwa kwa kanisa hili ili iwe chachu kwa ulimwengu wote, lakini kwa vile wamejaa kiburi cha uzima na kwakujifanya wanajuakila kitu, Mungu amewaacha waendelee na hekima yao.

Kanisa hili halitambui karama za unabii zilizoko nje zaidi ya kutoka GC, hivyo tena sauti ya upole ya Mungu kwa kanisa hili huzimwa na makao makuu ya kanisa hilo.

Kanisa hili mbali na kukosea kutafsiri unabii wa Ufunuo na wa Danieli, doctrine zao pia zina kasoro nyingi sana. Mfano doctine yao au kung'ang'ania kufundisha kuwa siku ya saba ambayo ni Sabato ni jumamosi!! hili ni kosa kwa vile wanathibitisha kwa jumamosi ni siku ya saba kwa vile wanatumia kalenda ya kirumi ambayo ni Gregorian kalenda, kalenda hiyo ndio kalenda kuu ya kanisa katoliki ambayo yeye mleta mada anawaponda. Wasabato hujikita zaidi kuthibitisha hayo kwa siku za pasaka na ijumaa kuu ya wakatoliki. Biblia inaagiza sikukuu ya pasaka iadhimishwe mwezi wa Abibu tarehe 14. (mwezi wa Abibu ni mwezi wa kwanza kwa kalenda ya kiebrania).

Sipingani sana na mleta uzi isipokuwa presentation yake imejaa kiburi na kupoteza maana. Dini zote zilizopo sokoni leo ukianzia Waislamu, Wasabato wa SDA na wengineo wa jumamosi, Waprotestant wote pamoja na mama yao Romani katoliki, wapo katika hatari kuu ya mafundisho yao.

Ninawaombea wote humu mnaopitia uzi huu, Mungu muumbaji awezeshe wote kwa roho wake, aangazie nuru yake mioyoni mwenu, mpate kuwa na mioyo sikivu ili mpate kuijua kweli yote ambayo Mungu mwenyewe ameagiza kuwa
atatufunulia na kutupeleka kwenye kweli yote. Ezekieli 34:1-16 na Yohana 16:13
 
Mm nijichanganye tena
Revelation 17:16
[16]And the ten horns which thou sawest upon the beast, these shall hate the whore, and shall make her desolate and naked, and shall eat her flesh, and burn her with fire.
Na zile pembe kumi ulizoziona, na huyo mnyama, hao watamchukia yule kahaba, nao watamfanya kuwa mkiwa na uchi, watamla nyama yake, watamteketeza kabisa kwa moto.
Haya hyo hapo na nyngne zaja tuanzie hapo
Naomba uni quote ni wapi nilisema pembe kumi za uf 17:16 ni upapa? Tuanzie hapo

Maana una mix mambo , kuna pembe kumi za mnyama wa 4 , ambapo pembe ndogo ilizuka na hiyo ndio mamlaka ya upapa na nilishaieleza

Sasa naona unachanganya madesa

YHWH IS GOOD
 
Mkuu umeanzisha mada kubwa sana ambayo itakugharimu kuibeba. Tatizo lako umeelekeza mashambulizi kwa kanisa katoliki,na hilo ni kosa kubwa wanalolifanya SDA church, kanisa hili linatoa mahubiri kwa namna ya kukosoa imani za dini nyingine wakijisahau kuwa wao pia wamo katika grave danger. wa SDA wagekuwa na mioyo laini ya kujifunza zaidi Mungu angewafunulia ukweli wote, lakini kanisa hili kupitia GC yaani Mkutano Mkuu wa kanisa hili, imetupilia mbali kweli nyingi ambazo mjumbe wa Mungu aliagizwa kwa kanisa hili ili iwe chachu kwa ulimwengu wote, lakini kwa vile wamejaa kiburi cha uzima na kwakujifanya wanajuakila kitu, Mungu amewaacha waendelee na hekima yao.

Kanisa hili halitambui karama za unabii zilizoko nje zaidi ya kutoka GC, hivyo tena sauti ya upole ya Mungu kwa kanisa hili huzimwa na makao makuu ya kanisa hilo.

Kanisa hili mbali na kukosea kutafsiri unabii wa Ufunuo na wa Danieli, doctrine zao pia zina kasoro nyingi sana. Mfano doctine yao au kung'ang'ania kufundisha kuwa siku ya saba ambayo ni Sabato ni jumamosi!! hili ni kosa kwa vile wanathibitisha kwa jumamosi ni siku ya saba kwa vile wanatumia kalenda ya kirumi ambayo ni Gregorian kalenda, kalenda hiyo ndio kalenda kuu ya kanisa katoliki ambayo yeye mleta mada anawaponda. Wasabato hujikita zaidi kuthibitisha hayo kwa siku za pasaka na ijumaa kuu ya wakatoliki. Biblia inaagiza sikukuu ya pasaka iadhimishwe mwezi wa Abibu tarehe 14. (mwezi wa Abibu ni mwezi wa kwanza kwa kalenda ya kiebrania).

Sipingani sana na mleta uzi isipokuwa presentation yake imejaa kiburi na kupoteza maana. Dini zote zilizopo sokoni leo ukianzia Waislamu, Wasabato wa SDA na wengineo wa jumamosi, Waprotestant wote pamoja na mama yao Romani katoliki, wapo katika hatari kuu ya mafundisho yao.

Ninawaombea wote humu mnaopitia uzi huu, Mungu muumbaji awezeshe wote kwa roho wake, aangazie nuru yake mioyoni mwenu, mpate kuwa na mioyo sikivu ili mpate kuijua kweli yote ambayo Mungu mwenyewe ameagiza kuwa
atatufunulia na kutupeleka kwenye kweli yote. Ezekieli 34:1-16 na Yohana 16:13
Acha uongo wewe

Hata kalenda ya kiyahud,islamu zote zinasema jumamos ni sabato

Kama unabii wa daniel tunaongopa njoo hapa tuhojihane sio kusema nakosea halafu husemi ukweli ni upi

YHWH IS GOOD
 
Labda kwa faida yako tu na wengne iko hvi kanisa katoliki lko centralized na lna vyombo maalum vya kutolea taarifa...siku utakapoona kanisa lmeruhusu ushoga au kuona lnafungsha ushoga tanzania ujue n worldwide namm ntakua wa kwanza kutoka tutapishana mlangon
Acha kutafuta kichaka cha karanga

YHWH IS GOOD
 
Mbingu gani hiyo wanaenda waabudu sanamu?
152512c136d835869ecbd6df1c59dce9.jpg

Au ni mbingu ipi hiyo wanaenda mashoga?

Kanisa katoliki nchini Malta labariki Ushoga

HATA MARTIN LUTHER ALIKUWA MBISHI KAMA WEWE MPAKA PALE ALIPOGUNDUA UOZO 95 AKATOKA NA ALIKUWA PADRI SEMBUSE WEWE?

NA LEO KUNA MAOVU NA MADANGANYO MAELFU NDANI YA KAHABA MKUU (ROMANI CATHOLIC)
bea1b76c37d3efb2caba1730ea1b870d.jpg

Ujumbe wa YULE MALAIKA WA TATU UNASEMA

tokeni kwake enyi watu wangu

TOKENI BABELI

YHWH IS GOOD
kwanza kabisa wacatholic hawaabudu sana hilo ni moja.....swali langu dogo hivi zile picha za baba na mama mnazoziweka kwenu hata kama wametangulia mbele ya haki mnaziabudu au la????? basi sisi hatuabudu ni kumbukumbu ya matendo yaliyofanywa katika kutuokoa kiimani....kama unadhani tunaabudu ilewa nililokuambia na si vinginevyo..

alafu ili nikueleweshe kwa uelewa wako mdogo itabidi uende KANISANI UKAFANYE RESEARCH....wasomi tunasema NO RESEATCH NO RIGTH TO SPEAK hayo mnayoyasoma kwenye mitandao ni uvivu wa kufikiri ambao obvious kwa watz ni 80% wavivu wa kufanya research

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo wewe

Hata kalenda ya kiyahud,islamu zote zinasema jumamos ni sabato

Kama unabii wa daniel tunaongopa njoo hapa tuhojihane sio kusema nakosea halafu husemi ukweli ni upi

YHWH IS GOOD
Acha kiburi Aroon! ni kosa kubwa kuwalinganisha wayahudi hao unaowafahamu leo na taifa lao kama ni kielelezo cha kujifunza kwa habari ya kweli yote. Nadhani huijui vizuri historia ya Israel state unayoijua wewe leo, mimi binafsi sioni cha kujifunza kutoka Israeli ya leo. Kwanza wanadai Jumamosi ni sabato wakati sio kweli, ingekuwa hao waIsraeli hawa ndio Waebrania wale ningekukubalia, lakini "waisraeli" hawa wa kupandikiza mimi siwaamini hata kidogo. Hebu nenda online ujifunza kutoka kwenye encyclopedia yao inaitwa " International Jewish Encyclopedia" kipengele cha Sabbath. hawasemi kama wewe ulivokaririshwa na Kanisa la Wasabato.
 
Acha uongo na propaganda

Wayahudi halisi na KALENDA YA KIYAHUDI NA HATA ROMAN CATHOLIC ,ISLAM NA HATA KALENDA ZA KIARABU ZINASEMA SIKU YA 7 NI JUMAMOSI ,HATA QURAN YA KARNE 6 INASEMA JUMAMOS NI SABATO

SASA WEWE UNAPINGA NI NANI?

KWA TAARIFA TU NIKUPE

ULIMWENGU SASA HAUBISHANI NI LINI NI SIKU YA SABATO MAANA VYANZO VYOTE VYA KALE VINATHIBITISHA NI JUMAMOSI

DUNIA SASA HIVI WAPO KWENYE AJENDA JE ITUNZWE AU ISITUNZWE

YHWH IS GOOD
 
kwanza kabisa wacatholic hawaabudu sana hilo ni moja.....swali langu dogo hivi zile picha za baba na mama mnazoziweka kwenu hata kama wametangulia mbele ya haki mnaziabudu au la????? basi sisi hatuabudu ni kumbukumbu ya matendo yaliyofanywa katika kutuokoa kiimani....kama unadhani tunaabudu ilewa nililokuambia na si vinginevyo..

alafu ili nikueleweshe kwa uelewa wako mdogo itabidi uende KANISANI UKAFANYE RESEARCH....wasomi tunasema NO RESEATCH NO RIGTH TO SPEAK hayo mnayoyasoma kwenye mitandao ni uvivu wa kufikiri ambao obvious kwa watz ni 80% wavivu wa kufanya research

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
ACHA KUJIFANYA HUJUI

MASANAMU NA MAFUVU YALIYOJAA MAKANISANI YA NINI YALE KAMA SI UPAGANI?

MASANAMU YA mungu isis na tamuzi MNAYODAI NI BIKIRA MARIA. ,MNAYOKAA NA KUYAPIGIA MAGOTI NA KUYAABUDU ,LEO UNAYAKANA?

sisi wenyewe tumetoka huko roma, tena mimi nimeishi Misheni parokiani kabisa, naujua UROMA vzr sana

SASA ULIVOKUWA UNAABUDU HIZO SANAMU LILIKUWA N KOSA LAKO SIO LA WAKATOLIKI

SISI HATUABUDU N UKUMBUSHO...KUMBE WALIWEZA KUKUSHAWISHI HAO S.D.A ???
SASA KUWA NA IMANI HABA KUMBE SIO KOSA LANGU NI LAKO WEWE....KUMBE WEWE UNAONA MAFUVU SISI TUNAONA NI VINGINE....

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Fafanuzi za uongo hizo kitabu cha ufunuo kiko wazi kwa sababu kabla ya ufunuo kili funuliwa chote yote yaliyomo kwenye ufunuo yametafsiliwa na vitabu nya nyuma
Ingekuwa vyema kama ungetaja vitabu vya nyuma vilivyotafsiri ufunuo

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
ACHA KUJIFANYA HUJUI

MASANAMU NA MAFUVU YALIYOJAA MAKANISANI YA NINI YALE KAMA SI UPAGANI?

MASANAMU YA mungu isis na tamuzi MNAYODAI NI BIKIRA MARIA. ,MNAYOKAA NA KUYAPIGIA MAGOTI NA KUYAABUDU ,LEO UNAYAKANA?

sisi wenyewe tumetoka huko roma, tena mimi nimeishi Misheni parokiani kabisa, naujua UROMA vzr sana

YHWH IS GOOD
Narudia tena kuwa wakatolic HAWAABUDU SANAMU ni kumbukumbu juu ya aliyofanya YESU KRISTU wa NAZARETH kama ulikuwa unaziabudu hilo ni kosa na dhambi zako mwenyewe.. afu KANISANI HATUNA mafuvu braza Acha kujibebea zigo la dhambi ya uongo

NARUDIA
WAKATORIKI HATUABUDU SANAMU

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
huenda ukawa "sahihi" na mapokeo uliyopokea toka kwa wanazuoni wa kikundi chako cha kisabato nawe kuendelea kuwahadaa walimwengu wasio na elimu ya dini na ya imani ya kikatoliki, ila swali langu, je Mungu huwaacha wenye haki wapotee..?? kama siyo, "haki" ipo katika "usabato" (kwa mujibu wa mafundisho yenu), na usabato una karibia miaka 200, je kwanini kikundi hiki cha wenye "haki" mbali na kutumia maarifa yao kueneza "haki" kwa "wasio na haki"?... kwanini utawala wa "kishetani" (kanisa katoliki/waprotestitanti) halijawahi kuadhibiwa na Mungu kwa Mungu kuwaonesha "wenye haki" njia sahihi???
Unaifahamu biblia ww kweli?Nenda kasome 2Petro 3:7 ujue ni lini waovu wote wataadhibiwa.Kama huna maandiko usiongee usichokuwa na uhakika nacho_Ongea kwa "imeandikwa"

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Wasabato ni extremists wa kibiblia. Sioni kama ni sahihi kusema Wasabato ni wakristo Extremists, maana hawa jamaa huwa sielewi kama no Wakristo! Maana hata msalaba wanapambana ufutwe, hawa ni Masadukayo ndio maana wanaelewana sana na Mafarisayo!!

Wale waliosematuwahi mjini tukawaambie wanafunzi walikuja wakamwoba Yesu usiku isije ikasambaa hii habari kuwa amefufuka na akapata wafiasi wengi (NV)
Angalia unachokiamini,na kile kinachoaminiwa na wasabato.Kisha chunguza,nani anafuata sheria za biblia.Ukiona sheria za kanisa lenu hazimo ktk biblia,hama haraka sana

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Nilitegemea ushushe ushahid kuhusu kahaba mkuu

Naona umeandika lawama tu

Ni kusema mjadala hauuwezi?

YHWH IS GOOD
Hiki ndicho ulichokiona,lakini pia siyo ajabu....

Kama umepewa ushahidi na umeupuuza na bado unataka ushahidi,si vituko hivi?
 
Acha uongo na propaganda

Wayahudi halisi na KALENDA YA KIYAHUDI NA HATA ROMAN CATHOLIC ,ISLAM NA HATA KALENDA ZA KIARABU ZINASEMA SIKU YA 7 NI JUMAMOSI ,HATA QURAN YA KARNE 6 INASEMA JUMAMOS NI SABATO

SASA WEWE UNAPINGA NI NANI?

KWA TAARIFA TU NIKUPE

ULIMWENGU SASA HAUBISHANI NI LINI NI SIKU YA SABATO MAANA VYANZO VYOTE VYA KALE VINATHIBITISHA NI JUMAMOSI

DUNIA SASA HIVI WAPO KWENYE AJENDA JE ITUNZWE AU ISITUNZWE

YHWH IS GOOD

Naanza kukujibu maelezo rangi ya pink"
Nadhani hujielewi, unapopoma tu kama mlevi, kwanza wewe unaijua kalenda ya kiebrania?(siyo ya kiyahudi) ndo nianze kukujibu..Hao wote uliowaelekeza kwamba RC, Islam, Waarabu na Qorani ya karne ya sita kuwa zote zinasema sabato ni jumamosi.
You are wrong my friend!! hao wote uliowataja ni mtu mmoja kama huelewi, RC ni vatican, Islam imeanzishwa na hao hao vatican, waarabu nao hueleweki unadhani waarabu wote wanafuata Hijri calendar katika ibada zao, Qurani nayo imeandikwa kwa msaada wa vatican ma wewe umeingia mkumbo huo huo hamjitambui. Hapo ume refer wrongly, nitarudi tena kukuelekeza kama uatatulia.

Unaniuliza mimi ni nani?
Mimi ni roho niliyekuja kwako ili kuwasha taa yako iliyozimishwa kwa kiburi chako ili upate kujua ya kuwa u uchi , na kipofu.

Unasema kuwa ulimwengu sasa haubishani juu ya sabato?

sasa ukweli ni huu:
Kwa vile sabato ya kweli imepotezwa na kusahaulika soma Yeremia 2:6 sasa ukweli unakuja kwako uweze kufahamu kuwa sabato ni siku ya saba na si jumamosi, ni ni pambano pekee litakaoibua conflict at the end of time.soma pia katka testimonies kitabu cha sita 6T,352 inasema " The sabbath question is to be final issue in the great final conflict"
Kama sabato inajulikana duniani conflict hiyo itakujaje?
Nitarudi
 
Imeandikwa wapi hii?
Biblia inasema bila kupepesa macho mwanamke ni kanisa

Mwanamke kababa ni kanisa lililoasi

Aya zipo zaidi ya mia, kibiblia kanisa ni mwanamke

Sasa wewe kama mwanaume kweli

Njoo hapa niambie KAHABA MKUU ni nani ,

Nikuswalike kuanzia aya ya 1 hadi ya 5 tu kutoka hapo uf 17 kama hujakimbia

YHWH IS GOOD
 
Acha uongo na propaganda

Wayahudi halisi na KALENDA YA KIYAHUDI NA HATA ROMAN CATHOLIC ,ISLAM NA HATA KALENDA ZA KIARABU ZINASEMA SIKU YA 7 NI JUMAMOSI ,HATA QURAN YA KARNE 6 INASEMA JUMAMOS NI SABATO

SASA WEWE UNAPINGA NI NANI?

KWA TAARIFA TU NIKUPE

ULIMWENGU SASA HAUBISHANI NI LINI NI SIKU YA SABATO MAANA VYANZO VYOTE VYA KALE VINATHIBITISHA NI JUMAMOSI

DUNIA SASA HIVI WAPO KWENYE AJENDA JE ITUNZWE AU ISITUNZWE

YHWH IS GOOD

Naanza kukujibu maelezo rangi ya pink"
Nadhani hujielewi, unapopoma tu kama mlevi, kwanza wewe unaijua kalenda ya kiebrania?(siyo ya kiyahudi) ndo nianze kukujibu..Hao wote uliowaelekeza kwamba RC, Islam, Waarabu na Qorani ya karne ya sita kuwa zote zinasema sabato ni jumamosi.
You are wrong my friend!! hao wote uliowataja ni mtu mmoja kama huelewi, RC ni vatican, Islam imeanzishwa na hao hao vatican, waarabu nao hueleweki unadhani waarabu wote wanafuata Hijri calendar katika ibada zao, Qurani nayo imeandikwa kwa msaada wa vatican ma wewe umeingia mkumbo huo huo hamjitambui. Hapo ume refer wrongly, nitarudi tena kukuelekeza kama uatatulia.

Unaniuliza mimi ni nani?
Mimi ni roho niliyekuja kwako ili kuwasha taa yako iliyozimishwa kwa kiburi chako ili upate kujua ya kuwa u uchi , na kipofu.

Unasema kuwa ulimwengu sasa haubishani juu ya sabato?

sasa ukweli ni huu:
Kwa vile sabato ya kweli imepotezwa na kusahaulika soma Yeremia 2:6 sasa ukweli unakuja kwako uweze kufahamu kuwa sabato ni siku ya saba na si jumamosi, ni ni pambano pekee litakaoibua conflict at the end of time.soma pia katka testimonies kitabu cha sita 6T,352 inasema " The sabbath question is to be final issue in the great final conflict"
Kama sabato inajulikana duniani conflict hiyo itakujaje?
Nitarudi
Acha kupaniki

Kama umeahindwa kung'amua jambo dogo tu ,sabato ni siku ipi ,

Utaweza kujadiliana na mimi kweli?

Mada ya sabato ni lini ,hiyo nitakuletea mwanangu akufundishe

YHWH IS GOOD
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom