Kitaja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 2,836
- 1,381
Mimi nilidhani uliporudi nyumbani roman catholic ndo umekuwa mtakatatifu. Maana umeponda usabato ukidai kumejaa ngono ndiyo maana ukaondoka. Hapa naona unasifia mambo yenu huko ya ngono. Kumbe tatizo halikuwa kwa wasabato bali tatizo unalo mwenyewe,jiangalie.Ni denti halafu. Na hana utakatifu wo wote typical ya hawa jamaa ambao hudhani kuwa eti kwa vile wanasali Jumamosi basi mbingu ni yao na wengine wote wamepotea. Enzi zile nipo Jukwaa la Wakubwa alikuwa anarusha vitu regularly...ngono mtindo mmoja. Na wakati huo huo huku pia anarusha vitu vya utakatifu wa wasabato. Unafiki uliopitiliza.
Kama ni memba wa Jukwaa la Wakubwa nenda kamtafute huko unless kama alishafuta video na picha za wanawake aliokuwa akigegeda regularly.